Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Namfaham dada mmoja alikuwa anafundisha Mugabe primary school ni kweli watoto waliingiliwa na familia ya seya, unajua uchawi na mazindiko ndio yaliwalazimisha kuwaingilia.
Issue ya Salma ni uongo wa wazi, na Ingekuwa kweli wangepotezwa bila kesi
Kweli kabisa ila watoto wakisoma Mashujaa siyo Mugabe

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Tupende kusoma na kufanya tafiti watanzania.
Case ya Babu Seya@ Nguza Viking ina nakala nne za hukumu.
1. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
2. High Court of Tanzania Dar es Salaam
3. Court of Appeal of Tanzania
4. Review of court of appeal
Hapo utapata jibu kweli si kweli
Jamaa walitenda jinai wale

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Wale walikuwa wabakaji tu, kesi za kusingiziwa zinaishia mahakama kuu ukiona kesi imeenda mpaka kwenye review bila kutoboa ujue uliyatinyanga, waliofanyiwa ni watoto wadogo (,kwa kipindi kile) na ushahidi wao haukuacha na hata chembe ya shaka, na hili suala Jk aliwekwamo kumchafua kisiasa maana alikuwa kwenye harakati za kugombea urais.
watu huwa wanatazama upande mmoja tu

hawajui kuwa JK kapitia misuko suko ya kisiasa mingi sana iliyoambatana na uadui mwingi sana kuliko Mwanasiasa yeyote ukimtoa Mwalimu Nyerere

sema ndio hivyo kwa kuwa mara nyingi huibuka mshindi basi huwa analaumiwa
 
Wale itakuwa walitenda huo uchafu. Na pamoja na kutolewa ndani na JPM ili kufurahisha jumuiya lakini laana imeendelea kuwatafuna na nyota yao kimuziki imegona kabisa kuwaka tena.
 
Hukumu ya kisiasa
Tupende kusoma na kufanya tafiti watanzania.
Case ya Babu Seya@ Nguza Viking ina nakala nne za hukumu.
1. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
2. High Court of Tanzania Dar es Salaam
3. Court of Appeal of Tanzania
4. Review of court of appeal
Hapo utapata jibu kweli si kweli
 
Wale walikuwa wabakaji tu, kesi za kusingiziwa zinaishia mahakama kuu ukiona kesi imeenda mpaka kwenye review bila kutoboa ujue uliyatinyanga, waliofanyiwa ni watoto wadogo (,kwa kipindi kile) na ushahidi wao haukuacha na hata chembe ya shaka, na hili suala Jk aliwekwamo kumchafua kisiasa maana alikuwa kwenye harakati za kugombea urais.

..halafu Babu Seya alijitetea kuwa yeye ni hanithi.

..lakini alipotoka kifungoni akaoa binti mchanga kada wa CCM.
 
Mnajiandikiaga tu mambo, Babu Seya alifungwa na Mkapa.

Ikivuka miaka 30 zile top secrets zinafaa kuwa declassified japo kwa hapa bongo wanachanganya sana umalaya na anasa za viongozi wanaita top secret ambapo kwa nchi zilizostaarabika ilitakiwa ziwe scandal za kuwatoa madarakani.

Kifupi bwana yule MAMPP alikua mtu wa tungi sana akishinda annex, na mivinyo ya gharama show kwa mkewe alikua hapigi kabisa jamaa alipataga ajali akiwa chalii iliyomjeruhi power house ya watoto.....

Mkongo yule aliwahi pata nafasi ya kwenda kutumbuiza kwa mama yule aliyekua hapewi mjurubeng inavyotakiwa wakachange contacts wakawa wanakulana....

Kibopa alipoipata hii alimuonya msanii aache usanii na wake za wenyewe.....

Unajua msanii aliwahi kutekwa ila nashangaa haikutrend, baada ya kutosikia akaundiwa hilo likesi tena kumkomesha yeye na familia yake yote walipewa msala....

Hii story kanisimulia mzee Mjuni hapa kijiwe cha kahawa lindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndio akili huna
Lile zengwe lilitengenezwa na waziri wa....

Back
Top Bottom