Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,667
NrNe,.
Watu wazima naomba mnielezee Kuna Jambo silielewi,. ( Namaanisha watu wazima au yeyote mwenye kujua mambo ya nchi hii )
Nauliza sio Kwa ubaya lakini,. Hivi kesi ya Yule babu seya sijui Sea ilikuwaje kuwaje?, yaani alifanya Nini Hadi akafungwa , na kwanini watu walikua wanamhusisha na mheshimiwa yaani kilitokea Nini??,.
Yaani nataka nijue story yake Hadi alivyokuja kutolewa gerezani..
Narudia Tena, nimeuliza ili kujua tu Sina maana yoyote ovu wala nisifikirike vibaya..Nina hamu ya kuifahamu Kwa undani hii habari