Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Huu uongo mwingine ni hatari sana
 
Mo ni kijana anayependa sifa na promo,hizo article za forbes zinanunuliwa.ingawa ni tajiri sana lakini anaongoza kwa kuwa na bidhaa zenye ubora hafifu.

Alafu yakupasa kutambua kuwa ile listi inayotolewa na forbes ni makadirio tu sio figure sahihi kwa asilimia 100.wao wanaangalia benki statements,assets(zinazojulikana),idadi ya watu ulowaajiri,kiasi cha kodi unacholipa na hisa unazomiliki.sasa wako wengi ambao huwezi kufahamu kila wananacho miliki.
Sasa ndio umesema kitu gani
 
Very good point na sasa anaingia kwenye usafiri wa anga kule Zenj.

Bakhresa Kadiversify Economy Sana,yaani Nachukulia Mfano Hapa Kwangu Kila Siku Lazima Nitumie Product Yake,
 
FUMBA UPTOWN PROJECT - NYUMBA 500 ACHENI KUMFANANISHA BAKHRESA NA WALIMA KATANI NA MITIKI.
Mkuu hizo nimeona kwa macho yangu.....huyo mzee ana hizo nyumba,acha ile karibu na stone town,ana boti za abiria na cargo,ana viwanda vya vichapati,maziwa,juice,soda,etc ,ana timu ya mpira na kiwanja chake,ina king'amuzi,anadhamini ligi ya Uganda etc.

Lakini MeTl nikiulizwa ana nn sijui zaidi mafuta ya kupikia.
 
METL Analima KATANI na MITIKI,,,,Ana viwanda Vichache tu MAJI,KIBIRITI,JUICE,TAMBI etc HAMFIKII SSB hata kwa MIAKA 800.
 
Back
Top Bottom