Swali :
1:kulwa na doto wanaofanana tunaweza kuwaita clone!?( kuna tofauti gani kati ya clone na mapacha?)
2: Kama sio/kama kuna tofauti tupe mfano hai watu waliokuwa cloned mpaka sasa?
(achana na movie/drama)
Then tupate jiɓu Mj ni clone ya jepsins,
Hi
Japo kuuliza sio ujinga ila wacha nikujibu kama ifuatavyo.
KWAKUWA UMEGOMA KUSOMA MWENYEWE NA KUTAKA KUWA SPOONFED, SASA NAKUPA BRIEF KIDO.MENGINE KASOME. PIA NIMETUMIA MFANO WA MOVI SIO KAMA EVIDENCE ILA PENGINE UTAELEWA MM NA WENGINE TUNACHOJARIBU KUFAFANUA. Mi sio mwalimu! Pitia hii link - Human cloning - Wikipedia
1. According to recent reports kama nilivo gusia hapo awali kuwa Human cloning haijafanyika bado japo wengine wanasema ilifanyika na hakuna uthibithisho na atakama wangekuwepo then lazma iwe CONFIDENTIAL. Nacho fahamu binafsi ni kwamba ili leta mzozo mkubwa sana katika kutaka ku-legalize ilo jampo na mpaka tunavozungumza sasa ni kwamba HUMAN CLONING IS PROHIBTED(HAIRUHUSIWI)
2. Human cloning ni creation of genetically identical copy(clone) of human. Hii ni aftificial human cloning, na ili upate clone lazma utoe cell na tissue kwa mwanadamu ili kufanya hio reproduction. Cloning does not refer to natural conception and delivery of identical twins(yani mapacha hawausiani na nitafauti kwa asilimia kubwa wao ni natural sio wakutengenezwa.) Tofautisha insermination abayo anafanyiwa ng'ombe jike kwa kupandikiziwa mbegu au tafautisha sorogate mothers wale wamama ambao wenyewe wanaenda kwa wataalamu na wanachagua mbegu za mwanaume kulingana na picha wanazoeneshwa na wanapo changua wanapandikizwa na madaktari izo mbegu na kubeba mimba wenzetu ulaya ndo wanafany sijui lugha sahihi ya kitaalamu ila lets say huma insermination. ukitaka kujua zaidi tafadhali kasome tu.
3: Human cloning - Wikipedia. nimekuwekea na link iyo hapo ndugu soma utaelewa nini kinachoendlea na wakina nani walifanya cloning ya kondoo na mpaka sasa 2018 ya wale kima. iwezi toa mfano hai wa human clone kwasababu mm binafsi sihamini wapo na nachofahamu ni controversie na iko prohibited. Tunapokuja kwa Michael Jackson, yeye sio clone na wala watoto wake sio clones ila ukisema kuwa watoto wa MJ walizaliwa kwa kuchukuliwa mbegu za MJ na kupachikwa mwanamke ndani ya makubaliano yao binafsi nitakubali. In short MJ not a clone izo ni story za kwenye vibanda vya kahawa. Pia uyo JEP mm nimensikia humu sasa anaesema uyo JEP ni clone wa MJ anakaribishwa kutupa evidence ila usisingizie alikufa kwenye ajali ya moto.
Difference between clone and twins.
1. Clones are genetically engineered but twins not engineered but born.
2. IDENTICAL TWINS come from single fertilized egg which splits into two both halves containing the same DNA and form two fetuses. BUT CLONES clones are formed in a different way such as making a clone is required to empty DNS out of a fertilized egg.
3. Clones made in labs BUT not twins.
4. But clones can be twins if are made to be so.