Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Nime google vinatisha walahi, lakini tunayaweza yote!
 
Mind Control inawezekana tokea miaka ya 1920's lakini haikuwa sophisticated kama ile ya Project MK ULTRA.
Source: MK-Ultra - Facts & Summary - HISTORY.com
Kweli kabisa mkuu hata kanye west walisema ni clone alipotoka kulazwa kutoƙana na kutokuwa na makeke yake alipoanza makeke yake kwenƴ interview ya TMZ alisema alikuwa anapewa dozi kila baada ya muda fulan akawa vile na menginayo mengi watu wakaja kujua' mind control things ' na hakuwa clone
 
Hili swali hata ukiwauliza waeneza hiz habar wanaeza wasijibu na hata wakijibu si vile itakiwavyo hasa ule uwezo wa kucheza na kukunja mgongo ambapo tumeshuhudia wengi wakiiga bila mafanikio sasa Jepsin aliwezaje?!

Nakubaliana na wewe ni ngumu mtu kuiga kipaji cha mtu kwa usahihi ule

Mwanadamu ni zaidi ya Cellular Build Up mazee!
Kama sisi ni Cellular Build Up pekee basi hatuna tofauti na hayawani wa msituni.
 
hili swala linataka prove tu kama alikufa 84 nani aliona maiti yake na ilipelekwa wapi sawa wanaweza kufanana sura kile kipaji inawezekana vipi tuseme yale manjonjo yote aliokuwa anafanya sio Mj kweli mhh ngumu kumeza
 
Mwanadamu ni zaidi ya Cellular Build Up mazee!
Kama sisi ni Cellular Build Up pekee basi hatuna tofauti na hayawani wa msituni.
Kweli kaɓisa watakuwa bado kwenye majariɓio lakini sio kumaanisha clone 100 percent hata hiyo 80 percent hawajafanikisha mfano guccimane wa sasa ƴule aliyetoka kifungoni na wa kaɓla ƴa kifungo...ricƙ ross huƴu wa sasa na na ƴule aliƴeripotiwa kulazwa na dave chapelle ..ukiwaangalia hata kwa picha sawa sawa umchukue mbappe na dida wa brazil useme ni mtu mmoja japo kuna kamfanano ka kulazimisha!
 
Ila sasa Dave Chapelle hadi ule uchekeshaji tena ???
 
Nimesoma sana haya mambo na kweli duniani kuna teknolojia za ajabu sana: Maana sasa hivi kuna wanasayansi wako kwenye utafiti wa kifaa kinachoweza kucheza na kubadilisha hisia za watu kwenye Ubongo.

Lakini kinachonifanya niwaze ni kivipi mtu anaweza kuiga kile kipaji cha MJ kwa miaka yote ile ???
Halafu tena wanajichanganya sana hapo kwenye cloning, maana nijuavyo mimi clone ni Replica ya mtu, sasa Jepsin mtamwitaje clone wa Michael Jackson ??? (Au mimi ndiyo sielewi)

NB: Kama hii teknolojia ya Cellular Regeneration imeanza miaka ya 1960's basi leo hii mwanadamu angekuwa na uhakika wa kuweza kuishi miaka mingi zaidi kuliko ilivyo sasa. Pili upande wa magonjwa dunia ingekuwa imepiga hatua sana, maana Kansa na Kisukari yangekuwa yameshataftiwa suluhu ya kudumu. Lakini mpaka leo tumeona dunia imepoteza watu wenye umuhimu kwa magonjwa na wala hakuna kinachofanyika.
we unadhani haya magonjwa hayana dawa? ni biashara za dawa tu wanafanya hawa jamaa
 
Yana dawa kumbe ???
Mimi nilikuwa sijui hilo mkuu, hebu nidadavulie kidogo basi.
mkuu mtafute jamaa mmj anajiita DECEPTION humu JF aliweka material fact na video zote za youtube za madaktar wakubwa duniani ambao pia walishachukua nobble prizes, wanadai makampuni makubwa ya dawa yameungana na serikali zenye nguvu duniani kama marekani ili kuuza dawa ziwe continuosly kwa watumiaji ili kurefusha maisha yao huku wakiendelea kuconsume pia kupunguza idadi ya watu hasa africa
 
Weeh sikuwahi kuyajua haya kabisa mkuu,
Kwa hiyo Pfizer, PBC and Roche yanapiga biashara na serikali kubwa za dunia ???
 
Back
Top Bottom