Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Mo anamiliki timu fulan hivi aliyoiita mke wake wa pili.
 
Maswali mengine yamekaa kiutani sana! Yaani Bakhresa ni wa kumfananisha na Moo kweli!! Labda kwenye upande wa rangi za miili yao!

Ila kwenye suala zima la utajiri, jibu liko wazi!! Bakhresa ni tajiri na mwekezaji mkubwa zaidi ya huyo Moo!
 
Kwa mwaka 2017 mo alikua anamiliki ardhi hecta 60k ,yaani zaidi yaani mtu mmoja alikua anamiliki zaidi ya asilimia moja ya ardhi ya tz
Sasa hekta 60,000 unayosema twende taratibu tuone hiyo 1% ya ardhi yote ya TZ umeipataje. Tanzania ina eneo lenye ukubwa wa hekta 94, 730,000 yaani hekta karibia milioni 95. Sasa asilimia moja ya eneo lote ni hekta 947,300 yaani karibia hekta laki tisa na nusu... Kama kweli Mo anamiliki hekta elfu 60 basi hiyo ni sawa na asilimia 0.063 ya ardhi ya Tanzania.
 
Ni vile tu Bakhresa hapendi sifa za kijinga
Majuzi nilikuwa nasafiri kwenda Tabora, kufika maeneo ya Manyoni au sijui karibia na Itigi niliona Treni la mizigo linaenda Bara huko lina yale mabogi/mabehewa ya mizigo karibia 15 na karibia yote yana chata za AZAM, kuuliza nikaambiwa ni ya kwake na anayo mengi sana na karibia kila siku yanapita na mizigo yake. Kinasema huyu mzee ambacho hamiliki labda ni Bombardier tuu daaah..
 
Mnaacha kuzungumzia maisha yenu!Vip mjikwamue....mnaaza kudiscuss utajiri wa mo na bhaharesa. Kweli watanzania tumelogwaaa
 
Mnaacha kuzungumzia maisha yenu!Vip mjikwamue....mnaaza kudiscuss utajiri wa mo na bhaharesa. Kweli watanzania tumelogwaa
Umewahi kujiuliza ni nkwanini kuna jarida linaandika habari za watu wenye mshiko wa maana duniani? Wale waandishi hawana habari za kujikwamua kimaisha?
 
oaàaqqqqààq1. ¹¹1111111111111¹111111111qqq1111¹11111¹1:;::;! Nn nn. N v vnn bvv. N mn. N. Nnbn. Bb bbbqqq
1ppplplllpllL all mooll llololmmmlll LLPll lal
 
mo ni chawa mmoja tu na milori yake sijui zinaitwa faw wakati bakhresa anamiliki scania mpya za duka,mercedes benz,volvo achana na bakhresa bhana
 
Maswali mengine yamekaa kiutani sana! Yaani Bakhresa ni wa kumfananisha na Moo kweli!! Labda kwenye upande wa rangi za miili yao!

Ila kwenye suala zima la utajiri, jibu liko wazi!! Bakhresa ni tajiri na mwekezaji mkubwa zaidi ya huyo Moo!
Nenda TRA Department ya Large Taxes upewe majibu..

Utashangaa majibu utakayopewa huyo mtu hata nusu haingii kwa huyo unayemdharau..
 
Mnaacha kuzungumzia maisha yenu!Vip mjikwamue....mnaaza kudiscuss utajiri wa mo na bhaharesa. Kweli watanzania tumelogwaaa
Wewe endelea na yanayohusu maisha yako usituchagulie cha kujadili maana hakuna aliyekuja kukuomba umkwamue.
 
mo ni chawa mmoja tu na milori yake sijui zinaitwa faw wakati bakhresa anamiliki scania mpya za duka,mercedes benz,volvo achana na bakhresa bhana
hii nayo
Screenshot_20230113-001017.jpg
 
Back
Top Bottom