Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

tarehe ya kuchukuliwa video inahusiana vipi na mikakati ya utekaji???? maana kitu chochote huanza na mipango na huu ni mpango ie maaandalizi
 
hizi hoja za mapungufu ni dhaifu mno, hoja ya msingi hapa ni mipango ya maangamizi inayofanywa na lwakatare.
 
imekula kwao ccm wanatundanganya machana kweupe kiasi kama hiki? heri wangeendelea na propaganda zao za miaka nenda hapa watadharilika ile mbaya
 
wakuu tusipindishe mambo tuipitie vizuri na kwa utulivu hii video ili tuilinde nchi yetu tuache mahaba na vyama vya siasa.

youtube then andika neno bukoba boy au nenda thred ya chadema hapa lwakatare alikuwa anamaanisha nini??? utapata haya..
kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......
 
hakuna kitu hapo wame chemka magamba

mkuu unaipenda tanzania kweli wewe?? hivi kibanda angekuwa baba yakoungeandika hivyo??? au mwangosi angekuwa mjimba yako ungesema hivyo??? au msacky angekuwa kaka yako ungesema hivyo???? acheni ujinga bana
 
[h=5]Juliana Shonza
drP8vlvSl_8.gif
TANURU LA FIKRA

[/h][h=5]Hiki chama cha mauaji kimetupa kazi ingine ya ziada kwenye mikutano yetu ya hadhara .
Kabla hatujahutubia wanaccm wenzangu tuwe tunatenga dakika moja moja kwa kunyamaza kimya kuwakumbuka ndugu zetu waliokumbwa na kashda hii ya mauaji yakinjama ya watu walioapa kuingia ikulu kwa hali na mali ambapo mwanzo walitumia mbinu yakuwakosanisha wananchi na serikali yao kwakutumia maandamano hii ilikuwa na athali ya uvunjifu wa amani kwa nchi yetu.
Baada ya wananchi kuishtukia mbinu hii baada yakuona wakitelekezwa pindi wapatato matatizo yakukamatwa
Ndipo walipoamua kuja na mbinu ya mauaji.
Mungu hamfichi mnafiki hatimaye uovu wao umewekwa peupe kabla mambo kuharibika zaidi.
Natangaza wazi kwamba kwa kila mkutano wa hadhara nitaofanya nitatenga dakika kama ifuatavyo.
Dk moja kumkumbuka marehemu chacha wangwe
Dk moja kumkumbumbuka Mwangosi
Dk moja kumkumbuka kijana aliyekuwa muuza magazeti Morogoro.
Eeeeh Mola tuepusha na wasakatonge hawa wanaohatarisha usalama wa Taifa letu.
[/h]
 
Hapo mumenasa kwenye "tope"... Badala ya kuendelea kujitetea humu jamvini, nobora kutoa ushirikiano wa kila namna Kwa vyombo vya usalama ili kujiridhisha kama mambo hayo hayakutokea kwali ndani ya CDM....! la sivyo hata yale ya wachungaji zanzibar Mtaongezewa pia....si mnajua jeshi lapolisi lilivyo juu kwa "investigesheni"....................
Jeshi limejivua nguo lakini hatushanga top six kwenye usalama wa nchi ni Othmani jaji,Othman usalama wa taifa ,Saidi mwema IGP,selemani Kova kanda maalumu what do you expect ndio hizo faracas tutaona mwisho wa mkanda mzima
 
[h=5]Juliana Shonza
drP8vlvSl_8.gif
TANURU LA FIKRA

[/h][h=5]Naunga mkono hoja ya Mwanakijiji aliyotoa kuonyeshwa kushangazwa kwake na ukimya wa chadema toka juzi cd ya njama za mauaji ilipowekwa hadharani wananchi wajionee wenyewe
Akielezea kwamba viongozi wa chama hicho mpaka sasa wako kimya bila kutoa msimamo ama tamko la chama kuhusiana na kuhusushwa moja kwa moja na njama hizo.
Japo binafsi naamini hata kama wangetoa tamko hilo isingesaidia chochote maana ni dhahili na wazi kabisa kwamba watajitetea kwasababu wamekuwa wakiendesha siasa KIMFUNIKO kwa nje wakiwa na taswira ya kondoo kumbe ndani ya nafsi zao ni mbwa mwitu wakali .
Cha msingi nikusubili uchunguzi rasmi wa jeshi la polisi utakaoambatana na ripoti kamili ya njama hizo za mauaji hatimaye kuwafikisha mahakamani wahusika wote wakuu wa njama hizo maana mkurugenzi wa ulinzi na usalama ndani ya chadema hivyo hawezi fanya jambo lolote bila kupata maagizo ama baraka toka kwa viongozi wake wakuu.
Tuwe na subiri na niwape pole wote wanaojifanya kuwa wasemaji wa chadema humu mtandaoni kwani haitowasaidia wao ama kukisaidia chama chao kutoangukia katika vyombo vya dola na msajili wa vyama vya kisiasa.
R.I.P Chacha Wangwe!
[/h]
 
Juliana Shonza
drP8vlvSl_8.gif
TANURU LA FIKRA

Hiki chama cha mauaji kimetupa kazi ingine ya ziada kwenye mikutano yetu ya hadhara .
Kabla hatujahutubia wanaccm wenzangu tuwe tunatenga dakika moja moja kwa kunyamaza kimya kuwakumbuka ndugu zetu waliokumbwa na kashda hii ya mauaji yakinjama ya watu walioapa kuingia ikulu kwa hali na mali ambapo mwanzo walitumia mbinu yakuwakosanisha wananchi na serikali yao kwakutumia maandamano hii ilikuwa na athali ya uvunjifu wa amani kwa nchi yetu.
Baada ya wananchi kuishtukia mbinu hii baada yakuona wakitelekezwa pindi wapatato matatizo yakukamatwa
Ndipo walipoamua kuja na mbinu ya mauaji.
Mungu hamfichi mnafiki hatimaye uovu wao umewekwa peupe kabla mambo kuharibika zaidi.
Natangaza wazi kwamba kwa kila mkutano wa hadhara nitaofanya nitatenga dakika kama ifuatavyo.
Dk moja kumkumbuka marehemu chacha wangwe
Dk moja kumkumbumbuka Mwangosi
Dk moja kumkumbuka kijana aliyekuwa muuza magazeti Morogoro.
Eeeeh Mola tuepusha na wasakatonge hawa wanaohatarisha usalama wa Taifa letu.
Watanzania hapa ndio tumedhihirisha kwamba nchi iko mikononi mwa mapanya na lazima 2015 yang,oke hakuna namna tukabaki na wabaka demokrasia kwa kutumia vikaragosi vya video nchi mutaitambua hii kabla hamjasahaulika
 
wakuu tusipindishe mambo tuipitie vizuri na kwa utulivu hii video ili tuilinde nchi yetu tuache mahaba na vyama vya siasa.

youtube then andika neno bukoba boy au nenda thred ya chadema hapa lwakatare alikuwa anamaanisha nini??? utapata haya..
kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......
Angalieni musije mukasababisha mkuu wa kaya akaja akachomekwa majito makalioni kama Gadaffi alivyofanywa mumeweza kutengeneza video ya Lwakatare lakini maalbino munawanyofoa viungo na kuwapelekea viongozi wakatafune
 
Wana mapinduzi wanaamini kuwa ukiona mambo kama haya tambua kuwa ukombozi upo karibu. Uhuru na Ruto walifanya kama haya na sasa wameingia ikulu, aibu kwa ICC na mafia wao. Nadhani ni muda wa kushangilia ushindi na mapinduzi ya kweli, watanzania wenye akili, na hasa hawa wanaotumia mitandao ya kijamii na forum makini kama JF watatumia akili zao kuchambua hili. Maana mengi yamesemwa kuhusu CHADEMA yameshindwa....walianza na ukanda ukashindwa, wakaja na dini wakashindwa, wakaja na kadi ya dokta Slaa wakashindwa, sasa wemeibuka na mauaji...hakika MUNGU ni yule yule jana, leo na hata milele, ataendelea kutupigania wana CHADEMA.

Tualianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU
Ikiwa MUNGU, yupo upande wetu, nani atanyanyuka kinyume chetu?
Mungu akubaliki wewe umemaliza kila kitu,hawa nikuwaombea tu sidhani kama wanafanya haya kwa utashi wao wenyewe bali wanasukumwa na mapepo.
 
Hivi inakuwaje watu wanatetea maovu? Nitamuelewa atakayesema kuwa " Lwakatale alikodiwa na maadui wa CDM ili kukichafua" lakini anayetia hila ya kuitoa uthabit hii video ni mshabiki tu, mi namjua Lwakatale, sura niliyoiona ni yake sina shaka kabisa na maneno niliyoyasikia yalikuwa yanatoka kinywani mwake wala si edited...Cha msingi tujue fika kuwa nchi inaelekea pabaya, na sababu ya kuelekea huko ni mfumo wa siasa za upinzani...Kwa nini tusirudi kwenye umoja wetu?:A S-rap::A S-rap::A S-rap:
 
ukweli unauma mnchuja mno taarifa cdm hio haitawasaidia...!!!!naweka maoni yangu mnayatoa!!!
 
hivi,bila kujadili upungufu wa video, mic, na mapungufu mengine yooooote, mniambie, yule anayeonekana ni WILFRED LWAKATARE??
 
CDF Mwamunyange,PCCB Hosea,Magereza..?Spika Makinda,DPP Feleshi CID..Manumba....niendleee au inatosha acha Udini ni sumu ya Taifa...
Jeshi limejivua nguo lakini hatushanga top six kwenye usalama wa nchi ni Othmani jaji,Othman usalama wa taifa ,Saidi mwema IGP,selemani Kova kanda maalumu what do you expect ndio hizo faracas tutaona mwisho wa mkanda mzima
 
Nimejaribu kuifungua clip hii lakini sijafanikiwa. Nimejaribu kujikumbusha mambo kadhaa hapo nyuma hasa ya mauaji na nimeconclude moja tu! Mkakati wa CCM unaendelea na haujafanikiwa. Ikumbukwe Mwangosi alipouawa ilisemekana wafuasi wa CHADEMA walimlipua kwa bomu! Baada ya picha na video kuwa wazi wafuasi wa CHADEMA walikuwa ni Polisi wakisaidiana na RPC wa Iringa Kamuanda! Hii propoganda iliisha na masikini ya Mungu Mwangosi hatuko naye tena! Mkakati huu inaonekana ni mahususi na CCM wanautumia sana hasa kuwahadaa watanzania wakidhani watapata pa kutokea.Hii single nyingine kama sehemu ya mkakati imetoka na tumeiona na kwa upofu wao CCM wanadhani wamewin game! Ndugu zangu na wapendwa zangu ndani ya CCM wakati huu si wa propoganda za miaka ile, propoganda zenu zijikite kutatua matatizo ya watanzania ambayo mnayajua fika si kupoteza muda mwingi na rasilimali nyingi kufake clip kama hizi, ushauri wa bure huu nawapeni. Kama hili likiwashinda hata kama CHADEMA ikifa leo jiandaeni kuwarudishia watanzania nchi yao katika umoja na amani yao japo rasirimali nyingi mmezipoteza na si kuwahadaha kwa mambo ambayo hata taira hawezi kuyafikiria! Tafakarini na jiangalieni upya kwa nini wapinzani wamewafikisha hapa mlipo? Je dawa ni kufake na kutorture wadahi haki ktk nchi yao? Kama haya ndo majibu just keep it up but shame will continue to be upon you no matter how hard you try to twist the reality!
 
Kwa vile Lwakatare mwenyewe ni mtu anayeexist na sio fictional character, ni vema aje yeye mwenyewe atuelezee ni lini video hiyo ilipigwa, wapi, na nani na walikuwa wanajadili nini. Hili hakuna sababu ya mtu yeyote kumuwakilisha Lwakatare na the longer anakaa kimya the more inaonekana ana makosa.

Suala tayari lipo mikononi mwa polisi. Hatakiwi aliongelee. Chezea wasanii weye! Na CHADEMA wenyewe haitokuwa busara kumtimua as he is still presumed innocent. Hapo ni sisi wananchi kuandamana Lwakatare atimuliwe.
 
Kuna kitu kinaitwa Forensic Science. Hiyo video haitaweza kushinda mtihani wa litmus. It can not pass a litmus test
 
Back
Top Bottom