Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Suala ka Lwakatare: TECHNOLOJIA INAYOTUMIKA KULISHA WATU MANENO HII HAPA-WATCH THIS CLIP (Hii thread imetolewa sijui kwa nini???)

Kufuatia suala la Lwakatare kushika kasi humu jamvini, zimetokea hisia na mawazo tofauti sana baina ya wachangiaji mbalimbali juu ya mada hii ya kurecordiwa Lwakatare kupanga kumdhuru mwandishi. Wengi tulihoji sana uwezekano wa hii ishu kama ni halisi/si halisi. Kutokana na kuwa gizani kitechnologia, wengi hadi ninavyoongea hivi bado huwezi kuwabadilisha mawazo kuwa technolojia inaweza ikahusika katika kufake ile clip. Na kutokana na suala hili kugubikwa na propaganda za kisiasa, watu wamesahau hata technologia rahiti tu ya kuifanya midomo ya Cartoon icheze kulingana na maneno yanayotamkwa na cartoon/robot.

Kuweka kumbukumbu vizuri tarehe za mwanzon kabisa za mwaka huu mpya Mwigulu Nchemba alitueleza kuwa alikuwa na mkanda unaoonyesha viongoz (wengi) wa chadema kupanga mauaji. Mkanda umetoka tumeona kiongozi mmoja tu ndo anayepanga mauaji, kupungua kwa washiriki kutoka kwa viongoz hadi kiongozi, inahusishwa na ugumu uliopo wa kuinvolve watu wengi kwenye kufake/kulisha maneno watu wengi kwenye clip moja.

Aidha, baada ya tukio la utekwaji wa kibanda, wameibuka Nape na Ridhiwani hadharani na kuongea wakiwa na confinence ya 100% kuwa ''hawa wenzetu wa upinzani''/na ''safari hii pia mseme kuwa Ikulu/Rama/Magogoni ndio wanaohusika, kazi iliyopaswa kufanywa na vyombo vya dola. Siku chache baadaye Single ya Lwakatale ikatambulishwa rasmi kupitia Youtube na immediately ikatua jamvini na hata Polisi kuipata habari hii via Jamvini/Youtube na sio kwa Mwigulu. Sasa ukiconnect dots.......unaruhusiwa kabisa kufikiri kuwa tayari wenzetu wa upande wa pili walisha preview hii clip waliyoshiriki kuiandaa na ndo mana walikuwa na uhakika kuwa kwa level yetu ta technology, ni rahisi sana kushawishika kwa hii clip kuwa ni halisi.

Tulishasikia pia Wassira akitamka kuwa CDM lazima ife 2013, wengi hatukuelewa na hadi sasa hatujaelewa alikuwa anamaana gani kutamka maneno kama yale mtu wa makamo yulo. Sasa kauli za hivi za kumtamkia kifo mwenzio zinasignal kuwepo kwa mkakati wa maksudi wa kumuua mwenzio??Aidha, CCM katika vikao vyao vya CC/NEC, ccm walijadili kwa kina namna ya kudeal/kuisambaratisha CDM badala ya namna ya kutumikia umma wa watanzania waliowaweka madarakani. Hapa pia panazaa jambo.

Baada ya utanguliz huu naomba niimwage kwenu faked clip ya Barack Obama ili at least tujue tu kuwa suala la kulishwa maneno linawezekana. BOFYA A Bad Lip Reading of Barack Obama's Inauguration (Legendado PT-BR) - YouTube. Aidha, clip hii isikuzuie kuendelea kuamini unachokiamini, mimi nimeonelea tu niwafahamishe wale wote wenzangu ambao asubuh ya leo tulihisi sio kitu kinachowezekana hapa duniani.

Kama umeshindwa kutofautisha bad lip reading ya Obama(FAKE) na video ya Lwakatare (kitu halisi), basi hata wakikusingizia kuwa umezaa sokwe utakuwa tayari kwenda kupima DNA.
 
Kwa muda mrefu sasa wadau mbalimbali wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu uhalisia wa video ya Rwakatare na mimi kwa mara ya kwanza nimeona nitoe nilicho baini katika ile video.
  1. Ile video ni ya ukweli kabisa,kwa maana ya kwamba maneno na sauti vyote ni vya Rwakatare
  2. Rwakatare alijua kuwa narekodiwa na uhakika pale mwanzoni kabisa utamsikia mwongozaji anasema Mic haijakaa vizuri na Rwakatare anaitikia mh,then jamaa anasema hapo sawa
  3. Kuna uwezekano mkubwa Rudo alimrubuni Rwakatare so hakujua nini mantiki ya Rudo
  4. ukiangalia ile video utagundua kuwa Rwakatare hakuwa ana maanisha alichokuwa anakisema kwa maana ya body language,kwa mtu yeyote mwenye dhamira ya kutenda uovu utamuona kuanzia usoni,na ndipo utabaini uhusiano wa anacho kiongea na uhalisia wa utekerezaji wake
  5. kwa kuangalia body language Rwakatare hakuwa na lengo la kudhuru ila ni kama igizo fulani tu(kuna kitu hapa kimejificha)
  6. mazingira waliyo kuwepo si ya kuzungumza jambo zito kama lile,kwa mtazamo wangu kwa yale mazingira tu ni ushahidi tosha kabisa kwamba wale jamaa walikuwa wanaigiza tu,huweza panga mikakati mizito kama ile ya ku ua mbele za watu wanao ingia na kutoka,ile eshemu ni kama walikuwa kwenye ki mgahawa fulani mara utamuona mhudumu wa kike mara mhudumu wa kiukme
Huo ni mtazamo wangu wana Jf nimeufanya baada ya kuangalia ile video kwa muda mrefu,naomba kuwasirisha kwa kukaribisha maoni toka kwenu wana JF
 
Mods ichanganye hii mada na mada husika ili ituwie rahisi kuzisoma kwa pamoja maana alichoandika hakitofautiani na coments zilizotolewa na watu kibao kule kwenye mada ya kwanza
 
wenzako washauita huu ni UGAIDI, haya ngoja sasa wakushambulie.
 
Kama alikuwa anajua anarekodiwa atakuwa alikuwa anampango na mwigulu.
 
CHADEMA mbona mnahangaika sana na Video ya Lwakatare! Tumeiona tumeielewa!

Unamaanisha nini kukitaja Chama wakati wanajamii hakuna aliyejipambanua!!? Watu aina yenu mutaitesa sana Tanzania! Eleza ulichoelewa na sio kugeukia Chama ambacho hakikutajwa kabisa katika maelezo ya Mtoa hoja!!! Inakera!!:shut-mouth: Bora Unyamaze kimya!
 
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums
Japo mimi sio official authority, ila nimetazama ile video clip, nimejiridhisha its "bonafide genuine!", haijapitia doctoring yoyote!, japo ni kweli technolojia hizo zipo, kama lengo ni kuichafua Chadema, then of all the people, not Rwakatare!.

Negation doesn't help much!, nawapongeza sana Chadema kwa this time to to act promptly on "damage control", the best way was now to do the "right thing" and to "do it right", ilikuwa ni kum "disown" Rwakatere!, hayo mengine yote ni siasa tuu!.

Pasco.
Chadema ni chama cha ajabu sana!, kuna watu unaweza kuwatimua lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.

Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.

Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.

Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.

Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.

P.
 
Hoja ya kipuuzi sana hii! Kwa hiyo CHADEMA wamwabudu kwa sababu anajua madudu yao? Hii ni blackmailing kitu ambacho hakikubaliki. Kuna watu wana michango mikubwa kwa ustawi wa nchi zao lakini walipokiuka sheria waliadhibiwa.
 
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums

Chadema ni chama cha ajabu sana!, kuna watu unaweza kuwatimua lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.

Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.

Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.

Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.

Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.

P.
Mkuu kuna wakati akili zako unaziachaga bar, kwani cdm ni kikundi cha kigaidi waogope rwakatare akifungua mdomo,

chama ni itikadi na Sera akifungua mdomo atatema Sera mbadala
 
Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare - JamiiForums

Chadema ni chama cha ajabu sana!, kuna watu unaweza kuwatimua lakini sio Lwakatare, na sababu ni moja tuu, ameipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu!.

Chadema inapaswa kumyenyekea Lawakatare na kwasababu aliishatangaza kustaafu, Chadema walipaswa kumuacha tuu astaafu kwa amani, haswa kwa kuzingatia wamemfukuza wakati ambao Bunge hili limebakiza wiki3 tuu limalizike rasmi.

Umuhimu wa Lwakatare kuachwa tuu hata afanye nini au aseme nini, ni kumzuia asije kufungua mdomo wake!.

Ikitokea Lwakatare akaamua kufungua mdomo wake na kuyataja madudu ya ajabu Chadema inayoyafanya nyuma ya pazia, ikiwemo ile video mimi niliyoita hapo kuwa "bonafide genuine", Chadema Watakuwa mgeni wa nani?.

Mtu kama Lwakatare anafukuzwaje?.

P.
Kosa la kiufundi
 
Katika hoja za kipumbavu na ya ajabu ni hii yaani Chama kama Chadema wampigie magoti Rwakatare who is R
 
Back
Top Bottom