Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 492
- 935
Muache dada wa watu adai haki yakeMahakama za US sio za maelekezo kaka, hamna makada wa chama mle
Wenzetu kampuni kama meta na zingine they are very sensitive na publick relation zao, any shred ya uchafu wanajua ita wa cost hela.
Kwahiyo unakubali kuna kesi META inakurupuka na inashindwa?Hakuna kampuni yoyote duniani ambayo iliwahi kushinda kesi zote au kushindwa kesi zote. Ushanfahamu?
Sawa 😅 😅Boss ni Mungu peke yake 😃
Unahisi for an entity kushindwa kesi ni kwasababu "walikurupuka"? Basi sawa. NIMEKUSOMA!!!Kwahiyo unakubali kuna kesi META inakurupuka na inashindwa?
Wewe ndiye uliyeleta hoja ya "kukurupuka'Unahisi for an entity kushindwa kesi ni kwasababu "walikurupuka"? Basi sawa. NIMEKUSOMA!!!
Ndiyo unaulizwa ukubali walizoshindwa walikurupukaKwahiyo unafikiri hao META walikurupuka kufunga hizo accounts sio? Kwamba kampuni inaendeshwa na "chawa" sio?
Wiki iliyopita Meta ime settle kesi kwa dola bilioni 17!Anacheza nina uhakika Mange ataongea kipare mahakamani.
Tunadhani hizi taasisi kubwa duniani wanasheria wao ni tia maji maji.
Yaani watu wenye uwezo wa kusoma DM zako, na washafunga account zako for violation of registration kwa mambo ya kipuuzi tu.
Watu hao uwafungulie kesi ya kuweka picha za AI na hadithi za misinformation; vifo vya watu 500 useme ni watu 10,000.
Na wanajua hadithi zote za D.M
Ni utaahira uliopindukia, kufanya utaahira kwenye platform zao (Yaani watu kama Meta), na kudhani na wao ni akili ndogo kama wewe.
Liwe somo la bure (suburi hiyo character assassination, before responding to legal matters).
Taahira tu, watamrudishia picha za kutengeneza na false information anazosambaza hatajuta.
Ni ujinga kudhani mtu mwenye makando kando kama Mange anaweza wasumbua meta.
Nimekwambia ataongea kipare, wanasheria wa Meta wakimuasha; uamini subiri.
Unacheza wewe na hizi taasisi.
Do a quick search on the law firm behind the legal dispute; and learn what on the back story (there is a lot on failure towards child protection).Wiki iliyopita Meta ime settle kesi kwa dola bilioni 17!
Waliofungua hiyo kesi dhidi ya Meta ni binadamu tu kama Mange.
Who dares wins!
Yours is a defeatist attitude.Do a quick search on the law firm the legal dispute; and the back story (there is a lot on failure of child protection).
It was a serious breach on child protection.
Otherwise, sio rahisi kwa mtu ambae has fringed their rules several times kuwasumbua.
Subiri uone wanasheria wa Mwta watakavyo mtwanga particularly on character assassination.
I am contrary of your definition of me (me coward, never).Yours is a defeatist attitude.
I don’t rock with your kind.
I repeat, who dares wins.
Mange has already proven that she’s a fighter.
Fighters don’t quit before they try.
They fight, and if they win, great.
If they lose, oh well, at least they tried.
They won’t have to live with the cloud of ‘what if I had tried’ hanging over their head, wondering what could have happened had they tried.
I’m a fighter. So I guess that’s why I can relate to her.
And I’ve come to realize that some, are not fighters. Just spectators.
See, I haven’t even defined you yet.I am contrary of your definition of me (me coward, never).
I am rathet a realist.
Corporate lawyers are trained in business thinking. That entails many aspects of busines, contract and general law.
Companies which are regularly sued, overtime learn how to protect their operations. .
Likewise Law firms which sues such companies understand, the challenges which lie ahead.
Maana yake nini, kabla ujamvaa; Kampuni kama Meta ujipange.
Moja ya weapons yao ni character assassination.
Sasa wewe jiongopee ujinga; wakati wao wana DM’s zako, wanajua uongo wako (uliotumia kusababisha watoto wa watu kupoteza maisha).
Na mengineo ya misinformation kupitia jukwaa lao, kuwafanya wachukue responsible action ya kukufungia.
Mambo mengine hata kuyaongelea shida; just wait and see.
Yaani Mange wa kuwatishia wanasheria wa Meta. Labda Kama tunadhani wanasheria wote duniani ni kama hawa serikali ya Tanzania.
😂😂😂 Me an easy picking; salaleh.See, I haven’t even defined you yet.
But you unwittingly let us all know you’re a coward hiding behind the patina of realism 😂.
You are easy pickings.
I say go Mange go. You have more cojones than a lot of “men’ out here.
Kalambe matako ya Samia wewe nguruwe
Uchoko ni miongoni mwa sera za chadema,kifungu chenu katika katiba yenu,kif 14 / 2.7 Haki za kifaragha.Kwenda huko choko wewe
Wewe ni chama gani kati ya hivi hapa chini?Uchoko ni miongoni mwa sera za chadema,kifungu chenu katika katiba yenu,kif 14 / 2.7 Haki za kifaragha.
Wow...bila shaka umeumia sana, pole sana!PS Mange hana uwezo wa kupambana na Meta, at this point she is on their mercy on how they want to respond to her.
kajitoa mhanga sana huyu mwanamke na kinachoshangaza ni kukataa mlungula na kuamua kuendelea na harakatiMange kafichua madudu mengi sana...
Sema wale mafisadi walio mreport META walihusisha na masuala ya Mange kipindi anafanya issue zake zile za connection kwenye app yake, wakahusianisha kwamba ni kazi yake kuchafua watu.. meta walipofuatilia wakaona alikuwa kweli anafanya issue za connection kabla... ndipo wakapiga pini na kutia ngumu, pasipo hivyo ilikuwa ngumu sana kufuta account yake...
Lakini yote na yote mi naona hata zile connection alikuwa anaachia ni sehemu ya harakati tu, maana wasanii akili hawana...