and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,302
- 39,838
Umeeleweka vizuri mkuu. Tuma salamu kwa watu watatuJoshua nlichomaanisha kwangu iwe jua mvua baridi natumia products za bakhresa jua kali nitakunywa maji baridi nitakunywa chai na maandazi yake kuupa mwili joto.
Japo Mo nae si haba ila ssb kajipambanua sana.