Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,432
NAIKUMBUKA hiiKuna wakati iliwahi tolewaga orodha ya top five ya matajiri BONGO, nakumbuka SSB aliongoza akifatiwa na MO then Manji halafu MENGI the Ali Mfuruki
NAIKUMBUKA hiiKuna wakati iliwahi tolewaga orodha ya top five ya matajiri BONGO, nakumbuka SSB aliongoza akifatiwa na MO then Manji halafu MENGI the Ali Mfuruki
Walikuwa wanawalisha matango pori. Mo anaendesha biashara ya familia ya Baba yake wapo watoto kadhaaKuna pahala nilikuta umbea wanasema MO nitajiri kwa vile anamiliki Mali zake kama ONE MAN ARMY wakati SSB wanasema amezitapanya HISA za Mali zake kwa wanae wote! So kwa wanae Mmoja Mmoja hakuna anaemshinda MO!
mi naona #mo-dewji ni zaid ya bakhresaHawa matajiri nani kamzidi mwenzake?
Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
Mtazamo bila data ni uzwazwami naona #mo-dewji ni zaid ya bakhresa
[HASHTAG]#mtazamowangu[/HASHTAG]
Baadae mwaka huu anakuja na kampuni ya mawasiliano azam mobitel, huyo ndiye BakhresaMO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Anayo had mablanketNdio mkuu mwenyewe sikujua kuwa jamaa ana hadi blender za kusagia matunda
Vipi kuhusu yule jamaa anayeimiliki AmazonKama ilivyo ada humu kumejaa mihemko tu na ushabiki lakini hakuna mwenye data makini za kuweka mezani........
Na hii ndio tofauti ya forum hii na forum zingine kwenye kujadili mambo.....
Kwenye forum hii hakuna aliyetayari kujifunza bali kila mtu ni mjuzi wa kila kitu.......
Utajiri wa mtu una maana pana sana na mjadala wake unahitaji weledi mkubwa sana.......
Bill Gets amewekeza kwenye microsoft tu lakini ana utajiri mkubwa sana duniani kulingana na thamani ya investiment yake kulinganisha na Dangote mwenye utitiri wa viwanda Africa.......
Kuna kipindi alihojiwa na salama mo ana sifa sana anaonyesha anajiproud sana,Umenena kweli kabisa Mo ni mzee wa magazeti sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu ni Bakhresa, na sio baghresa
Bil Gates kwa sasa ni wa pili, ana us 94 bln namba moja kuna jamaa anaimiliki amazon ana USD 146blnOnly microsoft!!!!...daaah. Hivi inawezekanaje hii na kuwa no 1 dunia nzima??
Wewe 8000 Mimi shilingi 200 nadhani kuweka usawa ungefanya 500 halafu million 10 wametumia. Kidogo nafuu ila tz hakuna watu million 5 wanaotumia 5000 kwa siku labda million 2au tau waliobakia wako chini ila kwenye hyo million tatu kuna wanaotumia zaidi ya 5000Simpo; ukiamka.asubuhi hadi jioni orodhesha bidhaa za bakhressa ulizotumia na jumla ya pesa; tupo watanzania mil 50; chukulia mil 20 tu ndiyo wametumia bidhaa zake kwa siku.
Mfano mimi natumia 8,000 kwa siku bidhaa zake; zidisha mara 20m idadi ya watu
8,000 × 20m = 160000m kwa siku = 160 bil per day.
Anzia hapo kujua utajiri wa jamaa
Mpaka hapa imetosha kujua na kuamini mo ni tajiri sanahizi ni data chache ambazo zinaweza kukufumbua macho
1. asilimia 5 ya wafanyakazi wote waliopo kwenye formal sector Tanzania ni waajiriwa wa metl, kwa lugha nyengine katika kila watu 20 walioajiriwa kwenye formal sector mmoja ni metl
2. mo ameajiri watu 24,000
3. metl ipo nchi 12 Africa na ipo pia nje ya Africa nchi chache
4. asilimia 3.5 ya pato la taifa linatokana na mo
so hizi ni baadhi ya comparison za mo na bakhresa
-mo wafanyakazi around 24,000 bakhresa around 8,000
-metl nchi 12 na azam nchi 8
-metl pato 1.5 billion na azam pato 800 million
hizo data zote nimetoa about pages ya website zao.
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
About Us | MeTL
kifupi mkuu mo ana hela kuliko bakhresa na wala hawalingani, maana amemzidi zaidi ya mara mbili.
watu wanashindwa kuamini sababu Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.
Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower
vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo
nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.
Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)
baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO
mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.
sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa
mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc
mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.
angalia hio diversity then compare na bakhresa.
Mungu azidi kumbariki huyu mtuBaadae mwaka huu anakuja na kampuni ya mawasiliano azam mobitel, huyo ndiye Bakhresa
Mo ana viwanda na kampuni nyingi sema anatumia majina tofauti tofautiLakini hebu angalia list ya matajiri Tanzania!sijui watafiti wanatumia vigezo gani,au labda kwa vile azam ni kama group halafu Mo anasimama kama yeye
Mo anaviwanda na kampun ndan na nje ya nchi ka 40 ila anatumia majina tofauti tofautiNdio mkuu mwenyewe sikujua kuwa jamaa ana hadi blender za kusagia matunda
Kuna Tv, feni na n.k vinaitwa mo electro,Ndio mkuu mwenyewe sikujua kuwa jamaa ana hadi blender za kusagia matunda