Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
POSSIBLY TRUE WACHA NIRUDISHE SHILINGI
 
Inawezekana kabisa mkuu,
Lakini swali langu mimi bado liko palepale: Huyo Jepsin aliweza hadi kuiga kipaji cha Michael Jackson ???
Na kama aliinga kwani familia yao haijawahi au haikuhusika na mazishi wakati huo wa mwaka 198.... na kama wahudhulia ilikuwa vip wakaamin amerudi tena au ilikuwa je
 
Lakin mbona kuna uvumi kuwa alibadili umbo lake na kufanana na dada yake hapo tena napata wakati mgumu ko ndio kitendawili walichokitumia ili tusjue alikufa kwa wakti ule au
 
Nipe ya Michelle ili nikiwa nampigia awe anampa T.Almeida sim
Kwa kuwa ni mtata basi ntakupa namba ya Charles Logan "My mother told me ever problem has a solution why I don't find one for this ".....
 
Lakin mbona kuna uvumi kuwa alibadili umbo lake na kufanana na dada yake hapo tena napata wakati mgumu ko ndio kitendawili walichokitumia ili tusjue alikufa kwa wakti ule au
Huo ni uongo bana labda alikua maiko J
 
picha linaanza naskia 2pack, marley,,. osama ni baadhi tuu ambao vifo vyao vina utata na huenda wakawa hai..
 
Kwa kuwa ni mtata basi ntakupa namba ya Charles Logan "My mother told me ever problem has a solution why I don't find one for this ".....
Mimi nataka ya Audrey basis au Kim Bauer
 
Subiri kwanza- kwa hiyo kinachotengenezwa kinakuwa ni kichanga mpaka kinakua au wanatengeneza mtu mkubwa tayari, kivipi?! Tissue zinaingizwa ndani ya binadamu mwingine? Nashauku ya kujua zaidi
 
Back
Top Bottom