dramaqueen1
Senior Member
- Apr 23, 2018
- 115
- 111
Kwa hiyo Eminem keshakufa![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nahisi Trump walichelewa kumtengenezea
Nahisi Trump walichelewa kumtengenezea
Ndo maana Eminem kapoa. So original Eminem amekufa mwaka ganiYes, hii kitu nimewahi kuisikia kumuhusu Eminem, nikaenda deep kidogo zaidi aisee inatisha..
Siwezi kupinga, ila nahisi inawezekana kwa kiasi fulani na wanaifanya
Hivi kama ni genetically identical, ina maana haiathiri na DNA ?Mkuu Kudo,
Unelewa nini katikaa hili neno..
Human cloning is the creation of a genetically identical copy (or clone) of a human.
Sasa kama waligundua tenchnology ya kumtengeneza kucheza tu ndo washindwe mkuu!Hili swali hata ukiwauliza waeneza hiz habar wanaeza wasijibu na hata wakijibu si vile itakiwavyo hasa ule uwezo wa kucheza na kukunja mgongo ambapo tumeshuhudia wengi wakiiga bila mafanikio sasa Jepsin aliwezaje?!
Nakubaliana na wewe ni ngumu mtu kuiga kipaji cha mtu kwa usahihi ule
aseee sasa kama Ni mwanaumeHaya mambo sometimes huwa naamini ni kweli wakati mwingine naona si kweli maana nimewahi kuona documentary inadai hata mke wa Obama siyo mwanamke ni mwanaume aliyebadilishwa wanaenda mbali zaidi na kudai hata wale watoto siyo wao wa kuwazaa ni wa kuwaadopt kutoka Morocco
MKUU wengine hatufatilii burudani huyo Kanye West jukwaani alifanyaje?Mbona hao hao wanasema kuwa huyu aliyekufa juzi nae walimuua pia? Au clone nae alizinduka akajua kuwa yeye sio yeye???
Maana ukiangalia interview za MJ nyingi anaelezea hawa jamaa (underwolrd kuwa sio wazuri ) and THEY DONT CARE ABOUT US reffer wimbo wake.
Hii cloning ni Mind control programe kama waliyomfanyia Kanye west ndio wanaita cloning inakuwa mwili wewe lakini mind sio wewe ni kama mtu aliyepandisha shetani anakuwa mwili yeye but anaeongea sio yeye.
But kwa hawa ni program special ya demon....ambayo wewe halisi na tabia zake unakuwa buried somewhere lakini sometimes ni kama unarudi na kusepa reffer GET OUT. NA IKITOKEA UMERUDI NA KUELEWA WHAT U R DOING NDIO INATOKEA KAMA KWA KANYE SIKU ILE JUKWAANI ALIPORANT FOR 15 MINUTES.
BUt tatizo hawa wana nguvu wakamchukua fasta wakamweka polisi then mara wakatuambia eti ni kichaa then akawekwa hospital mwezi alipotoka tu akawa kama ZOMBI.
Msikilize 2pac kwenye album nadhani ya KILLUMINAT anasema how they want to control his "mind" lakini hataki.
Kama una power kwa watu lazima wakukontrol kama hawawezi the watafanya kama kwa Malcom X na the likes
NB: Source mbali mbali...U can choose kuamini au kutoamini.
Kabisa. Hata kama alibadilika rangi ndo mpaka sura hazifananiNaamini kabisa yani yule mzungu kabisa alikuwa hana ata chembe ya uafrica. Michael alikufa 1984.
hebu tiririka kidogo na sie tupate mwangaTena huyo ndio kivuruge kabisaaa..habari zake sio poa,.mh!!!
Ngumu kumeza[emoji15] sijui kama ni kweli. Ndo maana wazungu walimwabudu sana 'King of Afrika' for nothing he didHata Nelson Mandela alietoka gerezani alikuwa copy
lengo kubwa la kufanya hivyo N nn??Yeah Mind sio yeye ni demon. But yeye kama yeye anakuwa amewekwa in a very sinking place just chek movie ya GET OUT utaelewa zaidi. Kuna wanaibuka inarudi na kutoka kama spirit yako iko na nguvu kama Kanye west akina Tupac so wakishindwa kabisa kukukontrol then wanakuua mazima kama 2pac kanye wameshampiga tena MK UTRA hawezi tena kurudi kama zamani...au mtafute britney kama wamsikoa tena....nae alifufuka ghafla wakamzimisha kwa midawa
sasa hizo roho wanaziweka kwa shetani ili iweje?Si ushasikia kitu kinaitwa "deal with the devil"?. Unaingia mkataba na shetani anakupa umaarufu na pesa then unauza roho yako forever.(hapa anayeweza kukuokoa ni Mungu pekee) maana roho yako inakuwa placed somewhere and mwili wako unakuwa cloned na roho chafu(demon)
Hawa watu wanakontrol tasnia yote ya Hollwood huwezi shine bila ya mkono wao...wakitaka unashuka wakitaka unapanda
Refer Laurin hill wa FUGEES yeye aligoma kutoa mimba yake kama sacrifce ( ile ya mtoto wa bob marley) ndo wakaamua kumzima mazima.
Ukiwakataa utapewa kesi za kodi,utaambiwa mteja wa unga utapewa kesi za kubaka watoto au wanawake (remember media wanazicontrol wao) NB:WHOEVER CONTROL THE MEDIA CONTROL THE "MIND" OF THE PEOPLE.
So ni almost wasanii wote na ma actors actress models...wanapenda kuwatumia hawa maana wao ni rahisi kudanganya watu wengi kwa urahisi.
Beyonce akijikata kidole damu insta utashangaa wasichana dunia nzima wakijikata nao kidole damu ( hawajui mwenzano anafanya agano na shetani na wao kwa kutoa damu zao nao wanaungana kumtolea sadaka shetani)
Kama wakumbuka shetani alipomchukua Yesu mpk mlimani akamwambia ukinisujudu kila kitu kitakuwa chako....well Yesu alisema NO! But vijana wa sasa wanasema Yes..so wanapata umaarufu pesa but wanakuwa wameuza roho zao ndio maana wanafanya mambo kama hawana wazazi coz hawajali wanakuwa poses na shetani.
Entertaiment Industry is controlled by the Devil...since wayback but now ni mbaya zaidi...si US pekee hata Africa mpk East Africa. Utawajua kwa sign zao za 666 au pembe tatu black n white drafts...etc
So ushauri ukipenda nyimbo zao poa sikiliza but hakikisha hazikupandi kichwani ukajikuta nawewe eti msanii ni idol wako eti uko radhi kumtetea ilhali hujawahi hata kutanana nae.(hapo ni kama unamuabudu)
JIULIZE TULIMJUAJE KIM KARDASHIAN...well ni kwenye video ya ngono yake na Mdogo wa brandy Ray J...Je unajua ana folowers wangapi insta ya vijana kote duniani kama eti ndio idol wao(yaani kioo chao)
Idolism ni devil stuff....binadamu hawezi kuwa idol wako.....
Kwenye wimbo wa Nyanshiski wa KEBS kaimba "The industry is full of demons are you sure you want Fame?(to be famous?".
asee hiyo clips inatisha na hata ukiona comment ni ngumu kuelewa.Swala la kutengeneza ɓinadamu feki mwengine afanane kila kitu na binaɗamu halisi mi kwangu ɓado naona giza(kautafiti kangu bado hakajatick)...
ila sasa kwa kusoma bible na 'The first and second book of Adam and Eve' ukizungumzia reptilian anayezungumziwa kama evil serpent( kuna mtu alifanya interview kwa siri na mmoja wapo anadai hivyo..zaidi google the lacerta files/ nimeamɓatanisha pɗf file)..ambaye alikuwa malaika hapo mwanzo na waliohasi ni pamoja na wale waliojiɓadilisha na kuvaa miili ƴa binaɗamu ili kutemɓea na maɓinti waliokuwa kipindi hicho na kuzaa majitu (wanefili)..
The same situation kwa hali ilivƴo sasa kuna reptilians wanajivika miili ƴa binadamu na kuishi kama wanadamu saɓaɓu wana uwezo kujibadili wakaonekana kama watu kumɓe sio na wa kusoma fikra za mtu (zaidi google lacerta files au check youtube search usikilize )
+ kuna watu maarufu mɓali mɓali wameripotiwa kuwa na hali ama muonekano sio wa kawaida na wamenaswa na camera na kuna youtube video zao zinaoneshwa sio viumbe wa kawaida na kuhisiwa ni jamii ƴa reptilians waliojivika miili ƴa binadamu na hao pia conspirancy theorists wanawaita clone zaidi fuatilia...
Zengine utazipata youtube humo humo
AsanteView attachment 811994
Itakuwa ni crone maana kama umezaliwa miaka ya 80 hakuna jinsi ukamjua MJ Og [emoji3]MJ nilikua namuonea huruma sana, ss sijui ni yupi
MKUU Kanye alifanyajeIla kanye west karudi tena..laɓda kapewa onƴo!
Hii si kweli kabisa, naipinga, wametunga kumharibia Obama baada ya kupitisha gaysm. Watoto wale ukiwaangalia ni copyright kabisa sura ya Michelle na ObamaHaya mambo sometimes huwa naamini ni kweli wakati mwingine naona si kweli maana nimewahi kuona documentary inadai hata mke wa Obama siyo mwanamke ni mwanaume aliyebadilishwa wanaenda mbali zaidi na kudai hata wale watoto siyo wao wa kuwazaa ni wa kuwaadopt kutoka Morocco