Tuwe wakweli, Jaji mwenyewe alikili kuwa utetezi walikuwa na hoja ila kwenye hukumu alitumia opinion yake siyo kufuata sheria.Binafsi naona kama mawakil wa jamhuri ndio wamekua wakiwabwaga mawakili wa utetezi.hata pingamiz lao la jana kuhusu shahid wa jana kuwa batil pia lilionekana halina mashiko na hii ukiachilia mbali kesi ndogo walioshindwa vibaya sana.Japo wanajitahid kuuliza maswal ila naona kama wanacheza na jukwaa badala ya kutafuta point..
Ingekutwa imesajiliwa kwa jina lake adamoo angekuwa na hali mbayaHaikuwa kazi yake- yeye alitakiwa kujibu swali moja tu- imesajiliwa au haijasajiliwa?
Sasa ni kazi ya Kibatala atajapokuwa anauomgoza ADAMOO
1.aje na usajili wa hiyo silaha
2. akane kuwa hajakamatwa na silaha
3. hajawahi kuiona wala haijui
4. au ni ya marehemu
Dada muuza mbege aliona akitolewa kwake alipokamatwa kumbukaUko sahihi ila i guess atasema haijui wala hajakamatwa nayo biashara imeisha
bado ngoma ipo kwake- wanatakiwa waje na mkakatai wa kuinasua kutoka kwake- ila sioni kama kibatala ana akili na uwezo huoIngekutwa imesajiliwa kwa jina lake adamoo angekuwa na hali mbaya
Muuza mbege ndio aliharibu kila kitu,maelezo yake yanajikanyaga ni kilaza yule mamaDada muuza mbege aliona akitolewa kwake alipokamatwa kumbuka
So far hata junior advocate anachomoa labda jamhuri ilete ushahidi mwingine mzito huko mbelebado ngoma ipo kwake- wanatakiwa waje na mkakatai wa kuinanusua kutoka kwake- ila sioni kama kibatala ana akili na uwezo huo
2.mahitaShahidi wa sita au wa tano
1. Kingai
2.
3.
4.
5.
6.
Na hili nalo ni tatizo jingine...Tuwe wakweli, Jaji mwenyewe alikili kuwa utetezi walikuwa na hoja ila kwenye hukumu alitumia opinion yake siyo kufuata sheria.
Kwa hiyo ni kweli mshtakiwa alikuwa na hiyo siraha? Ndio kinachotafutwa hapo mambo mengine yatafahamika kadri muda unavyosonga mbeleUmeangalia na uzito wa silaha yenyewe kuhusu matumizi! Kwa kifupi ni silaha ya jikoni na risasi tatu! Za kutendea ugaidi! Yaani ukilipua risasi moja tu vituo viwili vya mafuta vinalipuka.
FROM RAU MADUKANI WITH LOVE.
Shahidi wa sita au wa tano
1. Kingai
2.
3.
4.
5.
6.
Imeahirishwa lini mkuu, leo sindio tar 5.Hamna kesi ya kipuuzi kama hii,funga huyo jamaa au muachieni aende zake.kesi inaahirishwa kila siku aisee Afrika.
Kibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issuesSo far hata junior advocate anachomoa labda jamhuri ilete ushahidi mwingine mzito huko mbele
Nadhani muda wa kupangua bado upo ikifika muda wa kujitetea tuwape mudaKibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issues
TIGO UMEMUWEKA WAPI?2.mahita
3.foreinsic officer
4.mama esther
5.mandembwe,madenge
6........
Muuza mbege alikuwa shahidi muhimu wa kumaliza mchezo ila amezinguaYule Mwanasheria wa Airtel bado kawatilia ngumu ama watamlazimisha atoe ushahidi ili wasimbambikizie kesi na yeye!
So far katika hao mashahidi 5 sijaona shahidi hata mmoja ambaye katoa ushahidi wake ambao umejitosheleza kiasi cha kuifanya mahakama ijiridhishe pasi na shaka mwamba Mbowe alitenda kosa alichilia mbali huo Ugaidi.
Karibia wote hao wameacha maswali mengi kwa Mahakama kuliko majibu, kuna gaps nyingi na sheria hazikufuatwa - kumbuka Mahakama inamtia mtu hatiani kwa kutumia Sheria na si porojo kama zile za muuza mbege na mwanasheria wa Tigo.
substitution au amendment ya charge ni kitu cha kawaida s.234 CPA,labda kwasababu wewe ni mgeni mahakamani. hati ya mashitaka huwa inabadilisha na sheria inaruhusu hivyo.
Mbona alimalizaMuuza mbege alikuwa shahidi muhimu wa kumaliza mchezo ila amezingua