Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
Hivi kama wewe ni mtu mkubwa, utashindwa kupata njia rahisi tu ya kumshughulikia mtu hadi ukachukue watoto wadogo na kuwasimamisha mahakamani kuwadhalilisha kwamba wamebakwa..

Mbona ni process ndefu sana!, uwahonge wazazi wao, ukahonge madaktari wafeki vipimo, ukahonge hadi majaji, mahakama kuu hadi ya rufaa!

Kweli?! Hakuna namuna nyingine simple ya kumtia mtu adabu?
 
Namfaham dada mmoja alikuwa anafundisha Mugabe primary school ni kweli watoto waliingiliwa na familia ya seya, unajua uchawi na mazindiko ndio yaliwalazimisha kuwaingilia.
Issue ya Salma ni uongo wa wazi, na Ingekuwa kweli wangepotezwa bila kesi
Bora Marytina una uwezo wa kufikiri, mitanzania mingi ni sifuri kabisa..
 
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
ndugu tafuta hukumu uisome hiyo kesi sio ya mchongo kila kitu kipo very clear
 
kachichi na Nguza mbangu walitoka baadae baada ya mahakama KUONA hawana hatia nikukumbushe tu wakati watukio Nguza mbangu alikuwa Congo amerudi janaa yake mdo wanakamatwa hata yeye anashangaa pia KACHICHI mdogo wao wa mwisho alikuwa under 15 ilikuwa ngumu kujus hayo mambo pia nyumba inadaiwa walifanya hayo walikuwa wanaishi wote ikiwemo dada yao moja hivi mlemavu .ANAE JUA HILI VIZURI.NI MZEE NGUZA MWENYEWE KUNA MLANGO WATAKUWA WALIINGIA AMBAO NI NGUMU KUTOKA WAKAJIKUTA WAMENASA.
Sikatai to be under 15 kwa dogo wa mwisho, ila familia ya seya mgeni mwenyewi , kwa pamoja walikuwa wanatekeleza zindiko/ call it spiritual adherence.
Ilikwuwa ni ni kosa kumfunga cz alikuwa chini ya 15 ila kwa pamoja na baba , kaka na ndiguzao wengine toka congo ni kweli waliwaingilia watoto.

ISSUE INGEKUWA NI SALMA HATA WAKIWA JELA BADO WAKIWA WAFUNGWA JELA BADO JK angewapelekea kifo huko huko.

Amekufa magonjwa, kajiua, kapigwa radi wakiwa shambani,mafuriko yamemchota wakiwa kazini hizo ndio zingekuwa ripoti za magereza
 
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..

Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye jibu la uhakika. Nikifika mbinguni swali la kwanza nitamuuliza sir God anifunulie jambo hili.
Huyu jamaa ni kweli alikula vitoto hii case ilishupaliwa na shirika mojawapo la UN linaloshungulika sana na watoto ndiyo maana jamaa wakalamba kifungo cha maisha.

Aliachiwa sababu ya kelele za watu ila jamaa alikula kweli vile vitoto.
 
Baba mtu alikuwa jasusi from drc . inasemekana pia kwenye kesi yao kuna mpaka ushahidi wa video🤷🏽‍♂️
Ujasusi...halafu tena kuna ushahidi ?....umejichanganya

Kama ushahidi wa kutosha ulikuwepo hoja ya kuwa alifungwa sababu ni jasusi haina nguvu tena
 
Back
Top Bottom