Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,485
Ukweli mtupu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Dewji ameshakuwa featured na jarida la Forbes kwamba ana networth ya $1.5+Billion, bakhresa n brand sio mtu.
Ukweli mtupu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Dewji ameshakuwa featured na jarida la Forbes kwamba ana networth ya $1.5+Billion, bakhresa n brand sio mtu.
Ukweli mtupuDewji ameshakuwa featured na jarida la Forbes kwamba ana networth ya $1.5+Billion, bakhresa n brand sio mtu.
Mafuta ya Korie ni ya Murzah na sio MOBakharessa anaweza kua ana utajiri kuliko Mo.
Kwa mazingira yafuatayo;-
1. Makosa ya Utunzaji Rekodi.
Hii ina maana Rekodi zinazotumika kupiga hesabu ya Ukwasi wa Bakharessa zina undermine zile Pesa anayotengeneza kupitia mbinu zake madhubuti za ukwepaji wa Kulipa kodi halali. Na hapa inaufanya utajiri wake kua kama wa mazingaombwe. Kwani anapofanyiwa tathmini anaonekana ni wa kiwango cha chini kuliko Biashara anazo miliki.
2. Ushiriki wa Biashara Haramu kupitia Black Market ndio zinampa ukwasi wake. Na kupitia hizi biashara anaitakatisha kwa kuingiza kwenye Miradi yake mikubwa.
Utajiri wa hivi unaweza kua unahusisha wanasiasa wakubwa wanaokwenda kuficha hela zao walizoiba serikalini na kuwekeza kwa huyu Bwana au hata biashara ya Unga. Kwakua wanasiasa wengi hawajui Biashara wanaamua kujihusisha na huyu Bwana.
.
Ili kuweka Rekodi sawasawa, Bakharessa ameshawahi kukamatwa na utawala wa awamu ya 5 kupitia msako Mkali wa maghala yake, kuwekwa vitu vilivyoingia nchini kwa njia zisizohalali.
Sijawahi kumsikia Mo katika scandal za aina hii.
Utaweza kuona Wakati wa hili sakata Bakharessa aliyumba ambapo Mo alizidi kupaa kimataifa.
3. Thamani ndogo ya Vitu anavyomiliki Bakharessa.
Hapa narudia tu. Inawezekana thamani ya vitu anavyomiliki vina gharama ndogo kuliko kuliko vinavyoonekana in bulkiness.
Mo' aliwahi kutangaza Nia ya kununua Benki ya Barclays. Akilenga kumiliki Barclays ya Africa nzima. Nina imani ana share katika hii Benki kubwa Africa.
Mo ana biashara ya mafuta Ya Korie, na viwanda kusini mwa Bara la Africa.
Mo nimali za familia mzee dewij mwenyewe na mo kateuliwa kusimamia tuu ila mali ni zababayake na mo kwao wapo zaidi ya watatu yeye msimamiziLakini hebu angalia list ya matajiri Tanzania!sijui watafiti wanatumia vigezo gani,au labda kwa vile azam ni kama group halafu Mo anasimama kama yeye
Nipo Eddy,uzee nao umenifikaKitambo Sana
Mkuu hizo nchi 12 kuna nini?huyo metl ni kujikweza tuu hana kitu ukienda malawi wanajua Azam Ukienda South africa wanajua Azam maana bidhaa zipo masokoni na viwanda vipo katika nchi hizo sasa Metl hata kwenye website kataja tuu 12 hajasema anafanya nini huko na pia ukienda huko uvikute.Metl ni mpiga deal fulani hivi siyo muwekezajihizi ni data chache ambazo zinaweza kukufumbua macho
1. asilimia 5 ya wafanyakazi wote waliopo kwenye formal sector Tanzania ni waajiriwa wa metl, kwa lugha nyengine katika kila watu 20 walioajiriwa kwenye formal sector mmoja ni metl
2. mo ameajiri watu 24,000
3. metl ipo nchi 12 Africa na ipo pia nje ya Africa nchi chache
4. asilimia 3.5 ya pato la taifa linatokana na mo
so hizi ni baadhi ya comparison za mo na bakhresa
-mo wafanyakazi around 24,000 bakhresa around 8,000
-metl nchi 12 na azam nchi 8
-metl pato 1.5 billion na azam pato 800 million
hizo data zote nimetoa about pages ya website zao.
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
About Us | MeTL
kifupi mkuu mo ana hela kuliko bakhresa na wala hawalingani, maana amemzidi zaidi ya mara mbili.
watu wanashindwa kuamini sababu Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.
Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower
vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo
nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.
Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)
baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO
mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.
sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa
mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc
mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.
angalia hio diversity then compare na bakhresa.
ungeingia kwenye hio website ungeona.Mkuu hizo nchi 12 kuna nini?huyo metl ni kujikweza tuu hana kitu ukienda malawi wanajua Azam Ukienda South africa wanajua Azam maana bidhaa zipo masokoni na viwanda vipo katika nchi hizo sasa Metl hata kwenye website kataja tuu 12 hajasema anafanya nini huko na pia ukienda huko uvikute.Metl ni mpiga deal fulani hivi siyo muwekezaji
MO ana bidhaa za kiwango duni hovyo kama ilivyo magari yake ya kusambaza bidhaa.Ana vibarua siyo wafanyakazi maana mfanyakazi huwezi mlipa sh 150 000 kwa mwezi!Kila nyumba kijijini ina dishi la Azam tv tanzania rwanda kenya uganda.Tangu awamu ya 5 ianze jee kishazindua kiwanda gani?sana anatuchezea akili katika sukari yeye ni agent wa kilombero sugar ni agent wa TPC moshi hapo hapo anapewa vibali vya kuingiza sukari toka nje unategemea atafanya mchezo gani?ungeingia kwenye hio website ungeona.
hakuna kampuni yoyote ya nguo inayozalisha kushinda ya Mo, kusini mwa jangwa la sahara, hebu tembelea vijijini na mijini uone kila mama ana vitenge na kanga,
na wanaifahamu azam ndio sababu vitu vyote vya azam vipo ndani ya brand moja. vitu vya mo vipo brand tofauti tofauti maisha, safi, poa, taifa, etc.
data za kampuni zipo kwenye website zao links nilizokupa jui, mengine ni kuhangaishana tu.
Kumbe hadi matangazo tayari . Hakika nitakuwa mteja wake
Bb kwa data zilizotemwa Jana na watu was kumbukumbu za matajiri duniani " Forbes" Dewji hana mpinzani Tanzania kwa dola.Bahkresa hesabu zake zinaning' inia kwenye nusu ya mzani wa huyu jamaa. Ingia google kwa Forbes.Usimfananishe bakhresa na vitu vya kijinga. Mke wa mengi tu klynn anamzidi mo dewji mbali sana
mkuu hapa tunaongelea bidhaa duni ama hela zao?MO ana bidhaa za kiwango duni hovyo kama ilivyo magari yake ya kusambaza bidhaa.Ana vibarua siyo wafanyakazi maana mfanyakazi huwezi mlipa sh 150 000 kwa mwezi!Kila nyumba kijijini ina dishi la Azam tv tanzania rwanda kenya uganda.Tangu awamu ya 5 ianze jee kishazindua kiwanda gani?sana anatuchezea akili katika sukari yeye ni agent wa kilombero sugar ni agent wa TPC moshi hapo hapo anapewa vibali vya kuingiza sukari toka nje unategemea atafanya mchezo gani?
MO kaajiri watu gani wa maana wanaojitambua kama kina Tido Mhando,Charles Hilary,Kocha Hans?
Bado kuna mabomu ya kula pesa za walibya kujenga kiwanda lindi hatujaanza kufumua hapa ambazo Mo kazila
Arejeshe pesa za kiwanda lindi hata mkuu alisema juu ya wizi huomkuu hapa tunaongelea bidhaa duni ama hela zao?
unaweza ukawa na bidhaa duni za shilingi 100 lakini nyingi na mwengine akawa na bidhaa bora ila chache mwisho wa siku mwenye bidhaa duni akawa na hela nyingi.
toyota gari zake sio nzuri kama benz au volkswagen au lamborghini ila wote hao mapato yao hayagusi hata nusu ya toyota.
mkuu unaongelea azam tv yale madishi sio? hivi unafikiri vitu kama mashuka, Kanga, Vitenge na azam TV kipi kinawafikia watanzania walio wengi? kuna vijiji kibao tv ni mpaka uende kwenye banda la mpira, watu hawana tv ila wana kanga na vitenge. na unaposema kila nyumba kijijini ina dishi la azam huo ni uwongo uliotukuka.
pia ukiwa na kiwanda ama ukiwa ni agent Tatizo nini?
mtu akiwa na kiwanda na anapata bilioni 100
mwengine ni agent anapata bilioni 200
je hapo ni lazima mwenye kiwanda awe na hela zaidi?
na pia kuwa na watangazaji celebrity kuna uhusiano gani na utajiri wa mtu?
unamjua Nani mfanyakazi wa samsung? ila pengine unawajua mamia ya macelebrity wa VEVO kina Rihanna, J LO, Beyonce etc inamaana VEVO wana hela kushinda Samsung?
nakupa tena links upitie Bakhresa mwenyewe kataja hela zake na metl wametaja hela zao, kama huwaamini wao wahusika na unaamini stori za vijiweni mimi sina la kuongeza.
About Us | MeTL
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
na ukumbuke TRA wanaangalia hizo data hawawezi wakataja data kubwa bila kupigiwa hodi na kudaiwa kodi.
Angaliamaisha maisha yako, usiangalia maisha ya mtu mwingine.Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake?
Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
(HOTEL verde) Azam Zanzibar luxury Resort!Tuonyeshe ya MOmkuu hapa tunaongelea bidhaa duni ama hela zao?
unaweza ukawa na bidhaa duni za shilingi 100 lakini nyingi na mwengine akawa na bidhaa bora ila chache mwisho wa siku mwenye bidhaa duni akawa na hela nyingi.
toyota gari zake sio nzuri kama benz au volkswagen au lamborghini ila wote hao mapato yao hayagusi hata nusu ya toyota.
mkuu unaongelea azam tv yale madishi sio? hivi unafikiri vitu kama mashuka, Kanga, Vitenge na azam TV kipi kinawafikia watanzania walio wengi? kuna vijiji kibao tv ni mpaka uende kwenye banda la mpira, watu hawana tv ila wana kanga na vitenge. na unaposema kila nyumba kijijini ina dishi la azam huo ni uwongo uliotukuka.
pia ukiwa na kiwanda ama ukiwa ni agent Tatizo nini?
mtu akiwa na kiwanda na anapata bilioni 100
mwengine ni agent anapata bilioni 200
je hapo ni lazima mwenye kiwanda awe na hela zaidi?
na pia kuwa na watangazaji celebrity kuna uhusiano gani na utajiri wa mtu?
unamjua Nani mfanyakazi wa samsung? ila pengine unawajua mamia ya macelebrity wa VEVO kina Rihanna, J LO, Beyonce etc inamaana VEVO wana hela kushinda Samsung?
nakupa tena links upitie Bakhresa mwenyewe kataja hela zake na metl wametaja hela zao, kama huwaamini wao wahusika na unaamini stori za vijiweni mimi sina la kuongeza.
About Us | MeTL
Azam Worldwide - Azam Bakhresa Group
na ukumbuke TRA wanaangalia hizo data hawawezi wakataja data kubwa bila kupigiwa hodi na kudaiwa kodi.