Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

MJ
IMG_20181013_182801_591.jpg
IMG_20181013_183045_131.jpg
IMG_20181013_182914_092.jpg
IMG_20181013_182842_103.jpg
IMG_20181013_185006_665.JPG
IMG_20181013_183420_697.JPG
 
Da'Vinci Kuna conspiracy nyingine za watu mashuhuri hizi hapa:
1. Wanasayansi wa kisovieti walikataa kumzika Vladmir Lenin na wakisema watatafuta sayansi ya kumfufua.
2. Raisi John Kennedy hakufa na alitekwa na John Connolly ili kutengeza Clones wake.
3. Raisi Vladmir Putin alishwatolewa madarakani muda na huyu wa sasa ni clone wake ndiyo maana mke kakimbia.
4. Rais Yeltsin alikataa kwenda Japan kwasababu Marekani na Japan walipanga kumbadilisha FSB wakamwonya mapema.

And the list continues ad infinitum....
Nina wasiwasi hata yule Kiduku wa North Korea watakua wamemfanyia hii kitu.
 
Nimesoma stori nyingi kuhusu hii ishu, binafsi inanichanganya. I didnt choose to believe it or deny it. Kuhusu eminem nilisoma articles kadhaa kwamba sio eminem halisi, eminem halisi alishafariki kitambo. Wengine waliotajwa kuna Miley Cyrus na Paul McCartney nao inasemekana sio halisi!
The world has a lot to be revealed!
 
No Beyonce ni Og lakini yupo possessed na demon Sasha Fierce aliepewa huko alikoenda kuomba luck na fortune(illuminati) . Hivyo Sasha huwa anasaidia kumcontroll Beyonce wakati yupo nje ya role,

according to Beyonce kwenye interview moja alisema " Sasha fiirce anaishi ndani yangu, alikuwa introduced rasmi(mwaka flan alipotoa wimbo flan hivi) huwa anatokea/ anakuja napokuwa jukwaani napeform incase napokuwa nervous hutokea kucontroll body posture, voice na my sexy appearance kukeep everything normal"

Hii case ni like Nicki Minaj, yupo possessed na demon aitwae Roman-
"Roman lives within me, he's violent, rude, he say things I don't wanna say, he sometimes do things I don't wanna do".
That's why Nicki is naughty na mtu wa mabeef coz she's not her, she's been possessed
It Means wapo kina Beyonce real na fake??
 
Cloning kwa kibongo bongo ni kufanywa msukule, tatizo wenzetu wamewatangazia dunia kuwa hawafanyi na hawamini katika uchawi wakati wao ndio wachawi namba moja, sasa ni vigumu tena kuja kusema kuwa fulani kachukuliwa kichwani.

Kuna kipindi nilimsikia askofu gwajima akisema kuwa kuna misukule kuna wa aina nyingi, moja wapo ndio hiyo mtu bado yupo hai lakini ni msukule.
 
Duh Mfano kwenye show...beyonce real anapiga wimbo A then wimbo B anakuja Beyonce fake anaperfom wanaexchange mpaka Show inaisha.huyo fake Ndo anaweza akaongea ujinga jukwaani? VP jigger anaweza kumtambua real na fake?? Au anayekuwa naye wakati huo Ndo huyohuyo. Da'Vinci
 
Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.

Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.

Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.

January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial

Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids

Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora

Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.

Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
Dunia ina mambo
 
Back
Top Bottom