Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Rejea tafiti zinazofanywa.. Huwezi kumfananisha K Lyn na Mo.. Mo tajiri zaidi ya SSB
Mo zile ni Mali za familia,nyota yake ndo inayotumika.kampuni imezaliwa hats kabla yeye hajazaliwa...Mo=familia
Bacresa =1 man show
 
Bakhresa yupo juu hawa forbes wanatudanganya sema SSB hapendi kuuza sura
 
Rejea tafiti zinazofanywa.. Huwezi kumfananisha K Lyn na Mo.. Mo tajiri zaidi ya SSB
exactly mkuu, Mo ni tajiri sana kuliko bakhresa nadhani ndiye anayeongoza bongo it depend na as the way anavyoinvest kwenye miradi yake mfano products, shares,debentures, loan stcks and bonds...SBB ni maarufu kutokana na matumizi ya product na utajiri wake ni tangible sana kila m2 anaona...pia inategemea na nchi gani wamewekeza almost
 
(HOTEL verde) Azam Zanzibar luxury Resort!Tuonyeshe ya MO
tatizo la waTanzania wengi akili zetu zinafikiria mwisho wa kivuli kinapoishia,

hivi mkuu tunaongelea matrilioni ya hela hapa nini hoteli mbele ya trilioni? mwengine hapo juu kasema anajua kampuni ya ssb inaingiza bilioni 9, kweli? unaleta point ya ushindani wa matrilioni ya hela kwa kutumia fact ya bilioni 9? hio hela si kisisimizi tu?

hio hotel haifikii hata 5% ya utajiri wa yoyote kati ya hawa wawili.

hebu tujikumbushe tena data za website zao.
-Bakhresa 800 million usd au kwa hela za kitanzania kama trilioni 1.8
-mo ni 1.5 billion usd au kwa hela za Tanzania ni kama trilioni 3.4

hivyo vibilioni kadhaa havina mashiko unapoongelea Trilioni 3 na kupanda, unless tungekua tunawaongelea Diamond na Kiba kidogo Akili ingeshtuka ungeleta mradi wa bilioni kadhaa.
 
Bakhresa siyo mtu wa kujikweza yeye no bitendo tuu!nimekuuliza tangu awamu hii ya 5 MO kazindua nini cha uwekezaji wa kisasa?kuna jambo gani la kuiga toka kwake?Majuzi Azam wamekuja na juisi mpya muda sii mrefu MO ataiga lakini yenye kiwango duni
 
-still huna hoja inamaana kitu kipya ni lazima kiwe na thamani kuliko cha zamani?
-kitu kikiwa duni ni lazima kipitwe hela na kitu cha kisasa?

nimekupa mfano hapo juu lamborghini ana magari ya kisasa na kifahari ila kwa hela anasubiria kwa toyota.

toyota ana hela zaidi ya mara 400 ya lamborghini ila sababu wewe unaangalia uzuri kuliko mapato akili yako haiwezi kuelewa hili,
 
Umeongea point watu wengi weanauza bidhaa za bei ndogo kwa wingi kuliko za bei kubwa, anaweza uza juice ya 500 buku huyu akauza juice ya 1000 chupa 300.
 
mkuu nielekeze zaid hii strategy
Kwa kweli huwa ina faida zake kwa wahusika wa makampuni hayo ambayo wanataka kuwa pamoja
Lakini inaathiri wafanyakazi pia kwani huwa inatokea wafanyakazi wengi kupunguzwa

Makampuni mengi yanashirikiana ili kuwaondoa wengine kwenye soko maana bidhaa au service zinakuwa nyingi na kubwa

Mifano ipo mingi kama kwenye mashirika ya ndege na hata supermarkets

Kwa sasa supermarket kubwa UK kama Asda na Sainsbury's wanakuwa wamoja na hapo watamuangusha Tesco ambaye ndio anaongoza kwa ukubwa.
Wao ndio watakuwa wakubwa zaidi UK
Ukubwa ndio faida kubwa
 
Kuna pahala nilikuta umbea wanasema MO nitajiri kwa vile anamiliki Mali zake kama ONE MAN ARMY wakati SSB wanasema amezitapanya HISA za Mali zake kwa wanae wote! So kwa wanae Mmoja Mmoja hakuna anaemshinda MO!
 
Mo ni kijana anayependa sifa na promo,hizo article za forbes zinanunuliwa.ingawa ni tajiri sana lakini anaongoza kwa kuwa na bidhaa zenye ubora hafifu.

Alafu yakupasa kutambua kuwa ile listi inayotolewa na forbes ni makadirio tu sio figure sahihi kwa asilimia 100.wao wanaangalia benki statements,assets(zinazojulikana),idadi ya watu ulowaajiri,kiasi cha kodi unacholipa na hisa unazomiliki.sasa wako wengi ambao huwezi kufahamu kila wananacho miliki.
Ndo mana huwa simuoni RA
 
Back
Top Bottom