Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Conspirancy theorist -Wanaenda mbali zaidi wanachosema ni kwamɓa clone anakuwa ni kiumɓe mwengine(reptilian/alien) anayevaa uhusika wa mtu/binaɗamu ili kuwalaghaa ...kuunɗa na kuimalisha jamii yao duniani kufanikisha uundwaj wa serikali moja (ndo mamɓo ƴa New World Order kama ulishaisikia) ..wanasema viongozi wa mataifa makuɓwa kama putin ...queen elizabeth are reptilians even pope...na mifano yao kwa kutizama movie za kimarekani wanatoa ujumɓe kwa njia hiƴo kama ukifuatilia series inaitwa V (visitors) ama X-files.
Hata Sadam hussein aliyenyongwa alikuwa ni feki pia kifo cha Osama bin laden kilikuwa ni feki na walifariki kitambo sana watu hawa nashangaa watu wengi wanaamini kila kitu
 
Hili swali hata ukiwauliza waeneza hiz habar wanaeza wasijibu na hata wakijibu si vile itakiwavyo hasa ule uwezo wa kucheza na kukunja mgongo ambapo tumeshuhudia wengi wakiiga bila mafanikio sasa Jepsin aliwezaje?!

Nakubaliana na wewe ni ngumu mtu kuiga kipaji cha mtu kwa usahihi ule
Hakuna kinachoshindikana, hizo moves zote za MJ ukipigishwa training ya kufa mtu unamasta tuu
 
Binafsi baada ya kuona hiz habari nilienda youtube kuangalia video za MJ kabla ya mwaka 84 na baada ya mwaka 84 aisee niligundua utofauti katika yule mtu

Embu na wengine piteni youtube muangalie video clips za Michael kabla na baada ya mwaka 1984
 
Da'Vinci conspiracy nyingine ni hii hapa.
Adolf Hitler hakufa bali alitoroshwa na Red Cross akakimbilia Argentina na wanazi wakaendelea na kazi zao huko USA.
Wanazi walifanikiwa kutengeneza Super Soldier ambao waliweza kukimbia maili 20 kwa kasi bila kupumzika lakini walikufa baada ya lile jaribio. Super Soldier wa leo wanasema anatokana na Genetic Engineering ambayo wanaifanya Genome ya mwanadamu isiwe na madhaifu, hivyo wanamtengeneza mtu wanaemtaka kwa vipaji wavitakavyo.
 
Haya mambo sometimes huwa naamini ni kweli wakati mwingine naona si kweli maana nimewahi kuona documentary inadai hata mke wa Obama siyo mwanamke ni mwanaume aliyebadilishwa wanaenda mbali zaidi na kudai hata wale watoto siyo wao wa kuwazaa ni wa kuwaadopt kutoka Morocco
 
Hii hoja aliwahi itoa Fatima binti hemedi ila watu wakamuona mpotoshaji sasa naweza ona ina ukweli fulani kulingana na facts mbalimbali zinazotolewa na conspiracy theorists mbalimbali kuhusu suala hili embu Palantir na Elungata mpite huku mtiririke.
KWANINI NAKATAA MJ HAKUWA CLONING SUBJECT.
1. Cloning inahusu kutengeneza copy of a test subject, letsay zitto junior tunachukua DNA yako then tunaenda izalisha kupata new zitto junior atakaye kuwa exactly kama wewe.
2. Sawa tutaweza kumtengeneza exactly zitto junior, lakini je tutaweza mkuza haraka huyu zitto junior mpaka akaweza fikia kimo cha original zitto junior?.
3. So far hakuna technology popote pale duniani (labda kwenye movies) ya fast pace cell generation. Sasa assume zitto junior una miaka 26 then clone yako tukaitengeneza leo tarehe 17 july je tutawezaje ikuza haraka mpaka ikafikisha miaka 26 kesho kutwa o hata mwezi ujao!?.
4. Cloning inawezekana hiyo sikatai although ni dark prohibited science lakini kitakachokuwa cloned hakitaishi parallel na its original self!. So unless mniambie Wacko Jacko alikufa 1880 (if alikuwepo) then MJ wa 1988 alikuwa Clone hapo nitakubali!.
5. Masuala ya eti Wacko Jacko alikuwa clone ni fake kwa 100% sababu nimezitoa hapo juu.
6. Kama kuna technology ya kukuza seli za mwingi kwa spidi ya mwanga mpaka kitu tukiextract DNA leo then mwezi ujao tupate exactly cloned material age then nitakubali that heresay!.
7. Kama hiyo technology ingekuwepo kungekuwa na maendeleo makubwa sana duniani, leo hii tumehama toka Greenhouse Agriculture tumeenda mpaka UV light Agriculture ambapo tunaweza lima chakula bila kutumia udongo. basi kuclone vitu havitaishi kwenye muda sawa (kimoja kitakuwa baba/mtoto wa kingine).
it conspirancy!
Cc Malcom Lumumba Da'Vinci' Elungata
 
c04e680719a9977e251d0ae6d845e006.jpg
Huyu ndiye Michael halisi
 
KWANINI NAKATAA MJ HAKUWA CLONING SUBJECT.
1. Cloning inahusu kutengeneza copy of a test subject, letsay zitto junior tunachukua DNA yako then tunaenda izalisha kupata new zitto junior atakaye kuwa exactly kama wewe.
2. Sawa tutaweza kumtengeneza exactly zitto junior, lakini je tutaweza mkuza haraka huyu zitto junior mpaka akaweza fikia kimo cha original zitto junior?.
3. So far hakuna technology popote pale duniani (labda kwenye movies) ya fast pace cell generation. Sasa assume zitto junior una miaka 26 then clone yako tukaitengeneza leo tarehe 17 july je tutawezaje ikuza haraka mpaka ikafikisha miaka 26 kesho kutwa o hata mwezi ujao!?.
4. Cloning inawezekana hiyo sikatai although ni dark prohibited science lakini kitakachokuwa cloned hakitaishi parallel na its original self!. So unless mniambie Wacko Jacko alikufa 1880 (if alikuwepo) then MJ wa 1988 alikuwa Clone hapo nitakubali!.
5. Masuala ya eti Wacko Jacko alikuwa clone ni fake kwa 100% sababu nimezitoa hapo juu.
6. Kama kuna technology ya kukuza seli za mwingi kwa spidi ya mwanga mpaka kitu tukiextract DNA leo then mwezi ujao tupate exactly cloned material age then nitakubali that heresay!.
7. Kama hiyo technology ingekuwepo kungekuwa na maendeleo makubwa sana duniani, leo hii tumehama toka Greenhouse Agriculture tumeenda mpaka UV light Agriculture ambapo tunaweza clone vitu but havitaishi kwenye muda sawa (kimoja kitakuwa baba/mtoto wa kingine).
it conspirancy!
Cc Malcom Lumumba Da'Vinci' Elungata
Nimejiuliza swali kama hilo
How come mtu afanyiwe cloning then awe sawa na huyo jamaa in a matter of few days/or months?
Yani huyo clone anakua na kufikia umri wa og specie kama ameprintiwa?
Maybe mngesema kulikuwa na mtu wamemfanyia surgery afanane na MJ then wakamfanyisha mazoezi ya tabia na hulka cha MJ
 
Back
Top Bottom