Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Tatizo sio namba bali ni thamani ya hivyo Vitu anavyomiliki. Kama vina thamani ndogo hata iweje hawezi kua Tajiri.
Mtengeneza juice na chapati.
MO anamiliki nini zaidi ya mashamba na ma godown ya umma?wakati wowote wanamnyang'anya asipoyaendeleza.Uliona tangazo la kutafuta saleman wake analipa mshahara 150,000 kwa mwezi.Wafanyakazi wanaiba mafuta ya kula na sukari kwa kupunguza lita na uzito ili kujikimu.Azam ana kiwanda South Africa Mo ana nini na wapi?
 
Metl inashuhulika na nini? Au unaongea tu
Na je unajua Metl inafanya kazi katika nchi 6 baran Africa ukiacha Tanzania?
Kama hujui kitu kaa kimya
 
Thamani ya biashara za mo ni kubwa kuliko bakhresa..mo katawala kilimo cha tz
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Mkuu peleka cv forbes
 
Kuna wakati iliwahi tolewaga orodha ya top five ya matajiri BONGO, nakumbuka SSB aliongoza akifatiwa na MO then Manji halafu MENGI the Ali Mfuruki
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
hata ukiangalia kwa uwekezaji...yale ma lorry na bajaji za Mo ukalinganisha na SSB....ni vitu tofauti
 
Ujinga kumfananisha SSB Azam na ujinga Mo..

MO hana kiwanda cha sugar lakini ana supply sugar yenye jina lake, kiufupi Mo ni mjanja mjanja

SSB ana
-Wilaya huko bagamoyo,
-Meli,
Ana ndege vidogo zaidi ya 15
-Fumba ule mji aliotengeneza huko Zenji
-Hotel nyota 5
-ana viwanda S.Africa, Rwanda, Kenya,
-Zambia anafungua kiwanda cha sukari

Acheni umama kumfananisha SSB na vitu vya kitapeli..
MO hana kiwanda cha sukari na hauzi sukari yenye jina lake,

Hio project ya bagamoyo ya Bakhressa ndo bado iko kwenye research.

Hivyo vindege vidogo hata watu wa kawaida kama kina Sheni wanavyo zaidi ya 10.

Kama ni Real estate hata Mo anazo.

Hivyo viwanda vya Bakhressa kule Rwanda, Burundi au Malawi ni wiwanda vidogo vidogo sana nimeviona physically.
Zimbabwe amenunua kiwanda cha serikali hata hajaanza kuoperate.

Huko zambia serikali juzijui tu ndo wamemuahidi kumpa ardhi ali aanzishe kiwanda.

Mo ni habari nyingine bwana.
 
Kwa Mhindi, Mwarabu na Mswahili ku merge nadhani haiwezekani
Sijui kwanini especially kwa hawa
Mittal ameanza huku UK hebu tuone kama watashawishika
Lakini Africa ubinafsi umewazidi ni vigumu sana
 
Inakuja
IMG-20180702-WA0003.jpg
 
MO hana kiwanda cha sukari na hauzi sukari yenye jina lake,

Hio project ya bagamoyo ya Bakhressa ndo bado iko kwenye research.

Hivyo vindege vidogo hata watu wa kawaida kama kina Sheni wanavyo zaidi ya 10.

Kama ni Real estate hata Mo anazo.

Hivyo viwanda vya Bakhressa kule Rwanda, Burundi au Malawi ni wiwanda vidogo vidogo sana nimeviona physically.
Zimbabwe amenunua kiwanda cha serikali hata hajaanza kuoperate.

Huko zambia serikali juzijui tu ndo wamemuahidi kumpa ardhi ali aanzishe kiwanda.

Mo ni habari nyingine bwana.
Ana meli hata moja,ana timu na uwanja hata mmoja?ana media east africa hata moja?mnamtetea MO kwa mdomo tuu bila kusema nini kawekeza haswa.Ana kijiji cha majumba ya kisasa kama yale ya Fumba zanzibar?
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Umenena kweli kabisa Mo ni mzee wa magazeti sana
 
Metl inashuhulika na nini? Au unaongea tu
Na je unajua Metl inafanya kazi katika nchi 6 baran Africa ukiacha Tanzania?
Kama hujui kitu kaa kimya
Kazi zipi weka evidence hapa
 
Metl inashuhulika na nguo unga mafuta vinywaji katika nchi 6 barani Africa ukiacha Tanzania

Maana yake katika nchi hizo Ana viwanda vikubwa vya nguo, vinywaji, unga, mafuta
 
Mi nachokijua ni kuwa hawa wote ni mashabiki wa wekundu wa Msimbazi
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani

Ongezea na JET zipo njiani kufanya kazi. Bakhresa mwanaume anaechukiwa na wachache wenye wivu tu.
 
Kama ilivyo ada humu kumejaa mihemko tu na ushabiki lakini hakuna mwenye data makini za kuweka mezani........

Na hii ndio tofauti ya forum hii na forum zingine kwenye kujadili mambo.....

Kwenye forum hii hakuna aliyetayari kujifunza bali kila mtu ni mjuzi wa kila kitu.......

Utajiri wa mtu una maana pana sana na mjadala wake unahitaji weledi mkubwa sana.......

Bill Gets amewekeza kwenye microsoft tu lakini ana utajiri mkubwa sana duniani kulingana na thamani ya investiment yake kulinganisha na Dangote mwenye utitiri wa viwanda Africa.......

Bill Gates hajawekeza kwenye Microsoft tu.
 
Back
Top Bottom