Small minds discuss people.Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake?
Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
Team mikia watakuroga kumsema bosi wao anayewaweka mjiniUsimfananishe bakhresa na vitu vya kijinga. Mke wa mengi tu klynn anamzidi mo dewji mbali sana
Kesho tunakuja kwako TRA kukutembelea usihofu lakini.Mimi ni tajiri kuliko serikali
Mkuu I just wanted you to know that it's out of the ordinary for great thinkers like JF members to discuss people,it's non of our business.We are great minds,so we should discuss ideas or at most events if we are average minds.But discussing people,hapana mkuu,hiyo ni kwa ajili ya small minds.How does it pain you?
Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake?
Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
Mengi aliwaambia forbes hata umri wake wameukosea iweje aamini records zao khs mali zake?Mo ni kijana anayependa sifa na promo,hizo article za forbes zinanunuliwa.ingawa ni tajiri sana lakini anaongoza kwa kuwa na bidhaa zenye ubora hafifu.
Alafu yakupasa kutambua kuwa ile listi inayotolewa na forbes ni makadirio tu sio figure sahihi kwa asilimia 100.wao wanaangalia benki statements,assets(zinazojulikana),idadi ya watu ulowaajiri,kiasi cha kodi unacholipa na hisa unazomiliki.sasa wako wengi ambao huwezi kufahamu kila wananacho miliki.
Kwenye tafiti nyingi haijasemwa mo ni tajiri kuliko bakhresa bali imesemwa mo ni tajiri mtoto ,yaani pesa aliyokuwa nayo na umri wake havilingani ktk afrika.Lakini hebu angalia list ya matajiri Tanzania!sijui watafiti wanatumia vigezo gani,au labda kwa vile azam ni kama group halafu Mo anasimama kama yeye
Sijakuelewa kabisa,hiyo brand inajimiliki yenyewe ?Dewji ameshakuwa featured na jarida la Forbes kwamba ana networth ya $1.5+Billion, bakhresa n brand sio mtu.
Azam group ndio nn mkuu.Lakini hebu angalia list ya matajiri Tanzania!sijui watafiti wanatumia vigezo gani,au labda kwa vile azam ni kama group halafu Mo anasimama kama yeye
MO UTAJIRI WAKE UPO KWENYE JARIDA LA FORBES TU WAKATI BAKHRESA UTAJIRI WAKE UNAONEKANA,SSB NI BEAST MO ANAWEZA AKAINGIA HATA MARA 10.
Wee pambana na hali yako. Mambo ya wahindi ambao mmewauazia nchi yanakuhusu nini?Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake?
Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
Huyo ndiye mwenye mali.Mo ni mtoto wake anasimamia mali za BabaUnamfaham Gulam Dewj? Au yeye hana chochite ndn ya metel.