Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Umasikini,ujinga na chuki ndio zimekujaa.Metl yote ni ya Gulam Dewji na ipo chini yake toka Mo hatambuliki kwenye idadi ya mabilionea Tanzania.
Mo ni brand tu kampuni mmiliki ni baba yake.
Bakhressa vitu vyote ni vyake ila ukisikia kipo chini ya mtoto wake jua kawekwa msimamizi kama vile Mo alivyowekwa na baba yake(Gulam Dewji ambaye mwaka 2012 alikuwa namba 2 orodha ya matajiri)
Kigezo cha kuangalia forbes ndiyo ujue idadi ya matajiri ni duni mno, wanatoa list umri wa mtu wanakosea ndiyo watakuwa na takwimu sahihi za mtu husika.
Mwisho:
Usilinganishe dalali na mfanyabiashara
METL group is owned by MO by 75pc hizo zingine ndio Baba na wengine....
Azam sio kila kitu ni cha SSB na kuna kampuni zingine sio majority shareholder.
Kampuni nyingi shareholders ni yeye na wanae....
Soma uelewe