Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

Binafsi naona kama mawakil wa jamhuri ndio wamekua wakiwabwaga mawakili wa utetezi.hata pingamiz lao la jana kuhusu shahid wa jana kuwa batil pia lilionekana halina mashiko na hii ukiachilia mbali kesi ndogo walioshindwa vibaya sana.Japo wanajitahid kuuliza maswal ila naona kama wanacheza na jukwaa badala ya kutafuta point..
Tuwe wakweli, Jaji mwenyewe alikili kuwa utetezi walikuwa na hoja ila kwenye hukumu alitumia opinion yake siyo kufuata sheria.
 
Haikuwa kazi yake- yeye alitakiwa kujibu swali moja tu- imesajiliwa au haijasajiliwa?
Sasa ni kazi ya Kibatala atajapokuwa anauomgoza ADAMOO
1.aje na usajili wa hiyo silaha
2. akane kuwa hajakamatwa na silaha
3. hajawahi kuiona wala haijui
4. au ni ya marehemu
Ingekutwa imesajiliwa kwa jina lake adamoo angekuwa na hali mbaya
 
Ingekutwa imesajiliwa kwa jina lake adamoo angekuwa na hali mbaya
bado ngoma ipo kwake- wanatakiwa waje na mkakatai wa kuinasua kutoka kwake- ila sioni kama kibatala ana akili na uwezo huo
 
bado ngoma ipo kwake- wanatakiwa waje na mkakatai wa kuinanusua kutoka kwake- ila sioni kama kibatala ana akili na uwezo huo
So far hata junior advocate anachomoa labda jamhuri ilete ushahidi mwingine mzito huko mbele
 
Yule Mwanasheria wa Airtel bado kawatilia ngumu ama watamlazimisha atoe ushahidi ili wasimbambikizie kesi na yeye!

So far katika hao mashahidi 5 sijaona shahidi hata mmoja ambaye katoa ushahidi wake ambao umejitosheleza kiasi cha kuifanya mahakama ijiridhishe pasi na shaka mwamba Mbowe alitenda kosa alichilia mbali huo Ugaidi.

Karibia wote hao wameacha maswali mengi kwa Mahakama kuliko majibu, kuna gaps nyingi na sheria hazikufuatwa - kumbuka Mahakama inamtia mtu hatiani kwa kutumia Sheria na si porojo kama zile za muuza mbege na mwanasheria wa Tigo.
 
Umeangalia na uzito wa silaha yenyewe kuhusu matumizi! Kwa kifupi ni silaha ya jikoni na risasi tatu! Za kutendea ugaidi! Yaani ukilipua risasi moja tu vituo viwili vya mafuta vinalipuka.
FROM RAU MADUKANI WITH LOVE.
Kwa hiyo ni kweli mshtakiwa alikuwa na hiyo siraha? Ndio kinachotafutwa hapo mambo mengine yatafahamika kadri muda unavyosonga mbele
 
Hamna kesi ya kipuuzi kama hii, funga huyo jamaa au muachieni aende zake.kesi inaahirishwa kila siku aisee Afrika.
 
So far hata junior advocate anachomoa labda jamhuri ilete ushahidi mwingine mzito huko mbele
Kibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issues
 
Kibatala na timu yake wako shallow mno ndiyo maana wanahangaika na trivial na irrelevant matters za kufurahisha genge badala ya kupangua issues
Nadhani muda wa kupangua bado upo ikifika muda wa kujitetea tuwape muda
 
Yule Mwanasheria wa Airtel bado kawatilia ngumu ama watamlazimisha atoe ushahidi ili wasimbambikizie kesi na yeye!

So far katika hao mashahidi 5 sijaona shahidi hata mmoja ambaye katoa ushahidi wake ambao umejitosheleza kiasi cha kuifanya mahakama ijiridhishe pasi na shaka mwamba Mbowe alitenda kosa alichilia mbali huo Ugaidi.

Karibia wote hao wameacha maswali mengi kwa Mahakama kuliko majibu, kuna gaps nyingi na sheria hazikufuatwa - kumbuka Mahakama inamtia mtu hatiani kwa kutumia Sheria na si porojo kama zile za muuza mbege na mwanasheria wa Tigo.
Muuza mbege alikuwa shahidi muhimu wa kumaliza mchezo ila amezingua
 
substitution au amendment ya charge ni kitu cha kawaida s.234 CPA,labda kwasababu wewe ni mgeni mahakamani. hati ya mashitaka huwa inabadilisha na sheria inaruhusu hivyo.

Tofautisha hati ya mashtaka kubadilishwa na kilichotokea kwenye kesi hii.

Hati ya mashtaka ilithibitishwa kuwa ni batili kwenye pingamizi.

Hati ya mashtaka ikatupwa.

Washitakiwa wakarudishwa gerezani kinyume cha sheria.

Mgeni mahakamani ni wewe mjomba!
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom