Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
How sure kuwa baghresa hadaiwi !??
Mkuu ni Bakhresa, na sio baghresa
How sure kuwa baghresa hadaiwi !??
Kwenye tambi na hizo blender mnazosema jaribuni kusoma maelezo kwenye hizo product. Metl hawatengenezi, wanaziagiza nje kwa jina Lao. Mo ni Dalali mwenye mafanikio makubwa wakati Bakhresa ni mwekezaji.METL Analima KATANI na MITIKI,,,,Ana viwanda Vichache tu MAJI,KIBIRITI,JUICE,TAMBI etc HAMFIKII SSB hata kwa MIAKA 800.
Weka source au website sourceMetl inashuhulika na nguo unga mafuta vinywaji katika nchi 6 barani Africa ukiacha Tanzania
Maana yake katika nchi hizo Ana viwanda vikubwa vya nguo, vinywaji, unga, mafuta
Teh teh we nae bhana Mo ana nini mbona hujaweka hapa project moja ya huyo dalali Mo?MO hana kiwanda cha sukari na hauzi sukari yenye jina lake,
Hio project ya bagamoyo ya Bakhressa ndo bado iko kwenye research.
Hivyo vindege vidogo hata watu wa kawaida kama kina Sheni wanavyo zaidi ya 10.
Kama ni Real estate hata Mo anazo.
Hivyo viwanda vya Bakhressa kule Rwanda, Burundi au Malawi ni wiwanda vidogo vidogo sana nimeviona physically.
Zimbabwe amenunua kiwanda cha serikali hata hajaanza kuoperate.
Huko zambia serikali juzijui tu ndo wamemuahidi kumpa ardhi ali aanzishe kiwanda.
Mo ni habari nyingine bwana.
Only microsoft!!!!...daaah. Hivi inawezekanaje hii na kuwa no 1 dunia nzima??Kama ilivyo ada humu kumejaa mihemko tu na ushabiki lakini hakuna mwenye data makini za kuweka mezani........
Na hii ndio tofauti ya forum hii na forum zingine kwenye kujadili mambo.....
Kwenye forum hii hakuna aliyetayari kujifunza bali kila mtu ni mjuzi wa kila kitu.......
Utajiri wa mtu una maana pana sana na mjadala wake unahitaji weledi mkubwa sana.......
Bill Gets amewekeza kwenye microsoft tu lakini ana utajiri mkubwa sana duniani kulingana na thamani ya investiment yake kulinganisha na Dangote mwenye utitiri wa viwanda Africa.......
Doh! huu sasa utaniSBB anamkimbiza DANGOTE.
Mkuu ume-overestimate, 8000 kwa siku? Hata kama ni assumption, jaribu kutumia figure zenye uhalisia kidogo.Simpo; ukiamka.asubuhi hadi jioni orodhesha bidhaa za bakhressa ulizotumia na jumla ya pesa; tupo watanzania mil 50; chukulia mil 20 tu ndiyo wametumia bidhaa zake kwa siku.
Mfano mimi natumia 8,000 kwa siku bidhaa zake; zidisha mara 20m idadi ya watu
8,000 × 20m = 160000m kwa siku = 160 bil per day.
Anzia hapo kujua utajiri wa jamaa
Bakharessa anaweza kua ana utajiri kuliko Mo.MO anamiliki nini zaidi ya mashamba na ma godown ya umma?wakati wowote wanamnyang'anya asipoyaendeleza.Uliona tangazo la kutafuta saleman wake analipa mshahara 150,000 kwa mwezi.Wafanyakazi wanaiba mafuta ya kula na sukari kwa kupunguza lita na uzito ili kujikimu.Azam ana kiwanda South Africa Mo ana nini na wapi?
Bakharessa anaweza kua ana utajiri kuliko Mo.
Kwa mazingira yafuatayo;-
1. Makosa ya Utunzaji Rekodi.
Hii ina maana Rekodi zinazotumika kupiga hesabu ya Ukwasi wa Bakharessa zina undermine zile Pesa anayotengeneza kupitia mbinu zake madhubuti za ukwepaji wa Kulipa kodi halali. Na hapa inaufanya utajiri wake kua kama wa mazingaombwe. Kwani anapofanyiwa tathmini anaonekana ni wa kiwango cha chini kuliko Biashara anazo miliki.
2. Ushiriki wa Biashara Haramu kupitia Black Market ndio zinampa ukwasi wake. Na kupitia hizi biashara anaitakatisha kwa kuingiza kwenye Miradi yake mikubwa.
Utajiri wa hivi unaweza kua unahusisha wanasiasa wakubwa wanaokwenda kuficha hela zao walizoiba serikalini na kuwekeza kwa huyu Bwana au hata biashara ya Unga. Kwakua wanasiasa wengi hawajui Biashara wanaamua kujihusisha na huyu Bwana.
.
Ili kuweka Rekodi sawasawa, Bakharessa ameshawahi kukamatwa na utawala wa awamu ya 5 kupitia msako Mkali wa maghala yake, kuwekwa vitu vilivyoingia nchini kwa njia zisizohalali.
Sijawahi kumsikia Mo katika scandal za aina hii.
Utaweza kuona Wakati wa hili sakata Bakharessa aliyumba ambapo Mo alizidi kupaa kimataifa.
3. Thamani ndogo ya Vitu anavyomiliki Bakharessa.
Hapa narudia tu. Inawezekana thamani ya vitu anavyomiliki vina gharama ndogo kuliko kuliko vinavyoonekana in bulkiness.
Mo' aliwahi kutangaza Nia ya kununua Benki ya Barclays. Akilenga kumiliki Barclays ya Africa nzima. Nina imani ana share katika hii Benki kubwa Africa.
Mo ana biashara ya mafuta Ya Korie, na viwanda kusini mwa Bara la Africa.
Kwa mantiki hii... Basi Bakhresa anaficha transactions zake hazikaguliwi kiufasahaMo ni kijana anayependa sifa na promo,hizo article za forbes zinanunuliwa.ingawa ni tajiri sana lakini anaongoza kwa kuwa na bidhaa zenye ubora hafifu.
Alafu yakupasa kutambua kuwa ile listi inayotolewa na forbes ni makadirio tu sio figure sahihi kwa asilimia 100.wao wanaangalia benki statements,assets(zinazojulikana),idadi ya watu ulowaajiri,kiasi cha kodi unacholipa na hisa unazomiliki.sasa wako wengi ambao huwezi kufahamu kila wananacho miliki.
Wewe utakua miongoni mwa wanufaika wa Mr. mwarabu[emoji16][emoji16]Teh teh we nae bhana Mo ana nini mbona hujaweka hapa project moja ya huyo dalali Mo?
Mo ana kiwanda cha mafuta? Au ananunua mafuta ghafi Malaysia anakuja kuyafanya finishi Tanzania?
Bidhaa nying za Mo anazitoa china kwa kuziweka brand name yake na kuja kuziuza Tanzania,
SSB ni mtambo mwingne boss. Kiwanda cha bagamoyo kinaanza kazi 2020 take it on your head chief
Chanzo tafadhaliMO ni tajiri wa 1561 duniani na 17 Africa kwa thamani ya 1.5 Billions USD wakati Bahresa ana utajiri wa 520 Million USD na ni wa 36 Africa
Bakharessa anaweza kua ana utajiri kuliko Mo.
Kwa mazingira yafuatayo;-
1. Makosa ya Utunzaji Rekodi.
Hii ina maana Rekodi zinazotumika kupiga hesabu ya Ukwasi wa Bakharessa zina undermine zile Pesa anayotengeneza kupitia mbinu zake madhubuti za ukwepaji wa Kulipa kodi halali. Na hapa inaufanya utajiri wake kua kama wa mazingaombwe. Kwani anapofanyiwa tathmini anaonekana ni wa kiwango cha chini kuliko Biashara anazo miliki.
2. Ushiriki wa Biashara Haramu kupitia Black Market ndio zinampa ukwasi wake. Na kupitia hizi biashara anaitakatisha kwa kuingiza kwenye Miradi yake mikubwa.
Utajiri wa hivi unaweza
Mo ni msanii tu yule, yeye ndiyo aliyekuwa anapitisha mafuta ghafi halafu anakwepa kulipa kodi,
Mafuta yaliyokuwa yamekwama bandarini ni ya nani?
Mo juzi kafunga kiwanda cha mafuta na kupunguza wafanyakazi
Sema uwekezaji mwingine wa Bill GatesOnly microsoft!!!!...daaah. Hivi inawezekanaje hii na kuwa no 1 dunia nzima??
Ana meli hata moja,ana timu na uwanja hata mmoja?ana media east africa hata moja?mnamtetea MO kwa mdomo tuu bila kusema nini kawekeza haswa.Ana kijiji cha majumba ya kisasa kama yale ya Fumba zanzibar?