Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Mkuu NasDaz kama ungekuwa umewasikia wakuu wa jeshi la polisi wanchokiongea kwenye vyombo vya habari juu ya sakata hili usingeandika huu utumbo uliouandika hapa.

Alichofanya Patriote ni kujaribu kuufahamisha umma juu ya ufirauni uliofanywa na ccm kwa kushirikiana na serikali yao kutaka kuionyesha Chadema mbele ya macho ya watanzania kwamba ni chama cha wauaji wakati ukweli ni kwamba matukio yote ya uhalifu yanayofanyika nchi hii yanaratibiwa na kusimamiwa na vyombo vya dola chini ya ccm.

Dr. Ulimboka alimtaja mtu aliyemteka kuwa ni Ramadhani Ighondu mbona hajawahi kukamatwa ama kuhojiwa? Membe ametajwa na vyombo vya habari kuhusika na tukio la kumteka na kumtesa Kibanda mbona hajakamatwa ama kuhojiwa? Sasa mtu kama wewe unaposhindwa kuona mambo kama haya yaliyo dhahiri kiasi hiki na kufuata mkumbo wa kupiga propaganda inaonyesha dhahiri jinsi waanaojiita wasomi katika nchi hii walivyogeuka kuwa wasaliti.

Badala ya kusimamia ukweli ninyi mmegeuka kuwa makuwadi wa viongozi wa ccm na serikali yake wanaotenda maovu ya kila namn alimuradi tu waendelee kukaa madarakani.
Mkuu wangu Mwita Maranya, naomba twende hatua kwa hatua ingawaje nafahamu kabisa hatuwezi kufikia muafaka!! Awali ya yote, kutokamatwa kwa Ighondu sio sababu tosha ya kwamba Lwakatare nae asikamatwe (bila kujali kama ni kweli amefanya au hajafanya)! Tunaweza kulalamikia suala la double standard lakini si sahihi hata kidogo kulalamikia suala la kukamatwa Lwakatare! Hilo la Membe sizani kama lina mashiko coz' limekaa kisiasa zaidi na kwa mtu anayemfuatilia Bashe, anafahamu kwamba ni mropokaji anayejitahidi ku-force bifu na Membe! Lakini vile vile, leo ukisema kila kauli ya mwanasiasa uifanyie kazi, basi hakuna lingine litakalofanyika kwa polisi zaidi ya kufuatilia madai ya wanasiasa....!! Wewe mwenyewe shahidi, unaweza usikiri hapa hadharani lakini nafsini mwako unakiri kwamba hata Dr. Slaa nae amekuwa ni bingwa wa kauli tata lakini hajawahi kukamatwa!

Kama unataka nisimamie ukweli, bado mie ukweli wangu ni ule ule....binafsi sipendi unafiki! Ukweli wangu ni kwamba, video ya Lwakatare ni Genuine na wala sio fabricated...! Watu wamem-set up na akaingia kichwakichwa....anyway, ni ajali kazini coz' haya mambo kwenye siasa yapo! Mkuu wangu utakuwa unafanya kosa sana kutaka kunishawishi niamini vile kama ambavyo wewe na wenzako mnaamini! By the way, as far as upo ndani ya CHADEMA, una wajibu wa kukanusha suala hili coz' usipofanya wewe hakuna mwingine wa kufanya unless kama mtu hutaki ku-practice african politics!

Kama nilivyotangulia kusema, wewe una kila sababu na wajibu wa kukanusha....mimi wajibu huo sina coz' ni mtu huru nisiyefungamana na chochote....video ya Ilunga niliilaani, ya Lusinde vilevile na wacha hii nayo niitafsiri vilevile kama ambavyo nilivyofanya kwa hizo zingine coz' sifungamani na chochote katika hizo...!!

Suala la maovu ya viongozi wa CCM na serikali yake lipo wazi....na hata nikikutuma hapa unitafutie hoja yangu ya kuitetea CCM pale pasipopaswa kutetea, hutaiona!! Lakini uovuo wao huo kamwe hauwezi kuwa ndio tiketi ya wengine nao kufanya uovu! Sie tusio na mlengo wowote, tutapinga na kulaani bila kujali kwamba uovu huo umefanywa na CCM au CHADEMA na wala haitusumbui kuitwa majina ya ajabu ajabu kama mlivyozoea!

Nisisitize tu kwamba sina mashaka hata kidogo na video ile....ni genuine clip na ndio maana hata Dr. Slaa leo wakati anahojiwa amekosa kabisa ujasiri wa ku-defend na matokeo yake akawa anajikanganya kanganya...."mara oh, mmesikia mwenyewe, kwani spray inaua!"

Lakini la mwisho, hebu acha kuwapa ujiko CCM!! Usizani CCM wana uwezo wa kumtumia kila mtu....unawapa sifa adimu ambayo kamwe hawawezi kuwa nayo...! Tukubali kutokubaliana lakini kutokubaliana na CHADEMA not necessary muhusika awe CCM!
 
Last edited by a moderator:
Wat if this was recorded purposely by wahusika tunaowaona na kuwasikia kwenye hii vidoe..!! anything is posible bana kwa binadamu hasa unapomuonesha mpunga(PESA) so lets dont forget that politics is the dirty game...!! Anyways im trying to look also with a second eye...!!
 
I like honesty answers!! Labda nikuambie kitu kimoja....binafsi nina taabu na wale ambao moja kwa moja wanapinga simply because kuna video manipulation technology huku wakiwa hawatuoneshi wapi the video under question imekuwa manipulated!

On the other hand, mimi najihisi ni mtu wa ajabu kidogo! Unajua nini? Mkuu wangu Patriote sifahamu nafasi yako ktk CHADEMA ipo vipi....i mean, ikiwa nawe ni viongozi wa CHADEMA, wala sitaona taabu nikikuona unakanusha kwamba hii video ni fake....kama kiongozi, una wajibu huo coz' that's how politics work unless kama cha kukanusha chenyewe kipo wazi; kukanusha itakuwa uendawazimu!! Hivyo basi, nikuone wewe(kama upo kwenye CDM Team), Mwita Maranya, Molemo au wengine sawa na hao wakikanusha, wala sitakuwa na tatizo coz' nafahamu mnatekeleza wajibu wenu....DAMAGE CONTROL. Lakini vilevile uungwana una-suggest kwamba, ukiona nakupinga, na wewe unafahamu kabisa ninachosimamia ni sahihi, basi usinione mjinga....fahamu tu kwamba, nimegoma kununua political lie/propaganda!

Tatizo lililopo kwa baadhi ya mashabiki wa CHADEMA(am certain, u're not one of them) ni kwamba, sie wote ambao tunaamini kwamba the video ni genuine; we're fool na hatujui lolote abt video manipulation technology as if any video siku hizi lazima itakuwa manipulated!! Hapa, ndipo linapoanza tatizo!
NasDaz nimeelewa ni wapi kwako tatizo la kutowaelewa washabiki wa CDM linapoanzia. Unajua hili suala lina impact kubwa sana kwa vyama vyote viwili, ccm wanataka kupata credit kupitia hii clip na CDM hawataki kuchafuka kwa hii clip. Katika hali ya kawaida, tegemea watu kutoa hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja.

Aidha mimi sio kiongoz wa CDM, ila nasukumwa kugombea uongozi wa chama siku zijazo maana nadhan nahitaji kukitumikia chama na wananchi kwa ujumla, kwa bahati mbaya nipo mbali kidogo so ntakaposogea karibu nitaifanyia kazi adhma yangu.
 
NasDaz nimeelewa ni wapi kwako tatizo la kutowaelewa washabiki wa CDM linapoanzia. Unajua hili suala lina impact kubwa sana kwa vyama vyote viwili, ccm wanataka kupata credit kupitia hii clip na CDM hawataki kuchafuka kwa hii clip. Katika hali ya kawaida, tegemea watu kutoa hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja.

Aidha mimi sio kiongoz wa CDM, ila nasukumwa kugombea uongozi wa chama siku zijazo maana nadhan nahitaji kukitumikia chama na wananchi kwa ujumla, kwa bahati mbaya nipo mbali kidogo so ntakaposogea karibu nitaifanyia kazi adhma yangu.
All the best katika mipango yako ya kugombea CHADEMA.....ingawaje mie sio shabiki wa CHADEMA wala chama chochote, lakini ukweli nataka mabadiliko ingawaje kupenda mabadiliko huko hakutanizuia kutoa maoni tofauti na wapenda mabadiliko wengine....naogopa sana kusukumwa na ushabiki!

Tukija kwenye hili la hoja za nguvu au nguvu za hoja.....hapo ndipo tatizo mnapokuza!! Kama utakumbuka post yangu ya jana, nilikuambia wazi kwamba tayari CCM wameshawajua udhaifu wenu upo wapi.....u're(CHADEMA) weak katika kukabiliana na mashuti....mnaweweseka mno, kupita maelezo!! Na ndio maana nikakuuliza, ni makombora mangapi yanarushwa CCM(yawe ya kweli au si kweli), lakini jamaa hawaweweseki kama mnavyoweweseka nyinyi!! Ni kweli kabisa kwamba hili jambo lina effect kwa chama, lakini inategemea vile vile na nyinyi mnavyo-react! Kila mnavyojaribu ku-react back, ndipo mnavyozua mijadala zaidi! Assume baada ya thread kuhusu video ya Lwakatare kutolewa, mngeamua kuipotezea....unazani akina Ritz peke yako yao wangeweza kuuvuta mjadala hadi sasa!! Is like mtu anayetaka shari na wewe, lakini unaacha kumjibu, utafika wakati atajiona upuuzi, ataacha! Nakubali, in politics ni ngumu kupuuzia moja kwa moja, lakini kadri mnavyo-invest more and more effort kulikanusha, ndipo mnalikuza na weneyewe kujikuta mmeshatolewa nje ya mstari!! Hapa si ajabu akina Braza Nape wanaingia kama guests na kuwa-enjoy mnavyoweweseka!! We umemuona Ritz anashabikia sana huu uzi? Ashabikie nini wakati anaona mnajikaanga wenyewe...!!! Zomba unamuona kwenye mjadala? Shida yote ya nini wakati tayari mnaweweseka!!!!
 
NasDaz nimeelewa ni wapi kwako tatizo la kutowaelewa washabiki wa CDM linapoanzia. Unajua hili suala lina impact kubwa sana kwa vyama vyote viwili, ccm wanataka kupata credit kupitia hii clip na CDM hawataki kuchafuka kwa hii clip. Katika hali ya kawaida, tegemea watu kutoa hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja.

Aidha mimi sio kiongoz wa CDM, ila nasukumwa kugombea uongozi wa chama siku zijazo maana nadhan nahitaji kukitumikia chama na wananchi kwa ujumla, kwa bahati mbaya nipo mbali kidogo so ntakaposogea karibu nitaifanyia kazi adhma yangu.
All the best katika mipango yako ya kugombea CHADEMA.....ingawaje mie sio shabiki wa CHADEMA wala chama chochote, lakini ukweli nataka mabadiliko ingawaje kupenda mabadiliko huko hakutanizuia kutoa maoni tofauti na wapenda mabadiliko wengine....naogopa sana kusukumwa na ushabiki!

Tukija kwenye hili la hoja za nguvu au nguvu za hoja.....hapo ndipo tatizo mnapokuza!! Kama utakumbuka post yangu ya jana, nilikuambia wazi kwamba tayari CCM wameshawajua udhaifu wenu upo wapi.....u're(CHADEMA) weak katika kukabiliana na mashuti....mnaweweseka mno, kupita maelezo!! Na ndio maana nikakuuliza, ni makombora mangapi yanarushwa CCM(yawe ya kweli au si kweli), lakini jamaa hawaweweseki kama mnavyoweweseka nyinyi!! Ni kweli kabisa kwamba hili jambo lina effect kwa chama, lakini inategemea vile vile na nyinyi mnavyo-react! Kila mnavyojaribu ku-react back, ndipo mnavyozua mijadala zaidi! Assume baada ya thread kuhusu video ya Lwakatare kutolewa, mngeamua kuipotezea....unazani akina Ritz peke yako yao wangeweza kuuvuta mjadala hadi sasa!! Is like mtu anayetaka shari na wewe, lakini unaacha kumjibu, utafika wakati atajiona upuuzi, ataacha! Nakubali, in politics ni ngumu kupuuzia moja kwa moja, lakini kadri mnavyo-invest more and more energy kulikanusha, ndipo mnalikuza na weneyewe kujikuta mmeshatolewa nje ya mstari!! Hapa si ajabu akina Braza Nape wanaingia kama guests na kuwa-enjoy mnavyoweweseka!! We umemuona Ritz anashabikia sana huu uzi? Ashabikie nini wakati anaona mnajikaanga wenyewe...!!! Zomba unamuona kwenye mjadala? Shida yote ya nini wakati tayari mnaweweseka!!!!
 
Dirty idiot mind! Ilunga vs Lwakatare nani zaidi? Naomba mdau aanzishe hii topic ya nani akamatwe kabla ya mwenzake, CCM mmechanganyikiwa au laana ndiyo inahangaika na nyie
 
device yangu haitoi sauti kwa video hii so nimeshindwa kusikia chochote sijui nyie wenzangu but ukiangalia body language
tu unaweza ukahisi kama hakuna uhalisia maana swala la kumteka mtu si dhani kama litaongelewa bila userious flani maana jamaa anapiga miayo mara ashike maeneo ya puani halafu anaandika kama anafanya hesabu fulani hivi so inawezekana sote hatujui either riz au nape wote labda wameiona kama ilivyo sasa swala linakuja anayeangalia video anamtazamo gani au anamaslahi gani na upinzani au na magogoni so kila mtu ataielezea atakavyo lets see what next!!!

Cha kushangaza watu wa pembeni Sauti Sao zinasikika vizuri ila ila muhusika haisikiki
 
It is an application developed at New York University, known as Video Rewrite, uses computer to match lip movements with the new voice track. hi process is used sana sana kwenye kutengeneza animation, Dubbing, also known as re-recording, is a post-production process used in filmmaking and video production, in which vocal recording (like dialogue) occurs subsequent to the original recording ,famous examples are the Babe, Atlantis: The Lost Empire, Finding Nemo, Cars, Shrek the Third, Ratatouille, Kung Fu Panda and WALL-E.

jamani hapa wasiwadanganye nikamchezo hako........................watanzania wasasa wajanja jamani
 
Watafutwe wataalam ili wawe mashahidi . wanafikiri watz bado mbumbumbi? wataumbuka sana mwaka huu.
 
Watafutwe wataalam ili wawe mashahidi . wanafikiri watz bado mbumbumbi? wataumbuka sana mwaka huu.

muda utakapo fika tutajitokeza . tukitoka mapema watatafuta njia yakutuzuia .
 
mungu iepushe cdm nambinuzote chafu.kwani wakiisambaratisha itatuchukua miaka mingine ishirini chini ya chamahiki kilichokwishakosa uhalali wa kuongoza.
 
Hii ni aibu kubwa sana! badala ya taifa maskini kama tanzania kutumia tekinolojia kutafuta maendeleo watu wanafanya vitu vya kijinga kama hivyo!.Jambo la kushangaza ni hilo la kuona kwamba hata taasisi yenye mamlaka ya kusimamia usalama wa raia na mali zake inaingia haraka haraka kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo.Ni matumaini yetu sote wapenda maendeleo kuona haki inatendeka katika kuchunguza jambo hilo na kubaini pia alihusika kutengeneza!
 
Huu mtihani CDM wakiuvuka tu, CCM wamekwisha!
CHADEMA watauvuka tu kama CCM ndiyo wacheza mpira wa matambara mabovu lakini kwa jinsi video inavyoonyesha labda CHADEMA waamue kumtoa kafara Lwakatare. Not the other way around
 
Shahidi namba moja ni aliyeweka hiyo video mtandaoni aisaidie police na propaganda yao.
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataomba radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
 
It is an application developed
at New York
University
, known as Video Rewrite, uses computer to match lip
movements with the new voice track. hi process is used sana sana
kwenye kutengeneza animation, Dubbing, also known as
re-recording, is a
post-production
process used in
filmmaking and
video
production
, in which vocal recording (like
dialogue) occurs
subsequent to the original recording ,famous examples are the
Babe,
Atlantis:
The Lost Empire
,
Finding
Nemo
,
Cars,
Shrek the
Third
,
Ratatouille,
Kung Fu
Panda
and
WALL-E.

jamani hapa wasiwadanganye nikamchezo
hako........................watanzania wasasa wajanja jamani

jaman tuwaeleweje? mara alikuwa anarekodiwa huku anajua kama anarekodiwa, mara alirekodiwa kwa njia za siri, na wewe unatuletea dhana nyingine kabisa. ila mie naamini ile clip ni original na ndiyo maana yeye mwenyewe amekiri pale polisi wakati anahojiwa. tuache vyombo vya dola vifanye kazi zake
 
mungu iepushe cdm
nambinuzote chafu.kwani wakiisambaratisha itatuchukua miaka mingine
ishirini chini ya chamahiki kilichokwishakosa uhalali wa
kuongoza.

chama gani sasa kina uhalali wa kuongoza kama si ccm?
 
Back
Top Bottom