Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

Tofautisha hati ya mashtaka kubadilishwa na kilichotokea kwenye kesi hii.

Hati ya mashtaka ilithibitishwa kuwa ni batili kwenye pingamizi.

Hati ya mashtaka ikatupwa.

Washitakiwa wakarudishwa gerezani kinyume cha sheria.

Mgeni mahakamani ni wewe mjomba!
Hii mpya
 
Kibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issues
Utakuwa umetoka kunywa mataputapu wewe! Wale wapuuzi wenzako wanaulizwa maswali wanajikanyaga tu, halafu unasema mawakili wasomi kama akina Kibatala wako shallow mno!!

Hao wa Serikali wanaokubali kusimamia kesi za kubambikia watu ndiyo wako juu siyo!! Too low!
 
Muuza mbege alikuwa shahidi muhimu wa kumaliza mchezo ila amezingua
kujua scripts kwa mtu wa kawaida huwa ni ngumu mno, unahitaji kumfundisha karibia wiki mbili ama tatu kukariri. na kumbuka hizi scripts lazima zi marge mwishoni ili Mahakama sasa ijiridhishe pasi na shaka kwamba Mh. Mbowe na wezake ni magaidi.
Pia kuna makosa mengi mno katika kujua sheria zinazotumika na kwa namna ushahidi unavyoandaliwa at very early stages.

Mimi nasubiri kwa hamu Shahidi yule ambaye atatuambia namna miti ingekatwa kutoka iringa na kuletwa Dar, Mza na Arusha kwa maroli ili yatandazwe barabarani kufanya nchi isitawalike.
 
Utakuwa umetoka kunywa mataputapu wewe! Wale wapuuzi wenzako wanaulizwa maswali wanajikanyaga tu, halafu unasema mawakili wasomi kama akina Kibatala wako shallow mno!!

Hao wa Serikali wanaokubali kusimamia kesi za kubambikia watu ndiyo wako juu siyo!! Too low!
Kibatala so far
1. kasindwa kwenye kesi ndogo
2. kaweka pingamizi kwa shahidi namba 5- kapigwa
 
Binafsi naona kama mawakil wa jamhuri ndio wamekua wakiwabwaga mawakili wa utetezi.hata pingamiz lao la jana kuhusu shahid wa jana kuwa batil pia lilionekana halina mashiko na hii ukiachilia mbali kesi ndogo walioshindwa vibaya sana.Japo wanajitahid kuuliza maswal ila naona kama wanacheza na jukwaa badala ya kutafuta point..

Tofautisha maoni binafsi na matakwa ya kisheria.

Matakwa ya kisheria ni jambo la kiufundi.

Maoni binafsi? Hata mambo ya nyungu na matango pori, yalikuwa ni maoni binafsi. Kwani ungali ukiyasikia bado?
 
Tofautisha maoni binafsi na matakwa ya kisheria.

Matakwa ya kisheria ni jambo la kiufundi.

Maoni binafsi? Hata mambo ya nyungu na matango pori, yalikuwa ni maoni binafsi. Kwani ungali ukiyasikia bado?
Sasa hapo ukitoa hayo maon yangu binafsi, mawakil wa utetez wamebwagwa au walishinda
1.pingamidi juu ya ushahid wa Madenge/madembwe?

2. Hukum ya kesi ndogo juu ya namna ushahid ulivyopatikana!??

Maoni yangu binafsi yanapindua vip fact za maamuz ambayo sote tumeona what happened?
 
Tofautisha maoni binafsi na matakwa ya kisheria.

Matakwa ya kisheria ni jambo la kiufundi.

Maoni binafsi? Hata mambo ya nyungu na matango pori, yalikuwa ni maoni binafsi. Kwani ungali ukiyasikia bado?
P O L E
 
Kibatala so far
1. kasindwa kwenye kesi ndogo
2. kaweka pingamizi kwa shahidi namba 5- kapigwa
Kwenye kesi hii ukiangalia sana kwa makini utaona kuwa upande wa mashitaka unasikilizwa zaidi kuliko upande wa utetezi.
Lazima kosa lipatikane japo mpaka sasa hakuna harufu ya ugaidi. Upande wa mashitaka umekua ukisuasua na hauko siriasi kwa sababu unajua matokeo ya kesi, upande wa washitakiwa kama hamridhiki na hukumu rufaa iko wazi.
 
Sasa hapo ukitoa hayo maon yangu binafsi, mawakil wa utetez wamebwagwa au walishinda
1.pingamidi juu ya ushahid wa Madenge/madembwe?

2. Hukum ya kesi ndogo juu ya namna ushahid ulivyopatikana!??

Maoni yangu binafsi yanapindua vip fact za maamuz ambayo sote tumeona what happened?

Maoni yako kama ya Jaji Siyani yalivyosikika siyo final and terminate. Ndiyo maana kuna malalamiko na rufaa pia.
 
Back
Top Bottom