Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Yeah Mind sio yeye ni demon. But yeye kama yeye anakuwa amewekwa in a very sinking place just chek movie ya GET OUT utaelewa zaidi. Kuna wanaibuka inarudi na kutoka kama spirit yako iko na nguvu kama Kanye west akina Tupac so wakishindwa kabisa kukukontrol then wanakuua mazima kama 2pac kanye wameshampiga tena MK UTRA hawezi tena kurudi kama zamani...au mtafute britney kama wamsikoa tena....nae alifufuka ghafla wakamzimisha kwa midawa
Hii inawezekana kwa wanamuziki wetu wa ukanda huu wa mashariki mwa Africa hasa hapa nyumbani?
 
Mkuu waliojaribu kamchezo ka kureplace watu na watu bandia ni KGB na CIA kwa maana za kijasusi tena enzi ile. Kuhusu wasanii na wana siasa haijafanyika.....
Asante mkuu

Kwa hiyo zile story za mtu kupandikizwa kwa iliyokuwa Soviet ya zamani mpaka ikavunjika ni kweli?
 
Yeah Mind sio yeye ni demon. But yeye kama yeye anakuwa amewekwa in a very sinking place just chek movie ya GET OUT utaelewa zaidi. Kuna wanaibuka inarudi na kutoka kama spirit yako iko na nguvu kama Kanye west akina Tupac so wakishindwa kabisa kukukontrol then wanakuua mazima kama 2pac kanye wameshampiga tena MK UTRA hawezi tena kurudi kama zamani...au mtafute britney kama wamsikoa tena....nae alifufuka ghafla wakamzimisha kwa midawa
Na wanafanya hayo kwa mastar wote wa nje au baadhi? Na inakua kwa ridhaa au lazima?
 
Umeuliza swali la msingi sana mana naona uzi mzima umetawaliwa na hizi mambo za kuwageuza wasanii huku wote wakigeuzwa mara Beyonce,Kanye,witney

Sasa naona na chai zimeingizwa hapa mana ikiwa hivyo ni kila msanii tutaambiwa kafanyiwa

Anyway wapo waliofanyiwa mind set ila si kwa kiasi hiki ambacho tunaelezwa humu

Labda mi ndo sijui sasa
 
Na wanafanya hayo kwa mastar wote wa nje au baadhi? Na inakua kwa ridhaa au lazima?
Si ushasikia kitu kinaitwa "deal with the devil"?. Unaingia mkataba na shetani anakupa umaarufu na pesa then unauza roho yako forever.(hapa anayeweza kukuokoa ni Mungu pekee) maana roho yako inakuwa placed somewhere and mwili wako unakuwa cloned na roho chafu(demon)
Hawa watu wanakontrol tasnia yote ya Hollwood huwezi shine bila ya mkono wao...wakitaka unashuka wakitaka unapanda
Refer Laurin hill wa FUGEES yeye aligoma kutoa mimba yake kama sacrifce ( ile ya mtoto wa bob marley) ndo wakaamua kumzima mazima.
Ukiwakataa utapewa kesi za kodi,utaambiwa mteja wa unga utapewa kesi za kubaka watoto au wanawake (remember media wanazicontrol wao) NB:WHOEVER CONTROL THE MEDIA CONTROL THE "MIND" OF THE PEOPLE.
So ni almost wasanii wote na ma actors actress models...wanapenda kuwatumia hawa maana wao ni rahisi kudanganya watu wengi kwa urahisi.
Beyonce akijikata kidole damu insta utashangaa wasichana dunia nzima wakijikata nao kidole damu ( hawajui mwenzano anafanya agano na shetani na wao kwa kutoa damu zao nao wanaungana kumtolea sadaka shetani)
Kama wakumbuka shetani alipomchukua Yesu mpk mlimani akamwambia ukinisujudu kila kitu kitakuwa chako....well Yesu alisema NO! But vijana wa sasa wanasema Yes..so wanapata umaarufu pesa but wanakuwa wameuza roho zao ndio maana wanafanya mambo kama hawana wazazi coz hawajali wanakuwa poses na shetani.
Entertaiment Industry is controlled by the Devil...since wayback but now ni mbaya zaidi...si US pekee hata Africa mpk East Africa. Utawajua kwa sign zao za 666 au pembe tatu black n white drafts...etc
So ushauri ukipenda nyimbo zao poa sikiliza but hakikisha hazikupandi kichwani ukajikuta nawewe eti msanii ni idol wako eti uko radhi kumtetea ilhali hujawahi hata kutanana nae.(hapo ni kama unamuabudu)
JIULIZE TULIMJUAJE KIM KARDASHIAN...well ni kwenye video ya ngono yake na Mdogo wa brandy Ray J...Je unajua ana folowers wangapi insta ya vijana kote duniani kama eti ndio idol wao(yaani kioo chao)
Idolism ni devil stuff....binadamu hawezi kuwa idol wako.....
Kwenye wimbo wa Nyanshiski wa KEBS kaimba "The industry is full of demons are you sure you want Fame?(to be famous?".
 
Sawasawa.....replacement imefanyika sana wakati wa vita baridi,kwa majasusi hasa mambo za espionage... MJ, CIA hawawezi kuwa na shida nae..Malcolm Lumumba yuko sawa hoja zake
Hahahh Malcom Lumumba unakumbuka kuna yule ndugu yake na Yericko Nyerere somebody nyerere alikuwa anakuja na maandiko ya Human Life Decoy humu JF?, sijui hadi raisi wa USA ni replacement ya Russia!.
Me kusema kweli nilikuwa namuona kama UPS (uninturrupted power supply) yake imekata kichwani 😉.
 
Nilicheki movie moja ya Nicolas Cage na Travota.
Ndio kulikuwa na hayo mambo.
Inaitwa "face off "

Kumbe haya mambo yapo kweli.
Ile sio Clone ni Face Transplant kitu cha kawaida sanaa!!.. Cloning inahusu kutoa DNA yako ambayo ndio library ya mwili wako then tunazalisha katoto ambako kakikua kanakuwa kama wewe!.
 
Si ushasikia kitu kinaitwa "deal with the devil"?. Unaingia mkataba na shetani anakupa umaarufu na pesa then unauza roho yako forever.(hapa anayeweza kukuokoa ni Mungu pekee) maana roho yako inakuwa placed somewhere and mwili wako unakuwa cloned na roho chafu(demon)
Hawa watu wanakontrol tasnia yote ya Hollwood huwezi shine bila ya mkono wao...wakitaka unashuka wakitaka unapanda
Refer Laurin hill wa FUGEES yeye aligoma kutoa mimba yake kama sacrifce ( ile ya mtoto wa bob marley) ndo wakaamua kumzima mazima.
Ukiwakataa utapewa kesi za kodi,utaambiwa mteja wa unga utapewa kesi za kubaka watoto au wanawake (remember media wanazicontrol wao) NB:WHOEVER CONTROL THE MEDIA CONTROL THE "MIND" OF THE PEOPLE.
So ni almost wasanii wote na ma actors actress models...wanapenda kuwatumia hawa maana wao ni rahisi kudanganya watu wengi kwa urahisi.
Beyonce akijikata kidole damu insta utashangaa wasichana dunia nzima wakijikata nao kidole damu ( hawajui mwenzano anafanya agano na shetani na wao kwa kutoa damu zao nao wanaungana kumtolea sadaka shetani)
Kama wakumbuka shetani alipomchukua Yesu mpk mlimani akamwambia ukinisujudu kila kitu kitakuwa chako....well Yesu alisema NO! But vijana wa sasa wanasema Yes..so wanapata umaarufu pesa but wanakuwa wameuza roho zao ndio maana wanafanya mambo kama hawana wazazi coz hawajali wanakuwa poses na shetani.
Entertaiment Industry is controlled by the Devil...since wayback but now ni mbaya zaidi...si US pekee hata Africa mpk East Africa. Utawajua kwa sign zao za 666 au pembe tatu black n white drafts...etc
So ushauri ukipenda nyimbo zao poa sikiliza but hakikisha hazikupandi kichwani ukajikuta nawewe eti msanii ni idol wako eti uko radhi kumtetea ilhali hujawahi hata kutanana nae.(hapo ni kama unamuabudu)
JIULIZE TULIMJUAJE KIM KARDASHIAN...well ni kwenye video ya ngono yake na Mdogo wa brandy Ray J...Je unajua ana folowers wangapi insta ya vijana kote duniani kama eti ndio idol wao(yaani kioo chao)
Idolism ni devil stuff....binadamu hawezi kuwa idol wako.....
Kwenye wimbo wa Nyanshiski wa KEBS kaimba "The industry is full of demons are you sure you want Fame?(to be famous?".
Aisee..Ahsante sana..Nina mengi nataka kuyajua...univumilie na maswali yangu
 
Anhaa kumbe siyo Clone ni Reptilians tena....
Mkuu Eiyer anasema hawa ni nephilims ambao wametuzidi sisi akili.
Sasa Area 54, Ancient Aliens, Clones, Reptilians, Fallen Angels, Nephillims, Illuminati etc vyote vipo vinafanya kazi ???
Swala la kutengeneza ɓinadamu feki mwengine afanane kila kitu na binaɗamu halisi mi kwangu ɓado naona giza(kautafiti kangu bado hakajatick)...
ila sasa kwa kusoma bible na 'The first and second book of Adam and Eve' ukizungumzia reptilian anayezungumziwa kama evil serpent( kuna mtu alifanya interview kwa siri na mmoja wapo anadai hivyo..zaidi google the lacerta files/ nimeamɓatanisha pɗf file)..ambaye alikuwa malaika hapo mwanzo na waliohasi ni pamoja na wale waliojiɓadilisha na kuvaa miili ƴa binaɗamu ili kutemɓea na maɓinti waliokuwa kipindi hicho na kuzaa majitu (wanefili)..
The same situation kwa hali ilivƴo sasa kuna reptilians wanajivika miili ƴa binadamu na kuishi kama wanadamu saɓaɓu wana uwezo kujibadili wakaonekana kama watu kumɓe sio na wa kusoma fikra za mtu (zaidi google lacerta files au check youtube search usikilize )
+ kuna watu maarufu mɓali mɓali wameripotiwa kuwa na hali ama muonekano sio wa kawaida na wamenaswa na camera na kuna youtube video zao zinaoneshwa sio viumbe wa kawaida na kuhisiwa ni jamii ƴa reptilians waliojivika miili ƴa binadamu na hao pia conspirancy theorists wanawaita clone zaidi fuatilia...
Zengine utazipata youtube humo humo
AsanteView attachment the-lacerta-files-1.pdf
 
Back
Top Bottom