Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Aiseee,haya mambo ni fikirishi sana,.Kwa maelezo yao huyo ndiye
Aiseee,haya mambo ni fikirishi sana,.Kwa maelezo yao huyo ndiye
KWANINI NAKATAA MJ HAKUWA CLONING SUBJECT.
Kama hiyo technology ingekuwepo kungekuwa na maendeleo makubwa sana duniani, leo hii tumehama toka Greenhouse Agriculture tumeenda mpaka UV light Agriculture ambapo tunaweza clone vitu but havitaishi kwenye muda sawa (kimoja kitakuwa baba/mtoto wa kingine).
it conspirancy!
Cc Malcom Lumumba Da'Vinci' Elungata
Hahahaaha duuuhNahisi hata Dr. Slaa na Prof Lipumba nao watakuwa ni copy
Mbona hao hao wanasema kuwa huyu aliyekufa juzi nae walimuua pia? Au clone nae alizinduka akajua kuwa yeye sio yeye???Human Cloning ni nini..?
-Ni teknolojia inayohusu kutengeneza binaadam maabara genetically ambapo huchukuliwa Cells na tissue kisha kuzalishwa.Kile kilichotengenezwa (Copy) hufana hufanana na 99.99% na kile kiumbe cha kwanza. Cloning imeanza miaja ya 1960s. Kuna nchi takriban 70 teknolojia hii imeziwiliwa kutumika mfano India,Argentina,Australia,Canada etc..
Lakini baadhi ya vyombo vya siri hutumia teknolojia. CIA wanahusika kiasi kikubwa katika matumizi ya Teknolojia hii.
Hua wanafanya vipi...?
Hua wanaangalia mtu fulani ambaye wanaona ni ni tishio kwao Economically, socially and Politically kisha anatengenezwa mtu anayefanana 99.99% na yule ambae ni kikwazo.Kisha yule tishio anauawa. Akisha uawa yule aliyetengenezwa anaanza kazi.
Hicho ndicho kilichomtokea msanii Michael Jackson, alifariki mwaka 1984 kisha akaletwa FRANK JEPSIN kama michael Jackso ambae wanafanana asilimia kubwa na the late MJ.
Wapo wengi wamefanyiwa hiki kitu, Victim mwingine wa hili ni Eminem.
January 27, 1984: Michael Jackson's hair catches fire during Pepsi commercial
Lakini imegundulika kua hawa watoto wa sasa tunaowafahamu kua ni wa MJ imegundulika sio wake.
====
Five days after Michael's death, TMZ reported that the late music icon was not the biological father of any of his three children, nor was Debbie Rowe the mother of the two kids to which she gave birth. According to sources, neither Michael's sperm nor Rowe's eggs were used for the embryos that became Prince and Paris. Sources claim Blanket was conceived by a surrogate who did not know she was carrying the King of Pop's baby. Michael's lawyer picked Blanket up from the hospital and delivered him to Michael, reported TMZ. Blanket's mother is rumored to be a Mexican nurse named Helena, according to the Mirror.
Curiously enough, in the midst of a wrongful death lawsuit against AEG Live, Michael's mother, Katherine Jackson, fought the court to prevent it from hearing evidence about the conception of Jackson's children. Weird, no?
Read More: The weirdest stories about Michael Jackson's kids
Mnakaribishwa kutoa michango yenu..
@Abbu_yazid geesten66 mtu chake baba bora
Note. Sio lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.
Sio mwandishi mzuri sorry.
Vinci...
Naitafakari hii picha
Sanaa inawezekana sisi tunaendeshwa na kikundi cha watu bila sisi kujua wanaloamua wao sisi tunafuata tuAiseee,haya mambo ni fikirishi sana,.
Huyo FRANK JEPSIN basi siyo clone ya wacko jacko tumuite human replacement au doppleganger wa wacko jacko!.. Isingewezekana akaishi kipindi sawa na MJ wakati yeye ni copy!.
Hili ulilosema naliafiki,.wanacheza na mind za watu na kui-run dunia wapendavyo,.nadhani kama ni "program" basi ni ya hali ya juu na haijaanza sasa..lakinii hii ni sayansi,uchawi,au ni nguvu zipi hasa zinazoweza kufanya vitu namna hii au ndio "ushetani" ama ni nini hasa?!Sanaa inawezekana sisi tunaendeshwa na kikundi cha watu bila sisi kujua wanaloamua wao sisi tunafuata tu
Yes Malcom Lumumba you are right mate![emoji1]Palantir
Mosi, nimemuuliza Da'Vinci kama huyo Jepsin alikuwa ni Replica au Replacement hajanijibu.
Pili, kama Jepsin angekuwa ni Clone wa Michael Jackson basi hata watoto wangefanana DNA na Michael Jackson 100% kwasababu hata Jepsin alikuwa ametoka kwa Michael (Hapa nimecheka sana)
Tatu, mwanadamu ni zaidi ya Cellular Build Up, tabia za mwanadamu siyo Biological na hazitengenezwi maabara. Katika ukuaji wa mazingira yanahusika sana. Huenda labda mimi sielewi, najua kwenye ubongo kuna seli ambazo zinatunza kumbukumbu za mtu na kuendesha tabia. Lakini je, tunaweza kuhamisha kila kitu ambacho Malcom anajua kwenda kwenye Ubongo wa Malcom Replica ????
Hayo yote uliyoyataja mchanganyiko wake ndiyo haya matokeo yake maana siyo uwezo wa kawaida tu wa mwanadamu kufanikisha hayaHili ulilosema naliafiki,.wanacheza na mind za watu na kui-run dunia wapendavyo,.nadhani kama ni "program" basi ni ya hali ya juu na haijaanza sasa..lakinii hii ni sayansi,uchawi,au ni nguvu zipi hasa zinazoweza kufanya vitu namna hii au ndio "ushetani" ama ni nini hasa?!
Na akishafanyiwa modification huyo ni replacement sio clone tena!... Me imegoma kunikubalia kabisa!.Nimejiuliza swali kama hilo
How come mtu afanyiwe cloning then awe sawa na huyo jamaa in a matter of few days/or months?
Yani huyo clone anakua na kufikia umri wa og specie kama ameprintiwa?
Maybe mngesema kulikuwa na mtu wamemfanyia surgery afanane na MJ then wakamfanyisha mazoezi ya tabia na hulka cha MJ
yaap'Aliyefariki 1984?!
Na huyu aliekufa baadae?!yaap'