Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,177
Reaction score
8,304
Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu

Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani, ikabidi nikifunge tu🤝
 
Umetushusha thamani matajiri wenzako, sisi kama wamiliki wa nusu ekari ya bamia Kisarawe hatuwezi kukubaliana na wewe kukata tamaa page ya kwanza tu.
 
Back
Top Bottom