Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

nahisi bomu lilirushwa kutoka mbagala likatua kwa kamanda, chadema watakuwa wanahusika!!!!!
 
Swali lingine PakaJimmy kwa hali ya kawaida watu wakifanya mauwaji makubwa kama hayo, hawawezi kukuacha wewe ambae unawaona wakuache hai eti waishie kuku-search na kuondoka na baadhi ya vitu vyako, sasa kwanini huyu Dada nae hakudhuriwa? Je anaweza kuwakumbuka hawa watu kwa sura? Je baada ya tukio walikimbilia upande gani kwa usafiri gani au kwa miguu? Huyu Dada etu nae alichukua hatua gani baada ya tukio? Na hatua hio aliyochukua ilikua baada ya muda gani baada ya tukio? Je wakati wa tukio la kufyatua risasi yeye alijibana upande upi asipatwe hata na risasi moja??????? au kama walipiga risasi kwene vioo, je hakuna hata kioo kimoja kilichomkata huyu Dada???? Narudi tena
 
Polisi wetu wamekuwa wapiga ramli siku hizi nilidhania kwa zMwangosi tu,kumbe hata kwa wao kwa wao,wana assume majambazi,vipi kama waligombea mademu!
 
Kuna pia mtu aliuliza je Kuna uhusiano wowote na tukio la Askari waliotaka kumuua Afisa uhamiaji? Ikumbukwe kuwa huyo Afisa uhamiaji alisema kuwa askari aliyetaka kumuua anatembea na mke wake. Je kuna uwezekano wa uhusiano na mambo hiyo? Kuna kinachojaribiwa kufichwa na aliyetaka kumuua Afisa uhamiaji?
 
Wanamtandao,

Nimesoma thread ya mauaji ya RPC wa Mwanza, nikaamua kucopy maswali yote ya members kama yalivyo na kuyaleta hapa kama thread.

Naamini maswali haya ya wanajamvi yatasaidia kupata hadidu za rejea za watakaochunguza tukio hilo.

Ieleweke kuwa Memberz wa hapa ndani pia ni Polisi jamii.

(Naomba Mod usiunganishe na thread kuu)

1. Kwanini RPC asimwagize dereva kumpeleka dadake?(Hujui madereva wewe,wanaweza kutafuna mali ya mzee)
2. Kwanini asiende na walinzi wake?(jibu kama la hapo awali)
3. Kama alikuwa na walinzi, Je walijeruhiwa au kufa? Walinzi walizidiwa?
4. Ukomo wa kazi wa walinzi wake ni saa ngapi?(Hakuna kikomo kwani hujui yeye ni nani hapo mkoani?)
5. Je kwenye gari walikuwa wawili tu?(Sio tatizo,kwani lazima wawe wengi?ishu je ni kweli alikuwa dada yake?)
6. Dada mtu ameumizwa?(Tusubiti jibu)
7. Jina la huyo dadake ni nani?(Kama hapo juu)
8. Intelijensia haikunusa mauaji kabla?(Kwani ni Chadema wale?ingekuwa Chadema taarifa zingekuwepo)
9. Kwanini auwawe?(Uchubnguzi unaendelea)
10. Kwanini isidhaniwe ni vinyongo ndani ya Jeshi la Polisi?
11. Polisi wamejuaje wauaji ni majambazi? Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
12. Walikuwa wanagombea demu?
13. Sijui ni wale waliompiga Hyness Kiwia!?
14. Kikao cha harusi hadi saa 8 usiku?(Utajiju,kala mke wa watu huyu,wangempiga tigo ndio angetia adabu)
15. Majambazi gani wanaothubutu kumvamia RPC, na je walitaka kumwibia?
16. Wamempora nini baada ya mauaji?
17. Alikuwa na gari binafsi au ya serikali?
18. Alivaa uniform au kiraia?
19. Hakuna visasi nyuma?
20. Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
21. Kikao kilikuwa bar au nyumbani kwa mtu?
22. Kama aliwamulika majambazi, je ni yeye tu aliyepita hiyo njia?
23. Dada mtu alichukua hatua gani baada ya tukio?
24. Aliwaona wahusika?
25. Risasi alipigwa eneo gani la mwili?

25. Risasi alipigwa eneo gani la mwili?(Polisi watajibu!)

Nafikiri kamuhanda atakuwa maejifunza!
 
...maswali yote hayo yangekuwa ni majibu kama interejensia ingekuwa inafanya kazi hipasavyo,but kwa kuwa interejensia sasa inafanya kazi ya kuishugulikia Chadema maswahi yatazidi kuwa mengi sana tu...na mimi ngoja niongeze maswali mawili 1.je kwa nini taharifa za kuuwawa kwa RPC imetolewa ya kwamba ameuwawa na majambazi kwa kupigwa na risasi kabla hata uchunguzi hajafanyika?...2.Kwa kuwa uchunguzi wa kuuwawa kwa RPC haujafanyika,kwa nini taharifa yake isisomeke ya kwamba..."RPC uenda amepigwa na kitu kizito,kitu chenye ncha kali or flying object?....
 
Naomba thread hii iwe maalum ya maswali yenye clues ambazo zinaweza kuwasaidia watakaofanya uchunguzi ili kumkamata gunman, au sniper, ili hatimaye atiwe kibano na awe funzo kwa wote wenye mawazo ya kukatisha uhai wa wengine.
 
Najiuliza sana maswali tena MENGI, lakini moja tu ndio naliona kuu na la maana kwangu, nalo ni Kwanini niamini kifo hiki cha RPC kinaushirika wa majambazi??? Au mimi ndio sijui ni majambazi wa aina gani?
 
Jibu:RPC huenda hakuwa na mlinzi,maana kwa experience yangu nimewahi kuwaona marpc kadhaa wakijiendesha wenyewe kwa kutumia gari ambazo hazina alama(un-marked).
Vilevile wao pia ni binadamu na si robocops kwa hiyo an haki ya kwenda kwenye kikao cha harusi au baa!
Kuhusu kikao kuisha saa yoyte nalo ni suala la wenye kikao,halituhusu
My take:
Huenda alikumbana na majambazi wakitoka au kuelekea kwenye shughuli zao na wakaona wammalizie mbali kupoteza ushahidi,maana jambazi hapendi kutambulika kirahisi
Ni coïncidence hiyo maana yapata miaka 41 hajauawa RPC nchini ktk kipindi cha amani ukiondoa hayati Hans Pope aliyeuawa na majeshi ya idd amin.
Rejea eneo lenyewe kutokea Kitangiri mpaka Isamilo.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
je anayedaiwa kuwa dadake je ni dada kweli?
Je mke wake hausiki na mauaji haya kwa majibu ya upelelezi wa polisi kwamba mauaji yamesababishwa na wivu wa kimapenzi?
Je hawezi kuwa amejiua?...

Kama sikosei hakuwa na mke; nafikiri mke wake ameshafariki. Alifariki kea mshituko baada ya kifo cha mtoto wao wa kiume, aliyefariki kutokana na ajali ya gari. Huyo Barlow si aliwahi kuwa kamanda Singida na Morogoro?
 
swali la msingi kauwawa na kitu gani? je nani kathibitisha je tume ilishaundwa tayari...
 
.je vipi kama aliuwawa na polisi akidhaniwa jambazi?
Huu pia ni uwezekano. Jamii yoyote inayoishi pamoja haiwezi kukaa pasipo struggles.
Sasa struggles hizi mara ingine zinaweza kuleta positive au neg outcomes.
Hii itasaidia sn.
 
Kwa kweli hili tukio bado ina maulizo kibao!
Je? Huyu dada mtu ndiyo ametoa report police kweli?
Mi na wewe hatuna majibu ila hakika majibu yatakuja flu hapa jamvini,ila hakika nawaambieni ya kwmb bado tutasikia mengi na hata hivyo yatakuja na maswali yenye majibu ya kitata hakika!

Eti hakuwa na mlinzi? RPC alikuwa anategemea nini kama hakutaka ulinzi?

Kumekucha!
 
Back
Top Bottom