Haya anagalieni video ya Ustadh Ilunga: Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube
NasDaz toka asubuhi tupo pamoja, hakuna kitu inakera kama propaganda za kipumbavu. Toka asubuhi leo naweza sema nimesimamisha shughuli, kimsingi siku imejazwa na huu ushenz uliotokea, nkasema ngoja nifanye study tour kwenye technologia za wenzetu kubaini ukweli. Hiyo bana!!
Mimi sina wasiwasi, hofu yangu kubwa ni kwenye retardation ya M4C, moto ulishawaka, sasa hv itabd tuuzime had tumalizane na hili sekeseke afu tuwashe tena sometimes later, kwa mwendo huo tutawatimua kweli maccm?? Wapo watoto wa maskin hapa wanachezeshwa ngoma wasioijua na waneemeka na kodi zetu wanatoa povu kweli wakat kimsing wanazid kuusimika utawala wa kifisadi madarakani, we are tired bana. Hapa tumetupiwa fupa tuhangaike nalo wakati wenzetu wanakula maini tu sasa hivi Kempysk.
Pia anajipangusa kamasi eti kwenye T-shirt.Kama nilivyochangia katika thread inayohusu video ya Lwakatare
1.Anayerekodi anamuongoza mzungumzaji kwa kumwambia maneno "niweke? mmh hapoo? haya" . pia anamuelekeza arudie maneno.
2.Imerekodiwa bar, watu wanapitapita wanasalimia na kutaja majina yao. Kwa watu makini hawawezipanga mpango hatari kwenye eneo la wazi hivyo.
3.Sura ya muongeaji si halisi na tone yake si halisi.
4.Anayerekodi anachomeka jina la Zitto kuhalalisha mpango.
JIPANGENI UPYA KUHARIRI VIZURI NA ALIYEHARIRI AMECHEMKA
sio shaka mkuu mimi naona bora iwe kweli kuliko iwe ya kupika,kwasababu kama ni ya kupika nakuhakikisha hii nchi sio salama tena na machafuko hayapo mbali.tumefikia mahali tunauana makusudi halafu tunatengeneza upuuzi,ikiwa ni uongo hii kitu kaa usubiri uone litakalojiri.tukikaa kimya tutatahayari kwa litakolotokea ugomvi mkubwa huanzishwa na ngumi ya kwanza.Mkuu wangu Patriote,
Waingereza wana msemo wao kwamba "A BLACK CAT MAY BE A BAD LUCKY ONLY IF YOU ARE MOUSE!" Chambilecho wewe sio panya, yanini kuingiwa taharuki pindi umwonapo paka?! Naona wapwa mmekazana sana kulikanusha hili jambo....pamoja na post kadhaa za kukanusha, bado hivi sasa kuna new threads za kukanusha...!! Hofu ya nini? I believe Lwakatare is smart enough ku-prove beyond reasonable doubt kwamba ile video is just a fabricated material; sasa nyie hofu yenu nini mkuu wangu Patriote? Mnatutia mashaka sie wengine; a black cat may be a bad luck only if you're mouse! Wewe majani, hofu yako nini kuingizwa kwenye banda la mbwa wakati unafahamu mbwa hali majani?! Unakumbuka pale Uhuru Kenyatta alipojipeleka mwenyewe ICC? Kenyatta alifahamu he's not a mouse so he'd no reason to get scared of a balck cat ICC!! Wewe kama ni majani, pigana kufa na kupona, ikibidi kanusha kwa nguvu zote kwamba wewe si majani ikiwa umegundua unataka kupelekwa zizi la mbuzi, lakini kwenye banda la mbwa; aaaargh, hofu ya nini!!!
hatari sana,i am glad kwakatare is not a Muslim
tungeskia mengi sana katika hilo,
wala hatuskii akinyooshewa kidole kutokana na iman yake hapo..!
Kama kina shekhe ilunga,ila tutafika tuh
jifunze kuwa makini umesema wameitaja hadharani Chadema thibitisha usianze style za kukwepakwepa, mwenzio kubenea walau alikuwa akitumia ' wachambuzi wa kisiasa au vyanzo vya kuaminika vinasema Nape/Ridhwan walikuwa WAKIMAANISHA........' badala ya style uliyotumia kuwalisha watu maneno ambayo sote nawe unajua hawakutamka kama unavyojifanya mtaalam wa kupima confidence zao kwa asilimia eti wakiwa na confidence 100%!
Ukiwa mnafiki uwe na kumbukumbu, na wewe umetumia teknolojia gani kumlisha maneno Riz wan na Nape kuwa wamesema Chadema wanahusika, Wengi wetu tulipitia Wall paper ya Ridh na Nape hakuna neno Chadema walipotaja, Alama za Mtu mnafiki ni 3 na moja wapo ni Uongo.Lwakatare kesha nasa kwenye mtego hateguliwi kwa manati mtazid kumuumiza! Yeye ndo atathibitisha sio kukimbilia kwenye Google Engine kutafuta namna ya kumtoa!

Imani kali ya kilokole...
Subirini haya mtayasema mahakamani.
CC.. Ng'wamapalala, chama, Mingoi, Kimbunga,
Hakuna hata jambo moja la kuliamini kutokana na Video ilisambaa kwenye mitandao kumuhusu Lwakatare.
Binafsi si mfuasi wa chama chochote cha siasa, lakini ni mfuatiliaji mzuri wa nyendo zote za kisiasa.
Hii huwa inaniapa wakati mzuri wa kuchunguza na kuchambua hali na mienendo ya kisiasa nchini.
Watanzania tuna hulka ya kudanganyika kirahisi mno, na katika hili si kosa letu bali kuna sababu ambayo sitapenda kuiweka wazi kwa sasa. Lakini sababu hiyo chanzo chake ni watawala wa mwanzo wa Serikali yetu.
Sasa udhaifu huu tulionao ni "advantage" kubwa kwa wanasiasa, ni rahisi kuaminishwa na kupotoshwa pasipo kutumia nguvu nyingi.
Hebu tujiulize, hivi nchi iliyo makini inahitaji kutegemea "Social Networking" kuvumbua visa vyenye kuhatarisha Usalama wa nchi na watu wake?
Intelijensia ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi ilikuwa wapi hata wakashindwa kuliona tukio hilo likitendeka "in a first place"?
Kama sio kwamba Usalama wa nchi yetu umetoboka mahali, basi kwa namna fulani nao wanahusika na tukio hili zima...
Ukiwa mnafiki uwe na kumbukumbu, na wewe umetumia teknolojia gani kumlisha maneno Riz wan na Nape kuwa wamesema Chadema wanahusika, Wengi wetu tulipitia Wall paper ya Ridh na Nape hakuna neno Chadema walipotaja, Alama za Mtu mnafiki ni 3 na moja wapo ni Uongo.Lwakatare kesha nasa kwenye mtego hateguliwi kwa manati mtazid kumuumiza! Yeye ndo atathibitisha sio kukimbilia kwenye Google Engine kutafuta namna ya kumtoa!
Nenda kasome nukuu ya maneno ya dr. slaa gazeti la tz daima amenena km unavyonena......yaani km hio video ni ya kupika basi ccm wamekwisaha kabisa, na najua cdm lazima watafanya juu chini kucheza hii karata vizuri ili hata baadae ccm wakija na upuuzi mwingine watanzania wawadharau.........wapi ule mtambo wa kutuma sm za vitisho?sio shaka mkuu mimi naona bora iwe kweli kuliko iwe ya kupika,kwasababu kama ni ya kupika nakuhakikisha hii nchi sio salama tena na machafuko hayapo mbali.tumefikia mahali tunauana makusudi halafu tunatengeneza upuuzi,ikiwa ni uongo hii kitu kaa usubiri uone litakalojiri.tukikaa kimya tutatahayari kwa litakolotokea ugomvi mkubwa huanzishwa na ngumi ya kwanza.