Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake?

Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
 
Lakini hebu angalia list ya matajiri Tanzania!sijui watafiti wanatumia vigezo gani,au labda kwa vile azam ni kama group halafu Mo anasimama kama yeye
 
Tafiti zinaonyesha Mo tajiri lakini mbona SSB ndo kama anavuma amewekeza sana au matangazo yamezidi
Mo ni kijana anayependa sifa na promo,hizo article za forbes zinanunuliwa.ingawa ni tajiri sana lakini anaongoza kwa kuwa na bidhaa zenye ubora hafifu.

Alafu yakupasa kutambua kuwa ile listi inayotolewa na forbes ni makadirio tu sio figure sahihi kwa asilimia 100.wao wanaangalia benki statements,assets(zinazojulikana),idadi ya watu ulowaajiri,kiasi cha kodi unacholipa na hisa unazomiliki.sasa wako wengi ambao huwezi kufahamu kila wananacho miliki.
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
How sure kuwa baghresa hadaiwi !??
 
Back
Top Bottom