Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

Sasa kama hatuamini data za Forbes basi hata sisi wenyewe kwa wenyewe tutabishiana mpaka mwisho wa dunia.

ipo hivi simpo tu hata mwenye akili pungufu ataelewa MO ni mtu anamiliki hisa asilimia 75 ya kampuni ya Metl.

Bakhresa ni mtu anyemili asilimia chache tu kwwnye kampuni na zingine ni za nduguzake.

Hii inatosha kuhitimisha mtadala kuwa MO ni tajiri zaidi zaidi ya hapo munaomshabikia Bakhresa bilashaka ndio wale munamshabikiaga Kiba zidi ya Diamond.
Jamaa wataje nduguze SSB tuwajue! Manake kule kwa Mi anatajwa Babake, Mzee Gullam! Tutajie hao ndugu wa SSB
 
INABIDI UKAWAULIZE WENYEWE TUULIZE VITU VITAKAVYO TUSAIDIA TAJIRI MUNGU
 
Hao wanaosema Mo anaongoza hapa Tanzania anakosea kuna mtu mmoja Rostam Aziz ameuza hisa zake Vodacom 17.14% na bado migodi ya kutosha na Biashara ndio hapa Tz anaongoza leo mpaka saivi
 
Ssb ni tajiri namba moja Tanzania. Achana na Forbes. Bakhressa sio mtu wa showoff hadi watoto wake ni watu humble sana, huwezi amini Yusuf Bakhressa unaeza kudhani nae ni kibarua kwa jinsi asivyo na makuu kumbe ni mkurugenzi
Namuonaga Haji Manara anamtag tag
 
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi akasema ukiona ulipaji kodi wa Mo pale bandari..ndio utajua kuwa Mo anamzidi SSB

Ukitaka kujua hizi..acha kuamini kwa macho..tafuta mfanyakazi mtiifu wa TRA na bandari ujue nani ni mlipa kodi nyingi kwa mwezi na mwaka utapata jibu for the 3 yrs consecutively
 
Hao wanaosema Mo anaongoza hapa Tanzania anakosea kuna mtu mmoja Rostam Aziz ameuza hisa zake Vodacom 17.14% na bado migodi ya kutosha na Biashara ndio hapa Tz anaongoza leo mpaka saivi

haha sasa ndio data za utajiri izo kweli kaziipo
 
Yes uko sahihi. Yule Mzee sio wa majigambo ni mchamungu sana na hapendi kujionesha. Bakhressa ni tajiri namba moja Tanzania na East Afrika. Inawezekana akawa tajiri namba mbili Afrika baada ya Dangote. Anaefuatia ni Rostam Aziz, Mo bado sana

Nini?Kuna matajiri huko S/Africa,Nigeria,Misri wako kwny madini na mafuta ni matycoon usipime.

Huyo bakhresa mshindanishe na Hapa E/Africa,hapo kwny kwny kuna ma-alwatani huyo bakhressa cha mtoto.
 
Ndugu kwa maana ya wanae
Said Salim Awadh Bakhresa // Chairman, Bakhresa Group of Companies
Said Salim Awadh Bakhresa is the founding father and the Chairman of the Bakhresa Group of Companies. He is a well-known industrialist in the region. With a humble beginning as a small restaurateur in the seventies, he created the business empire within a span of four decades. He is the mastermind behind the success of all the businesses within the group. His vision and excellent managerial skills contributed to the growth of this group to great heights.

Mohamed Said Bakhresa // Managing Director, Bakhresa Grain Milling (Uganda) Ltd
Mohamed Said Bakhresa is the Managing Director of Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited and is the Executive Director of Said Salim Bakhresa & Company Limited. He is also holding Director-Ship in most of the Group Companies. Mr Mohamed is a graduate in finance, law and accounting from Southbank University, United Kingdom. He is a well- known industrialist in Uganda and Tanzania and is successfully managing Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited, which is the largest wheat milling industry in Uganda.

Omar Said Salim Bakhresa // Executive Director in charge of the Logistic Division of Said Salim Bakhresa & Co Ltd
Omar Said Salim Bakhresa, a Mechanical Engineer, is the Executive Director in charge of the Logistic Division of Said Salim Bakhresa & Co Ltd. He has over a decade of experience in logistics & transportation industry. As the head of most critical service department, his expertise helps the group to function in a smooth and efficient manner.

Abubakar Said Salim Bakhresa // Executive Director Said Salim Bakhresa & Co Ltd
Abubakar Said Salim Bakhresa is the Managing Director of Bakhresa Malawi Limited, Bakhresa Grain Milling (Rwanda), Bakhresa Grain Milling Limitada (Mozambique) and Bakhresa SA (Pty) Limited. He’s the Executive Director of Said Salim Bakhresa & Co Ltd. Mr. Abubakar holds a B.Sc in Business Administration, majoring in Finance from Georgetown University, Washington D.C. USA. He is primarily involved in the wheat milling businesses of the Group and looks after the wheat procurement for the Group.

Yusuf Said Salim Bakhresa // Managing Director of Bakhresa Food Products Limited
Yusuf Said Salim Bakhresa is the Managing Director of Azam Media Limited and is a director in the Group Companies. He is actively involved in the day to day operations of Bakhresa food products Ltd.

From: Board of Directors - Azam Bakhresa Group
 
Bongolala... Amka Backhresa bidhaa zake nyingi za bukubuku..
Kila sekunde anaingiza bukubuku sasa subiri mpaka uvune katani uuze au korosho bei zinashuka kila kukicha.Mo ana viberiti pia anauza
 
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi akasema ukiona ulipaji kodi wa Mo pale bandari..ndio utajua kuwa Mo anamzidi SSB

Ukitaka kujua hizi..acha kuamini kwa macho..tafuta mfanyakazi mtiifu wa TRA na bandari ujue nani ni mlipa kodi nyingi kwa mwezi na mwaka utapata jibu for the 3 yrs consecutively
Watu wengi hawajui wangejua revenue ya baadhi makampuni yake wala wasingekua wabishi, check baadhi yabidha anazozalisha na ku trade hapa
IMG_20181023_100923.jpeg
IMG_20181023_101104.jpeg
IMG_20181023_101241.jpeg
IMG_20181023_101423.jpeg
IMG_20181023_101339.jpeg
IMG_20181023_101423.jpeg
IMG_20181023_101527.jpeg
IMG_20181023_101651.jpeg
IMG_20181023_102002.jpeg
IMG_20181023_101856.jpeg
IMG_20181023_101820.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20181023_101651.jpeg
    IMG_20181023_101651.jpeg
    74.8 KB · Views: 57
Back
Top Bottom