Ila hii kesi hata mimi huwa inaniumiza kichwa mpaka kesho!Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..
Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
Babu Seya na watoto wake walihukumiwa kifungo cha maisha mwaka 2004 kama sijakosea! Kipindi hicho Kikwete alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje bila shaka, huku BM akiwa ndiyo Rais wa JMT!!Kikwete alihusika,kwa nini mnapepesa macho?
Alisemaje in briefJaji Mihayo alietoa hukumu hiyo aliwahi kuhojiwa Mwaka huu 2022 akaelezea kwa kirefu kuhusu kesi hiyo kwny kipindi Zumari cha UTV
Maneno yaliyosemwa ni mengi na mimi sija sema nime prove chochote nilichosikiaUjasusi...halafu tena kuna ushahidi ?....umejichanganya
Kama ushahidi wa kutosha ulikuwepo hoja ya kuwa alifungwa sababu ni jasusi haina nguvu tena
Maneno yaliyosemwa ni mengi na mimi sija sema nime prove chochote nilichosikia
Sawa mkuu. Ndo maana pia pale juu nilisema upande wa mahakama pia nilisikia kuwa kuna ushahidi wa video...Babu Seya alitetewa na mawakili wazoefu wabobezi.
..alishindwa kesi ktk hatua zote mpaka Mahakama ya Rufani ya Tanzania.
..pia alikwenda Mahakama ya Afrika Mashariki huko nako alishindwa.
..nimeamua kuziamini Mahakama badala ya maneno ya mitaani.
Usikimbilie sana kuita watu wajinga!Wewe ni mjinga
Ile hukumu ya kisiasa ndio maana kuna jaji alienda kuhojiwa ili kufukia uongo
Mange kimambi alikuwa na project ya kuwa wahoji wale wahanga.. sijui itatoka lini?Wale watoto walifichwa identity yao. Wangejulikana leo wangeulizwa.
Aha uongo ww.Kesi ya Mchongo ile, nyuma ya pazia alikuwa anakula mke wa kiongozi mkubwa kwenye ule utawala. Ila hizo ni stori za vijiweni
Inauma sana nikiwa kama mzaziNamfaham dada mmoja alikuwa anafundisha Mugabe primary school ni kweli watoto waliingiliwa na familia ya seya, unajua uchawi na mazindiko ndio yaliwalazimisha kuwaingilia.
Issue ya Salma ni uongo wa wazi, na Ingekuwa kweli wangepotezwa bila kesi
Kangaroo Courts haziaminiki kabisa.Tupende kusoma na kufanya tafiti watanzania.
Case ya Babu Seya@ Nguza Viking ina nakala nne za hukumu.
1. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
2. High Court of Tanzania Dar es Salaam
3. Court of Appeal of Tanzania
4. Review of court of appeal
Hapo utapata jibu kweli si kweli
Wale wachachfu sana.Wale itakuwa walitenda huo uchafu. Na pamoja na kutolewa ndani na JPM ili kufurahisha jumuiya lakini laana imeendelea kuwatafuna na nyota yao kimuziki imegona kabisa kuwaka tena.
Ww naona huna uchungu w mtotoKangaroo Courts haziaminiki kabisa.
Ukweli na Uhalisia kuhusu sakata hili ni tofauti kabisa na yale yaliyopo kwenye rekodi za Mahakama.
Mungu aendelee kuilinda familia ya Babu Seya, dhuluma walizofanyiwa na Wadhalimu hapa duniani Malipo yake watalipwa na Mungu pekee.
Wale wachachfu sana.
Yaani walishindwa kuchukua maraya wa Sinza wakaanza kuwinda watoto wa miaka 5
Usifikiri kwamba Watu wengine wote hapa mtandaoni hawana akili timamu sawa sawa kama ulivyo wewe.Ww naona huna uchungu w mtoto
Tanzania hakuna siri hata kidogo, usipuuze sana story za vijiweni kwani wanaotoa hizo siri ni hao hao watu wa usalama wenyewe. Utakuta kiongozi ana afya mbovu na gonjwa lake linajulikana na usalama lakini mtaani wanajuwa.Kesi ya Mchongo ile, nyuma ya pazia alikuwa anakula mke wa kiongozi mkubwa kwenye ule utawala. Ila hizo ni stori za vijiweni