Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Alimkunja manzi wa jamaa mmoja hivi, manzi akanogewa akawa anaipeleka kila siku mwamba akawa anaikung’uta kisawa sawa. Madaraka baada ya kugundua akamtia jamaa ndani.
 
 
Alisingiziwa kubaka watoto enzi za utawala wa Kikwete akawekwa ndani yeye na watoto wake, akaja kupewa msamaha enzi za utawala wa Magufuli hicho ndio ninachokijua

ila nyuma ya Pazia nasikia ni ugomvi wa wanawake
2004 rais hakuwa kikwete
 
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.

Kesi hiyo ina mambo mengi sana ambayo yalisukwa nyuma ya pazia jeusi. Kuna Mambo mengi Sana, ndio maana unaona kwamba hata wale Watu wengine ambao hawakuwemo kwenye kesi hiyo lakini wanahusishwa na mkasa huo kamwe hawajawahi kutoa kauli yoyote ile hadharani kuhusiana na tuhuma au lawama wanazoelekezewa kwao kwenye suala hili. Yapo mambo mengi sana.
Kwa kifupi ni kwamba Kesi hiyo ilishaendeshwa na kukamilika huku uraiani, kwenye majengo ya Mahakama ilipelekwa kwenda kupata uthibati tu lakini mambo yote kabisa yalishakamilika.
Sitaki kabisa kuingia kwa undani kuhusu suala hili, wakati muafaka wa kufanya de-classification ya taarifa hiyo bado haujafika.
 
Namfaham dada mmoja alikuwa anafundisha Mugabe primary school ni kweli watoto waliingiliwa na familia ya seya, unajua uchawi na mazindiko ndio yaliwalazimisha kuwaingilia.
Issue ya Salma ni uongo wa wazi, na Ingekuwa kweli wangepotezwa bila kesi

Fanya tena utafiti wako wa kina kabisa kuhusu suala hili please.
Kuna Mambo mengi Sana kwenye suala hili, JPM hakukurupuka katika kufanya Uamuzi wa kuwaachia huru hao Watu. Yawezekana kabisa kabla ya kufanya hivyo alipata kwanza taarifa za kutosha kabisa kuhusiana na mkasa huo ndipo akafikia Uamuzi wa kuwaachia huru lwa msamaha.

Hivi nikuulize swali dogo kabisa: Je, wewe unaweza unaweza kufanya Mapenzi mkiwa kwenye kundi la Watu wanafamilia akiwemo na baba yako mzazi au mama mzazi, wadogo zako wakiwa wanashuhudia? Je, unaweza kufanya hivyo ukiwa na akili zako timamu sawa sawa kabisa kichwani mwako???
 
Haingii akilini hukumu ya Babu Seya,
Yaani kikawaida baba na wanaweza 3 wavue nguo na kutoa liboro kila mtu aanze kumlawiti mtoto mdogo.
Angekuwa mmoja hapo inge make sense.
Ila baba na wanaweza 3 wamshawishi kwenda kumlawiti mtoto Kwa wakati mmoja.
Ila Msoga mbingu kuiona ni kazi
 
Back
Top Bottom