Kagosaki
JF-Expert Member
- Feb 11, 2010
- 208
- 56
............na kama angelikuwa mfanyabiashara wa mitumba au muuza chipsi, polisi wangesema watalipa kisasi kwa mauaji au kwa vile aliefariki ni kamanda? Je DCI angetumwa kwenda Mwanza? Sasa kwa nini tusijiulize kwamba tumejenga matabaka ya wenye hatamu na walala hoi ambao hawana mtu wa kumtetea?