Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Hakuna kinachoshindikana, hizo moves zote za MJ ukipigishwa training ya kufa mtu unamasta tuu
Tangu akiwa hai matabibu kadhaa waliwahi kukiri kwamba jamaa alizaliwa akiwa na nguvu za ziada katika uti wake wa mgongo......

Moves za kawaida wengi wameweza lakini sio ile ya kukunja mgongo tena laivu sio editing na hapo ndipo nashindwa kukubaliana na hii clones

Lakini pia kuhusu sura ya Michael Jackson ni kuwa alikuwa ni black lakini mwanzoni mwa miaka ya 93 aliugua ugonjwa wa ngozi(vitiligo)ambapo watu wake wa karibu walisema alikuwa akilaani sana na mara kadhaa alikuwa akisema wamemwambukiza makusudi ugonjwa ule,hapa wajuvi wanasema wakati huo alikuwa akitumikia jamii flani za siri(illuminant)na waliomfanyia hivi jamii flani ya siri iliokuwa na mlengo wa kibaguzi.

Mwaka 94 MJ alifanikiwa kufanya upasuaji wa ngozi yake na ndio maana unaona picha nyingi zikatoka akiwa na uzungu hadi anaingia kaburini.

Unaweza uliza kuhusu watoto wake kuwa wazungu ni kwamba hadi MJ anakufa alikuwa na mtoto mmoja tu ambae ni rangi nyeusi lakini hawa wengine ni wakupandikiza tu kwa sababu wakati wa kufanyiwa upasuaji ilibidi ikulu ndogo idistabiwe ili upasuaji ukamilike mwili mzima hivyo kufanya akose uwezo wa baadhi ya mambo

Hivyo kusema clones ya mwaka 84ifanye kazi na dunia iamini si kweli

Na naweza kusema kuhusu kubadilika tabia kwa MJ ni sababu yake yeye kuchagua kuachana na iman ile(sina hakika)japo unaeza kuona ya kuwa mabadiliko yake yaliendelea na ndo akaachia kibao cha Black and White ambacho kaeleza mengi humo na hata video yake iliakisi mengi na wengi miaka hiyo wakasema ni kama njia ya kujitakasa na tangia hapo MJ alibadilika sana kitabia na aliwindwa sana ili auwawe na ndio maana hadi leo hii Dada yake anaamini MJ aliuwawa

Na hata ushahidi kadhaa ulionekana kwamba kabla ya kifo MJ alikuwa anapambana na mtu ndo umauti ukamkuta japo daktari wake wa kuaminika anahusishwa sana na kifo chake

Lakini kusema clone ilikufa tena sio kweli bana hakuna kitu kama hicho na sidhani kama kitatokea miaka ya karibuni

Eti mimi mwizi wa mbuzi kule Nyabhirango na nakimbia m100 kwa sekunde kumi na copy yangu iwe hivyo hivyo si kweli
 
Mkuu Kudo,
Unelewa nini katikaa hili neno..
Human cloning is the creation of a genetically identical copy (or clone) of a human.
Nikipata muda sawia kabisa nitakuja kukwambia nielewavyo na wapi ipo hadi sasa
 
25511309fcd69db3a8ee6664a1add2d4.jpg

5438245776d984621cabf780a0fca71c.jpg
he was so cute[emoji4]
 
Na akishafanyiwa modification huyo ni replacement sio clone tena!... Me imegoma kunikubalia kabisa!.
Sawasawa.....replacement imefanyika sana wakati wa vita baridi,kwa majasusi hasa mambo za espionage... MJ, CIA hawawezi kuwa na shida nae..Malcolm Lumumba yuko sawa hoja zake
 
hahahha...wakuu nimefuatilia comments zenu "" nimebaki kupatwa na bubumbuwazi "" haya madai ya MJ kuwa copy "" yanaweza kuwa ni sahihi lakini inafikirisha sana " na yanaweza kutokuwa sahihi pia "".... yaweza kuwa ni story za media ili wawze kuvuta Pesa ndefu ""... lakini kitu cha kufikirisha " yawezekana vipi MJ azae Watoto wazungu pure wakati yeye alikuwa ni mweusi " yaani Watoto hawana hata "" mchanganyiko "" jamani ..like seriously


asante mkuu "" Kudo nimeshawasili
Kusu watoto mbona liko wazi kama jamaa alinunua spam hospital na doctar wake ndio anashukiwa zaidi kama spam zilitoka kwake
 
Kusu watoto mbona liko wazi kama jamaa alinunua spam hospital na doctar wake ndio anashukiwa zaidi kama spam zilitoka kwake
kwahiyo mj alikuwa hana uwezo wa kuzalisha "".. akaona afanye hivyo ..!?!?
 
Hapa kwa Beyonce naamini..na nilisikia Beyonce og amekufa yule Tunaemuona ni Sasha..ule ni mwili tu wa beyonce
Yeah Mind sio yeye ni demon. But yeye kama yeye anakuwa amewekwa in a very sinking place just chek movie ya GET OUT utaelewa zaidi. Kuna wanaibuka inarudi na kutoka kama spirit yako iko na nguvu kama Kanye west akina Tupac so wakishindwa kabisa kukukontrol then wanakuua mazima kama 2pac kanye wameshampiga tena MK UTRA hawezi tena kurudi kama zamani...au mtafute britney kama wamsikoa tena....nae alifufuka ghafla wakamzimisha kwa midawa
 
Back
Top Bottom