Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,912
- 3,276
Kitu pekee ambacho si rahisi kukubaliana nacho ni kumwondoa fulani ili fulani(clone) awe mbadala kishavwafanane kwa kila kitu. Otherwise kuna ndumba + technology.
Ni simple kuzalisha kiumbe wa namna hiyo kisha kumtumia kulingana na malengo yaliyofikiwa kabla. Ndiyo maana kuna watu matukio yao siyo ya kumithirika.
SWALI FIKIRISHI.
Inakuwaje hata kwa nchi zilizopiga hatua kuwa na watu ambao inafikia hatua ya kuwa maarufu lakini historia zao ni zile za kuungaunga na utata mwingi? Ikiwa tu watu waliozaliwa miaka ya 1,400's historia zao ziko wazi.