ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,867
- 39,857
Ziliharibiwa Mali za mafisadi tu,
Mali za kampuni za watu waadilifunhazikuguswa kabisa.
Bakhresa, tajiri namba 1 ana viwanda, magari, majumba na maduka mengi.
Lakini utajiri wake haina makando kando
Hakuna Mali yake iliguswa,
Mo Dewji, ni tajiri anamiliki metl, utajiri wake hauna makando kando
Ni mfanyabiasha hana ufisadi
Mengi anamiliki IPP, Mali zake hazikuharibiwa
Makampuni makubwa ya mabasi hayakuguswa ukiacha Esther ya Mwigulu, kampuni kama Katarama, ABC, Saratoga, Nyegunge n. K mbona hazikuharibiwa
Vituo vya mafuta vingi havikuharibiwa ukiacha vile vya mafisadi kama lake oil, Olympic na BP
Mafisadi wasiongope kuwa waandamaji waliharibu Mali za watu