Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

SI unit ya kufikiri ni ipi ili tuweze kupima na upeo wako pia?

Kama posts zangu zinadhihirisha niko kwenye kundi hilo sawa na iwe hivyo.

Point ni kwamba hata kama ni mwana CDM iache akili yako iwe huru kuchangia kutokana na ukweli ulivyo badala ya kulazimisha wengine wa copy mawazo yako.
Mkuu BOCHO,CCM ina wasomi wengi mno,masters za kumwaga maprofesa nao lukuki,hilo wala halina ubishi,je wamelifanyia nini taifa hili miaka 50 matatizo kibao hata Rwanda inatushinda.Kuwa na elimu ni suala moja lakini kuwajibika ni suala jingine tofauti,na ndio maana pamoja na mawazili wote wa JK ni Mwakyembe na Magufuli tu ndio wanaowajibika wengine wanahangaikia matumbo yao.kuitetea CCM ni lazima upate msaada wa mawazo toka kwa watu wanaoishi sayari ya mars ni mahiri sana kujenga hoja.
 
Mkuu Ritz
Achana na mapimbi kama Mungu wanamjua wangehoji ubadhirifu wa Chadema; siasa na Mungu ni wapi kwa wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Si umeona eee!!teh teh teh teh ndio maana nchi hii inakosa muelekeo,ni meli isiyo na nahodha.
 
mkuu unaipenda tanzania kweli wewe?? hivi kibanda angekuwa baba yakoungeandika hivyo??? au mwangosi angekuwa mjimba yako ungesema hivyo??? au msacky angekuwa kaka yako ungesema hivyo???? acheni ujinga bana
Mwangosi aliuwawa na polisi wa ccm ushahidi RPC Kamuhanda alikuwepo eneo la tukio angekuwa baba yako ungesemaje????unachotetea ni nini???wewe waulize ccm wanaitakia mema nchi hii??.
 
Endapo ukweli huo utathibitika.Mi niko huru ndugu yangu,Fikra zangu ziko huru.CHADEMA sio mama yangu.Kama wanatekeleza haya na ikathibitika walau kidogo.Kadi narudisha,ikiwezekana ntakuletea wewe huko Arusha
Mpelekee Nape na Mwigulu Nchemba maana ndiyo madirector wa hiyo movie, kama wewe mwanachama wa chadema kuwa makini na propaganda za kipumbavu za CCM na shukru mungu hata bibi yangu leo nimemuwekea akaanza kuitoa dosari , hiyo movi ya Mwigulu na Nape....
 
Ushabiki na mapenzi ya kisiasa hapa JF umefikia pabaya sana, hasa ukiangalia juhudi hapa jamvini za kukivisha Chama cha Chadema ngozi ya kondoo wakati ni mbwa mwitu wa kali!!!! Hivi kweli badala ya kulaani kilichofanywa na Rwakatare eti hapa mashabiki wanajitokeza na kujaribu kupotosha ukweli kwa kisingizio cha matumizi ya technolojia.....nasema huu ni uhuni wa ajabu...kwa huu unyama Chadema hamtoki...ni bora mtuambie ukweli kwanini mnapanga mauji wakati nyie ni Chama cha siasa?!!!

uhuni unaousema haujafikia wenu wa kufeki clip.
 
tarehe ya kuchukuliwa video inahusiana vipi na mikakati ya utekaji???? maana kitu chochote huanza na mipango na huu ni mpango ie maaandalizi

hiyo siku ya hiyo movie ilipochukuliwa ukifuatilia vizuri rwakatale hakuwepo dar.mwongo/mnafiki mpe muda.............
 
Tungekuwa na serikali makini ingeshughulika na waandaaji wa clips hizo fake lakini kwa kuwa nayo ni ya visasi na utesaji inapata sababu ya kuwasumbua na kuwatesa raia
 
wakuu tusipindishe mambo tuipitie vizuri na kwa utulivu hii video ili tuilinde nchi yetu tuache mahaba na vyama vya siasa.

youtube then andika neno bukoba boy au nenda thred ya chadema hapa lwakatare alikuwa anamaanisha nini??? utapata haya..
kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......

unataka kutuambia Chadema wanamiliki jeshi siku hizi maana watu washasema walisikia "afande tummalize" na wiki 2 kabla walifuatiliwa na gofu ya polisi!wahusika wenyewe ambao pia ni CCM wenzenu wanalalamika kuna kiranja wenu mmoja anachezea rafu wenzie na alishatangaza kuwa ana maadui na wamemtaja,sasa wewe nani hata uendelee kung'ang'ana na Chadema wakati muathirika kashajenga ushahidi wa mazingira unaoigusa serikali?ONLY THE STATE HAS GOT MEANS OF PRODUCTION TO CREATE VIOLENCE!nasema hivi,wananchi tumestuka hamtudanganyi tena na MUNGU anawalaani maadui wa taifa hili wanajidhihirisha wenyewe!
 
4. mhusika kuweka hiyo video "BUKOBA BOY" amejiunga na youtube tarehe 11-03-2013, na tarehe hiyo hiyo akaweka hiyo video ambayo aliichukua tarehe 28-12-2012, je kama analipenda taifa hili kwanini hasingeweka tangu kabla ya tukio pengine kibanda angeepukana na hatari hii..?

Hakuna uhusiano wa CDM na huu upuuuuuuuuuzi.........sioni majisafi hapa ila majitaka matupu..........kuhusu kukamatwa si amekamatwa.........kesi ya kubambikiziwa. Kuna jipya hapo? Kama siyo utapeli wa kisiasa ni nini?.............huko mbele tutakula hata watoto wetu. Kwa minajili hii ninayoiona kwenye hili taifa la wagagagigikoko..na........mikakati ya kudaka dola yapaswa itokane na tija kwa taifa siyo hizi mbinu chafu kabisa................Kumbukeni anayeishi kwa upanga huangamizwa na upanga.............Na kwenye hili hakuna cha upendeleo, kabisa!
 
Nadhani wenye maamuzi ya mwisho ni polisi, pamoja na kwamba mtuhumiwa ametokea upinzani, nitawaomba polisi wetu wasitumie upinzani kama kigezo cha kumhukumu mtuhumiwa. Lwakatare apewe haki yake kama Lwakatare na kama raia mwingine yeyote wa nchi hii.. Nadhani aliyeweka hii video alikuwa na mawazo hasi na upinzani ndiyo maana anawauliza wa "CHADEMA, hapa Lwakatare anamaanisha nini?.. Kwa uelewa wangu huyu mtu hana dhamira njama kwa Nchi yetu ya Tanzania, anaweza kuwa mtu hatari sana katika mipango na mikakati yote ilyokwisha ripotiwa ya mauaji, utekaji na uumizwaji wa raia, waandishi na wanaharakati mbalimbali hapa Tanzania. Nadhani Polisi wangeanza na huyu mtu angeweza kuwasaidia sana katika utekelezaji na upelelezi wa makosa yanayofanana na haya. Nachoona hapa ni hiki,.

  1. Mweka video alishiriki katika kuiandaa clip hii kikamilifu.
  2. Anatumiwa na watu wasiyoitakia mema Nchi yetu ya Tanzania,
  3. Ana mtandao ambao huratibu uchafu wote unaofanywa na hawa magaidi ndiyo maana anahisisha mambo ya utekaji yanayoendelea hapa nchini na vyama vya upinzani hususani CDM.
  4. Anaweza kuwa ni mtu wa system mwenye dhamana ndiyo maana hakupeleka hii clip sehemu husika kama kituo cha polisi akiogopa atatoa ushirikiano ambao utamfanya ajulikane..
  5. Anaweza akawa anajua ukweli wa mambo mengi sana maovu yanayotokea hapa nchini ya kihalifu na kigaidi, na kama ni mwandishi wa habari, anafaa zaidi katka upelelezi.
Rai yangu njema, nawaaomba polisi wamsake huyu mtu atawasaidia sana katika kubaini njama mbalimbali za uovu zinazoendelea hapa nchini.. Kama ni mtu mwenye nia njema atajitokeza ili awasaidie polisi katika kufahamu mambo yafuatayo.
  1. Hizo video nyingine za mikakati ya mauaji
  2. Sehemu ilitumika katika kurekodia video hizi,
  3. Mtu/taasisi iliyo nyuma yao katika kufadhili mpango huu,
  4. mbinu nyingine chafu ambazo wameshafanikisha na ambazo ziko kwenye pipeline.

Nawasilisha...
Kaka unasomeka vizuri sana,

Hii Nchi haina jeshi la polisi,Jeshi la polisi ni sehem ya ccm,kwahiyo usitegemee mtu/kikundi chochote ambacho kiko nje ya ccm kisikilizwe ndani ya nchi hii,kama unakumbuka vizuri mkuu wa kaya na mwenyekiti wa ccm alishawaonya ccm kwamba wasitegemea sana jeshi la polisi,wajibu hoja kwa hoja na si kila wapinzani wanapoibua hoja wanakimbila polisi
 
vidio tumeiona lakini kwa wapelelezi waliobobea wataona mapungufu yaliopo na kubaini kama hii video ni act na wahusika wanajua kuwa walikuwa wanachuliwa video.
 
Nadhani wenye maamuzi ya mwisho ni polisi, pamoja na kwamba mtuhumiwa ametokea upinzani, nitawaomba polisi wetu wasitumie upinzani kama kigezo cha kumhukumu mtuhumiwa. Lwakatare apewe haki yake kama Lwakatare na kama raia mwingine yeyote wa nchi hii.. Nadhani aliyeweka hii video alikuwa na mawazo hasi na upinzani ndiyo maana anawauliza wa "CHADEMA, hapa Lwakatare anamaanisha nini?.. Kwa uelewa wangu huyu mtu hana dhamira njama kwa Nchi yetu ya Tanzania, anaweza kuwa mtu hatari sana katika mipango na mikakati yote ilyokwisha ripotiwa ya mauaji, utekaji na uumizwaji wa raia, waandishi na wanaharakati mbalimbali hapa Tanzania. Nadhani Polisi wangeanza na huyu mtu angeweza kuwasaidia sana katika utekelezaji na upelelezi wa makosa yanayofanana na haya. Nachoona hapa ni hiki,.

  1. Mweka video alishiriki katika kuiandaa clip hii kikamilifu.
  2. Anatumiwa na watu wasiyoitakia mema Nchi yetu ya Tanzania,
  3. Ana mtandao ambao huratibu uchafu wote unaofanywa na hawa magaidi ndiyo maana anahisisha mambo ya utekaji yanayoendelea hapa nchini na vyama vya upinzani hususani CDM.
  4. Anaweza kuwa ni mtu wa system mwenye dhamana ndiyo maana hakupeleka hii clip sehemu husika kama kituo cha polisi akiogopa atatoa ushirikiano ambao utamfanya ajulikane..
  5. Anaweza akawa anajua ukweli wa mambo mengi sana maovu yanayotokea hapa nchini ya kihalifu na kigaidi, na kama ni mwandishi wa habari, anafaa zaidi katka upelelezi.
Rai yangu njema, nawaaomba polisi wamsake huyu mtu atawasaidia sana katika kubaini njama mbalimbali za uovu zinazoendelea hapa nchini.. Kama ni mtu mwenye nia njema atajitokeza ili awasaidie polisi katika kufahamu mambo yafuatayo.
  1. Hizo video nyingine za mikakati ya mauaji
  2. Sehemu ilitumika katika kurekodia video hizi,
  3. Mtu/taasisi iliyo nyuma yao katika kufadhili mpango huu,
  4. mbinu nyingine chafu ambazo wameshafanikisha na ambazo ziko kwenye pipeline.

Nawasilisha...

Wala hakuna haja ya kumtafyta aliyeusuka huo mchezo mchafu ni Mwigulu na tomu yake ndio wanajua hilo tifu lilikoanzia
 
Sawa mr makavu laivu,nakushkuru sn kwa huo mchanganuo wako,kiukweli mambo kama haya hua yanafanywa sana na serikali zilizo shindwa kuongoza kwa kuleta maendeleo kwa raia wake ili kudhoofisha upinzani,ila kwa hli tusiongee mengi sn kwan haki itapatikana.ila km kweli cdm imeshiriki kwa namna moja au nyangine bas tunako elekea ni kubaya!Nawaomba cdm washirikiane na bwana lwakatale mpak hatua ya mwisho na polisi wamtafute alie post video ile ili kupat ukweli zaidi!
 
Hakuna uhusiano wa CDM na huu upuuuuuuuuuzi.........sioni majisafi hapa ila majitaka matupu..........kuhusu kukamatwa si amekamatwa.........kesi ya kubambikiziwa. Kuna jipya hapo? Kama siyo utapeli wa kisiasa ni nini?.............huko mbele tutakula hata watoto wetu. Kwa minajili hii ninayoiona kwenye hili taifa la wagagagigikoko..na........mikakati ya kudaka dola yapaswa itokane na tija kwa taifa siyo hizi mbinu chafu kabisa................Kumbukeni anayeishi kwa upanga huangamizwa na upanga.............Na kwenye hili hakuna cha upendeleo, kabisa!

'Kumbukeni anayeishi kwa upanga atakufa kwa upanga'

A million of thanks for this statement Mkuu.
 
Back
Top Bottom