Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM.
Na huu...
Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
Mojawapo ya matukio ambayo sitakaa niyasahau ni la kupigwa na mgonjwa wangu kilingeni Msata😂❗😂❗
Wallah nilipigwa kiboya Sana!
Yule mwana sijui alipata wapi namba yangu ila akasema anatokea Shinyanga na angependa kufika Kilingeni Msata kwa ajili ya tiba za kiroho
Tukawasiliana almost a week na...
Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo hufanyika kwa njia ya online au kuna Msimamizi mtoa alama papo hapo?
Natanguliza shukrani
Jana nilipata fursa kwenda shule ya sekondari Tosamaganga iliyopo hapa Iringa.
Nilipokuwa pale nikajiuliza ile hoja ya watu kuwa Tanzania inaongozwa kwa kufuata mfumokristo inatokana na nini hasa.
Maana kama Serikali chini ya Mwalimu Julius Nyerere (mkatoliki) ilitaifisha taasisi za Afya...
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.
Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara...
kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini:
https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/
Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
Habari zenu wakuu.. Poleni na majukumu na harakati za hapa na pale, gharama za maisha zinapanda ila tunapanda nazo hakuna kukata tamaa.
Kuna visa kama viwili viliwahi kunitokea back in the days vya kufumaniwa ambavyo sikuwahi kumueleza yeyote.
Cha kwanza kilikuwa hivi.
Kuna mwaka nilipata...
Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?
Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda.
Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo binafsi sikukubaliana nalo.Nilipewa hela ya tuition nikanunua simu kiswaswadu nikawa natumia kwa...
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
Mzuka wana Jamvi ?
Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema.
Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano...
Huyu golikipa ni mali sana ila sijui ilikuwaje akaondoka Azam ambayo ina fedha ndefu sana. Nilimwona langoni wakati Sudan ikiwaadabisha Nigeria kwenye CHAN 2024 ikiwa ni dhahiri kuwa hayuko Azam tena.
Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi.
Katika Hali hii ya ushiriki wake...
Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa.
Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa.
Pia Katibu Mkuu kiongozi...
Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.