Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Mo ni kijana anayependa sifa na promo,hizo article za forbes zinanunuliwa.ingawa ni tajiri sana lakini anaongoza kwa kuwa na bidhaa zenye ubora hafifu.

Alafu yakupasa kutambua kuwa ile listi inayotolewa na forbes ni makadirio tu sio figure sahihi kwa asilimia 100.wao wanaangalia benki statements,assets(zinazojulikana),idadi ya watu ulowaajiri,kiasi cha kodi unacholipa na hisa unazomiliki.sasa wako wengi ambao huwezi kufahamu kila wananacho miliki.
Sasa wewe unalist ipi
 
Mkuu hizo nimeona kwa macho yangu.....huyo mzee ana hizo nyumba,acha ile karibu na stone town,ana boti za abiria na cargo,ana viwanda vya vichapati,maziwa,juice,soda,etc ,ana timu ya mpira na kiwanja chake,ina king'amuzi,anadhamini ligi ya Uganda etc.

Lakini MeTl nikiulizwa ana nn sijui zaidi mafuta ya kupikia.
Sasa kumiliki nyumba ni kitu gani mbona crdb au tbl hawana hizo project na wanapata faida kubwa kila mwaka. Ache ushamba world of money haipo naïve kama akili zenu zinavyowatuma
 
Makampuni makubwa duniani huwa wana merge ili kupata faida zaidi na kupunguza ushindani
Siku wakijua hii strategy watafika mbali
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Kuna moja lipo hapa limebuma,jamaa mboyoyo mingi,matajiri hawaongei sana
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Azam Mobile is coming soon!
Bagamoyo Sugar(Azam Sugar) is coming soon!
 
Hawa matajiri nani kamzidi mwenzake?

Kuna ubishi unaendelea mahali,lakini naona kama Bakhresa kamzidi Mo kila kitu.
Mo yupo juu ya Bakharessa, kwa Mujibu wa aforbes anautajiri unakadiriwa wa Dola za kimarekani 1.5Billion. Na anaongoza namba moja Africa kwa upande wa Vijana.

Bakharessa anatembelea utajiri wa Dola za marekani milioni 600-700.
Hivyo Mo ni Bilionea na Bakharessa ni Milionea.
 
MO anauza sura tuu katika media.Bakhresa ana viwanda msumbiji malawi burundi rwanda uganda na soon kenya!Mo ni ma goodown yetu na mashamba aliyobinafsishiwa na serikali.Mo hana meli hana timu hana uwanja wa michezo hana media.Magari ya Mo mabovu njia nzima utakutana nayo yameharibika, wakati Bakhresa ana volvo benz zilizosimama!Bagamoyo sugar inakuja muda sii mrefu.Mo ana daiwa na benki zote wakati Bakhresa hana deni la ndani
Tatizo sio namba bali ni thamani ya hivyo Vitu anavyomiliki. Kama vina thamani ndogo hata iweje hawezi kua Tajiri.
Mtengeneza juice na chapati.
 
Kwa mujibu wa Forbes, Bakhressa kaachwa nyuma nyang'anyang'a. 2017 Mo ana worthiness of $1.4b... Bakhressa ata top 25 hayumo. Pamoja na kuwa bakhressa amewekeza sehemu nyingi mana ata chapati anashindana na mama ntilie inaonekana ni brand name ndio inamfanya aonekane kuwa tajiri sana pamoja na kufanya vitu vya uhakika.
 
Ujinga kumfananisha SSB Azam na ujinga Mo..

MO hana kiwanda cha sugar lakini ana supply sugar yenye jina lake, kiufupi Mo ni mjanja mjanja

SSB ana
-Wilaya huko bagamoyo,
-Meli,
Ana ndege vidogo zaidi ya 15
-Fumba ule mji aliotengeneza huko Zenji
-Hotel nyota 5
-ana viwanda S.Africa, Rwanda, Kenya,
-Zambia anafungua kiwanda cha sukari

Acheni umama kumfananisha SSB na vitu vya kitapeli..
 
Back
Top Bottom