Inamaana akimla mke wa mzee wa lupaso?Kesi ya Mchongo ile, nyuma ya pazia alikuwa anakula mke wa kiongozi mkubwa kwenye ule utawala. Ila hizo ni stori za vijiweni
Kivipi alihusika?Kikwete alihusika,kwa nini mnapepesa macho?
Usijidanganye, hakuna mbingu utaenda wewe.Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesu ya babu seya.nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika.Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
"Aliusikaje", kaza mdomo sukuma ulimi.Aliusikaje
kachichi na Nguza mbangu walitoka baadae baada ya mahakama KUONA hawana hatia nikukumbushe tu wakati watukio Nguza mbangu alikuwa Congo amerudi janaa yake mdo wanakamatwa hata yeye anashangaa pia KACHICHI mdogo wao wa mwisho alikuwa under 15 ilikuwa ngumu kujus hayo mambo pia nyumba inadaiwa walifanya hayo walikuwa wanaishi wote ikiwemo dada yao moja hivi mlemavu .ANAE JUA HILI VIZURI.NI MZEE NGUZA MWENYEWE KUNA MLANGO WATAKUWA WALIINGIA AMBAO NI NGUMU KUTOKA WAKAJIKUTA WAMENASA.Namfaham dada mmoja alikuwa anafundisha Mugabe primary school ni kweli watoto waliingiliwa na familia ya seya, unajua uchawi na mazindiko ndio yaliwalazimisha kuwaingilia.
Issue ya Salma ni uongo wa wazi, na Ingekuwa kweli wangepotezwa bila kesi
Jaji Mihayo alietoa hukumu hiyo aliwahi kuhojiwa Mwaka huu 2022 akaelezea kwa kirefu kuhusu kesi hiyo kwny kipindi Zumari cha UTVKikwete alihusika,kwa nini mnapepesa macho?
Tupende kusoma na kufanya tafiti watanzania.Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesu ya babu seya.nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika.Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
This is too much mkuuMuacheni huyu baba apumzike..... R.i.P John
Alisemaje?Jaji Mihayo alietoa hukumu hiyo aliwahi kuhojiwa Mwaka huu 2022 akaelezea kwa kirefu kuhusu kesi hiyo kwny kipindi Zumari cha UTV
Tafuta hukumu usome.Ukweli ni kwamba katika kesi Ile vitu vingi vilingiliana ila ukweli ni kwamba kulikuwa na jinai ilitotendeka na hukumu iliegemea hapo.Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..
Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.