Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Kangaroo Courts haziaminiki kabisa.
Ukweli na Uhalisia kuhusu sakata hili ni tofauti kabisa na yale yaliyopo kwenye rekodi za Mahakama.
Mungu aendelee kuilinda familia ya Babu Seya, dhuluma walizofanyiwa na Wadhalimu hapa duniani Malipo yake watalipwa na Mungu pekee.
Mahakama ya Afrika nayo ni Kangaroo court? Hawa wasanii wana mambo mengi machafu mno yasiyoelezeka. Mange Kimambi alipost machache sana. Uchafu wa wasanii na wanasiasa ukiwekwa hadharani nchi itatingishika.
 
Usifikiri kwamba Watu wengine wote hapa mtandaoni hawana akili timamu sawa sawa kama ulivyo wewe.

Hivi unaamini kuwa ni KWELI mtoto Mdogo mwenye umri wa miaka mitano alawitiwe na Wanaume watatu watu wazima wenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 50 Halafu mtoto huyo aendelee kubaki hai??? Hii inawezekana vipi????
Wewe na BABU SEYA LENU MOJA.
NYOTE NI WAHARIBU WA WATOTO
 
Ww naona huna uchungu w mtoto
hii case imewahi kujadiliwa humu miaka na miaka. Kwa jinsi nilivyosoma kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu ile case (baadhi ya hao watu wamewahi kuona hadi ushahidi uliowatia hatiani). Nilikuja kuconclude kwamba jamaa walikua na hatia. Maana walikata rufaa mara kadhaa na bado wakashindwa sababu case yao ilikua clear kabisa.

Ni mwehu tu anaweza kutetea walawiti wa wototo
 
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
Kwa nini hii kesi inakuumiza kichwa sana mkuu? Bado inakuumiza kichwa??
 
Hii ni kesi ambayo ina baki kuwa moja ya kesi zilizokuwa na mvuto wa kipekee pamoja na mazonge mengi sana

Maswali yanakuwa
1. Je ni kweli Babu Seya na watoto wake waliwanajisi wale watoto?
2. Kama si kweli nini hasa kilikuwa chanzo?
3. Walipatwa na nini na wanaishi vipi sasa?
 
Kesi Aliifuta JPM
 
Chanzo Cha yote ni papuchi waliyokuwa wanaiba.papuchi yenyewe haitaki kurudi Kwa MMILIKI.....anyway yamepita

Nimejifunza,shindana na wote sio watu wakubwa wenye vyeo na madaraka.
Pia jela Kuna watu wengi sana wamesingiziwa,sio wote Wana makosa.
 
hii case imewahi kujadiliwa humu miaka na miaka. Kwa jinsi nilivyosoma kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu ile case (baadhi ya hao watu wamewahi kuona hadi ushahidi uliowatia hatiani). Nilikuja kuconclude kwamba jamaa walikua na hatia. Maana walikata rufaa mara kadhaa na bado wakashindwa sababu case yao ilikua clear kabisa.

Ni mwehu tu anaweza kutetea walawiti wa wototo
Kwahiyo Magu aliyewatoa ni mwehu?. 🧐🧐🧐🧐
 
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
Uzuri hii kesi ni ya jinai,nenda maktaba yoyote ya mahakama kuu,popote mkoani Tanzania,uombe hukumu utapewa na uisome neno kwa neno,na utaupata ukweli wote juu ya kessi hiyo ambayo ilisikilizwa na kutolewa hukumu na jaji mihayo
 
Hivi kwenye mtandao Huwa hawaweki hizo case eeh
 
Back
Top Bottom