A teller
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 531
- 724
mkuu nadhani ukienda deep sana utajuaAisee sifahamu, yanapata faida kiasi gani na kwa njia ipi ???
mkuu nadhani ukienda deep sana utajuaAisee sifahamu, yanapata faida kiasi gani na kwa njia ipi ???
MJ nilikua namuonea huruma sana, ss sijui ni yupi
Mimi sifahamu ndiyo maana nataka unieleweshe wewe mtaalam.mkuu nadhani ukienda deep sana utajua
magonjwa ni biashara kama zingine.Nimesoma sana haya mambo na kweli duniani kuna teknolojia za ajabu sana: Maana sasa hivi kuna wanasayansi wako kwenye utafiti wa kifaa kinachoweza kucheza na kubadilisha hisia za watu kwenye Ubongo.
Lakini kinachonifanya niwaze ni kivipi mtu anaweza kuiga kile kipaji cha MJ kwa miaka yote ile ???
Halafu tena wanajichanganya sana hapo kwenye cloning, maana nijuavyo mimi clone ni Replica ya mtu, sasa Jepsin mtamwitaje clone wa Michael Jackson ??? (Au mimi ndiyo sielewi)
NB: Kama hii teknolojia ya Cellular Regeneration imeanza miaka ya 1960's basi leo hii mwanadamu angekuwa na uhakika wa kuweza kuishi miaka mingi zaidi kuliko ilivyo sasa. Pili upande wa magonjwa dunia ingekuwa imepiga hatua sana, maana Kansa na Kisukari yangekuwa yameshataftiwa suluhu ya kudumu. Lakini mpaka leo tumeona dunia imepoteza watu wenye umuhimu kwa magonjwa na wala hakuna kinachofanyika.
Utaulizwa maswali mkuu ushindwe kujibu,..Nami nimepata story ya kunipaisha kijiweni.
Kivipi mkuu, nielezee basi...magonjwa ni biashara kama zingine.
mkuu mbona dawa nyingi zinabecome imported nchini na watu wanazitumia kumbe ndizo zinazowaua mapemaMimi sifahamu ndiyo maana nataka unieleweshe wewe mtaalam.
Conspirancy theorist -Wanaenda mbali zaidi wanachosema ni kwamɓa clone anakuwa ni kiumɓe mwengine(reptilian/alien) anayevaa uhusika wa mtu/binaɗamu ili kuwalaghaa ...kuunɗa na kuimalisha jamii yao duniani kufanikisha uundwaj wa serikali moja (ndo mamɓo ƴa New World Order kama ulishaisikia) ..wanasema viongozi wa mataifa makuɓwa kama putin ...queen elizabeth are reptilians even pope...na mifano yao kwa kutizama movie za kimarekani wanatoa ujumɓe kwa njia hiƴo kama ukifuatilia series inaitwa V (visitors) ama X-files.Da'Vinci Kuna conspiracy nyingine za watu mashuhuri hizi hapa:
1. Wanasayansi wa kisovieti walikataa kumzika Vladmir Lenin na wakisema watatafuta sayansi ya kumfufua.
2. Raisi John Kennedy hakufa na alitekwa na John Connolly ili kutengeza Clones wake.
3. Raisi Vladmir Putin alishwatolewa madarakani muda na huyu wa sasa ni clone wake ndiyo maana mke kakimbia.
4. Rais Yeltsin alikataa kwenda Japan kwasababu Marekani na Japan walipanga kumbadilisha FSB wakamwonya mapema.
And the list continues ad infinitum....
hahahha...wakuu nimefuatilia comments zenu "" nimebaki kupatwa na bubumbuwazi "" haya madai ya MJ kuwa copy "" yanaweza kuwa ni sahihi lakini inafikirisha sana " na yanaweza kutokuwa sahihi pia "".... yaweza kuwa ni story za media ili wawze kuvuta Pesa ndefu ""... lakini kitu cha kufikirisha " yawezekana vipi MJ azae Watoto wazungu pure wakati yeye alikuwa ni mweusi " yaani Watoto hawana hata "" mchanganyiko "" jamani ..like seriouslyHata Nelson Mandela alietoka gerezani alikuwa copy
Malcom Lumumba umeicheki muvi ya Orphan black?Huwa naangaliaga sana movie za human cloning sikuwa na uhakika kama hii kitu ni real. witnessj ukuje huku umsikie da vinci
Conspirancy theorist -Wanaenda mbali zaidi wanachosema ni kwamɓa clone anakuwa ni kiumɓe mwengine(reptilian/alien) anayevaa uhusika wa mtu/binaɗamu ili kuwalaghaa ...kuunɗa na kuimalisha jamii yao duniani kufanikisha uundwaj wa serikali moja (ndo mamɓo ƴa New World Order kama ulishaisikia) ..wanasema viongozi wa mataifa makuɓwa kama putin ...queen elizabeth are reptilians even pope...na mifano yao kwa kutizama movie za kimarekani wanatoa ujumɓe kwa njia hiƴo kama ukifuatilia series inaitwa V (visitors) ama X-files.
Series huwa sifuatilii sana siku hizi mkuuMalcom Lumumba umeicheki muvi ya Orphan black?
hahaha ...umewaona ""!?Hebu wewe na kibebi chako mtoke hapa msituharibie uzi.......
hahaha ...umewaona ""!?Hebu wewe na kibebi chako mtoke hapa msituharibie uzi.......