Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kweli kaɓisa watakuwa bado kwenye majariɓio lakini sio kumaanisha clone 100 percent hata hiyo 80 percent hawajafanikisha mfano guccimane wa sasa ƴule aliyetoka kifungoni na wa kaɓla ƴa kifungo...ricƙ ross huƴu wa sasa na na ƴule aliƴeripotiwa kulazwa na dave chapelle ..ukiwaangalia hata kwa picha sawa sawa umchukue mbappe na dida wa brazil useme ni mtu mmoja japo kuna kamfanano ka kulazimisha!
Iam interested with Chapelle. What's about him?
 
Kuna interview kafanyiwa mpwa wake aliokuwa karibu na dave nadhani ukifuatilia unaweza muelewa kidogo ila alichomaanisha kwa ujumla yule sio mwenƴewe
Kuna interview moja ya chapelle alikuwa anaongea kuhusu Hollywood aisee kuna mambo yanautata sana ndiyo maana niko interested na huyu jamaa hasa baada ya kukataa lile deal na kukimbilia South Africa. Kuna mweusi gani anakataa mkataba kama ule? There must be something more
 
hahahha...wakuu nimefuatilia comments zenu "" nimebaki kupatwa na bubumbuwazi "" haya madai ya MJ kuwa copy "" yanaweza kuwa ni sahihi lakini inafikirisha sana " na yanaweza kutokuwa sahihi pia "".... yaweza kuwa ni story za media ili wawze kuvuta Pesa ndefu ""... lakini kitu cha kufikirisha " yawezekana vipi MJ azae Watoto wazungu pure wakati yeye alikuwa ni mweusi " yaani Watoto hawana hata "" mchanganyiko "" jamani ..like seriously

asante mkuu "" Kudo nimeshawasili
Tuna mengi ya kujiuliza lakini kwa mifumo yao ya afya hili si jambo gumu kujua ukizingatia watoto wote wapo na ndugu wa kuzaliwa wa mj wapo DNA inaweza husika
 
Exactly, Steve Jobs sio mtu mdogo iweje akafa, yule Rockafellar aliyekufa anafanyiwa upandikizi wa moyo naye sio mtu mdogo tena tunavyoaminishana ndio freemason family, mke wa Bush, hapo bado na wengine kibao wakubwa.
Tech imeendelea lakini sio kufika huko aseh!.
Clone inawezekana lakini sio substitute ya immortality. Mungu alisema hakika mtakufa, clone mtatengeneza lakini kufa mtakufa kwa mapenzi yake. Hata uwe nani, Hata Shetani kuna siku atakufa siyo immortal pia
 
Lakini kuna watu miaka ya zamani hawakuwahi amini wanaweza paa!..
 
No Beyonce ni Og lakini yupo possessed na demon Sasha Fierce aliepewa huko alikoenda kuomba luck na fortune(illuminati) . Hivyo Sasha huwa anasaidia kumcontroll Beyonce wakati yupo nje ya role,

according to Beyonce kwenye interview moja alisema " Sasha fiirce anaishi ndani yangu, alikuwa introduced rasmi(mwaka flan alipotoa wimbo flan hivi) huwa anatokea/ anakuja napokuwa jukwaani napeform incase napokuwa nervous hutokea kucontroll body posture, voice na my sexy appearance kukeep everything normal"

Hii case ni like Nicki Minaj, yupo possessed na demon aitwae Roman-
"Roman lives within me, he's violent, rude, he say things I don't wanna say, he sometimes do things I don't wanna do".
That's why Nicki is naughty na mtu wa mabeef coz she's not her, she's been possessed
 
Una madini kichwani had I raha
 
Mbona hao hao wanasema kuwa huyu aliyekufa juzi nae walimuua pia? Au clone nae alizinduka akajua kuwa yeye sio yeye???
Maana ukiangalia interview za MJ nyingi anaelezea hawa jamaa (underwolrd kuwa sio wazuri ) and THEY DONT CARE ABOUT US reffer wimbo wake.
Hii cloning ni Mind control programe kama waliyomfanyia Kanye west ndio wanaita cloning inakuwa mwili wewe lakini mind sio wewe ni kama mtu aliyepandisha shetani anakuwa mwili yeye but anaeongea sio yeye.
But kwa hawa ni program special ya demon....ambayo wewe halisi na tabia zake unakuwa buried somewhere lakini sometimes ni kama unarudi na kusepa reffer GET OUT. NA IKITOKEA UMERUDI NA KUELEWA WHAT U R DOING NDIO INATOKEA KAMA KWA KANYE SIKU ILE JUKWAANI ALIPORANT FOR 15 MINUTES.
BUt tatizo hawa wana nguvu wakamchukua fasta wakamweka polisi then mara wakatuambia eti ni kichaa then akawekwa hospital mwezi alipotoka tu akawa kama ZOMBI.
Msikilize 2pac kwenye album nadhani ya KILLUMINAT anasema how they want to control his "mind" lakini hataki.
Kama una power kwa watu lazima wakukontrol kama hawawezi the watafanya kama kwa Malcom X na the likes
NB: Source mbali mbali...U can choose kuamini au kutoamini.
Nakumbuka niliangalia makala moja mwaka jana ikihusisha vifo vya wasanii mbali mbali hususani wa Marekani, nilichogundua vifo vingi vya wasanii vinafanana sana. Maana ukiangalia sana utagundua wengi baada ya mafanikio fulani unaona kama kuna shinikizo nyuma yao linalowaamulisha kufanya mambo pasi na ridhaa yao. Wengi utagundua wamebadilika kiakili kwa mambo wafanyayo, na hapo makala ilienda mbali na kuhusisha kanisa la (church of scientology) kwamba ndilo ambalo wasanii hupelekwa akitoka siyo yeye tena. Vifo vya wasanii wengi vimehusishwa sana na kanisa hili, na humo huingia watu maalum tu.
 
Attachments

  • Scientology_Symbol_Logo.jpeg
    Scientology_Symbol_Logo.jpeg
    16.2 KB · Views: 60
  • Scientology_Symbol_Logo.jpeg
    Scientology_Symbol_Logo.jpeg
    16.2 KB · Views: 55
Sio jambo jipya.

CIA ilimuandaa na kutuletea Jimmy Carter wa pili ilihali Jimmy Carter wa kwanza ambaye ndiye alikuwa Rais wa kipindi hiko wa Marekani kutoonekana kwa muda mrefu hadharani kwa kuumwa.

Hivyo.baada ya miezi kadhaa Rais Jimmy Carter alirudi madarakani kuendelea na majukumu yake ya Urais.

Lakini wananchi wakaanza kuwa na mashaka mbona Rais wetu amekuwa kijana zaidi halafu mfupi kidogo sio kama awali.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Huenda bado ni clone haiwezekani marais wenzake wa zamani wafe ye awepo hai tu mpaka leo, atawale miaka ya 70 mpaka leo awepo [emoji40] hata kama alitawala bado mdogo.

Sijui ana issue gani, simsikiagi kabisa duniani
 
Nakumbuka niliangalia makala moja mwaka jana ikihusisha vifo vya wasanii mbali mbali hususani wa Marekani, nilichogundua vifo vingi vya wasanii vinafanana sana. Maana ukiangalia sana utagundua wengi baada ya mafanikio fulani unaona kama kuna shinikizo nyuma yao linalowaamulisha kufanya mambo pasi na ridhaa yao. Wengi utagundua wamebadilika kiakili kwa mambo wafanyayo, na hapo makala ilienda mbali na kuhusisha kanisa la (church of scientology) kwamba ndilo ambalo wasanii hupelekwa akitoka siyo yeye tena. Vifo vya wasanii wengi vimehusishwa sana na kanisa hili, na humo huingia watu maalum tu.
Kina Tom Cruise, but he's cool I like him
 
Niliona movie moja jamaa kapewa mission sema alishndwa kuitimiliza akapgwa na kupatwa na majeraha ya kuweza kumfanya hasi-complete hyo mission pengne kumpelekea kupoteza maisha waliona atakufa..

Na kwa kuwa siri ya mission aliijua yeye kwenye kitengo chao cha CIA ikabidi atafutwe mtu ambaye anaweza kubadilishiwa akili ili awe kama yeye ktk kuweza kufanikisha..

Kwahyo dkt akasema inawezekana lakini atafutwe mtu ambye hana akili ili wambadilishie akili za yule jamaa ambye anajua mission nzima kabla hajafa...

Waliweza kumtafuta mtu huyo ambaye wao walidhani hana akili kwa kuwa eti aligongwa na baba yake ktk ukuta tangu akiwa mdgo kwahyo akili zakakimbia[emoji3], huyo jamaa alikuwa jela kwahyo aliwezwa kutafutwa na kwa kuwa hakuwa na akili aliweza kufanya tukio lolote bila kujua ni sahihi au lah (si hana akili) ndyo lengo la kumpeleka jela...

Baadae alitafutwa wakafanya utaratibu kabla yule jamaa wa CIA hajapoteza maisha wakafanikiwa kubadili akili zake na kumpatia huyo ambye hana akili..

Hapo akafariki maisha... Walifanikiwa kumbadilishia akili ili aweze kuwaza au kujua au kufanya chochote kama yule wa mwanzo maana ile ilikuwa siri ambyo alikuwa nayo yule aliyepoteza maisha...

Walifanikiwa lakini mwanzoni ilimuwia vigumu baadae sana akarecover akaanza kuwaza kama wa mwanzo hata kazi na kumbukumbu kama za yule wa mwanzo na lengo la mission lilienda sawa..

Hadithi hyo fupi nimejiuliza je inawezekana au ni kama movie ambyo nimeelezea hapo kuhusu mada hiyo?
inaitwaje mkuu
 
Yana dawa kumbe ???
Mimi nilikuwa sijui hilo mkuu, hebu nidadavulie kidogo basi.
Mi nilishuhudia boss flani was kitengo cha utafiti aliugua HIV.alikuwa amekwisha akaja rafiki yake kutoka uingereza kuja kufanya utafiti wa magonjwa tz.alipomkuta aliuzunika sana alivyokuwa kaisha.alimuahidi atamletea dawa.na jamaa sa hv yupo vizuri sana na wala sio kwamba anatumia ARV
 
Back
Top Bottom