Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Bado maswali ni mengi,
hivi aliyerekodi ni yupi? Ni yule aliyekuwa akiongea nae au kuna mtu alikaa pembeni?
Kama Lwakatare anahusika katika mauaji yawezekanaje kwamba hajui hata bei ya dawa za kuwafanya maadui zake wasinzie?

Kama anahusika kwa kibanda, ina maana hao watu wake hawakumtii?

na mwisho Mwigulu alitamka ana mkanda wa mauaji wa Chadema yawezekana vipi kwamba wao waendelee na mipango yao kama kwamba hawajui mipango yao iko mikononh mwa adui zao?
ukweli bado nina maswali, nahisi majasusi wameingia na nguvu kubwa kama ile ya visu vya cuf mwaka 2010, ole wao wakishindwa! Wamekwisha!!
 
Hivi unataka tujadili elimu za watu hapa au hii video fake?

Machadema bana! Usiwe na akili za samaki. Mwenzako anayeitwa master peace ananiambia nimekimbia umande.

Ndio nilikuwa namjibu mimi na viongozi wake wa kitaifa wa chama chake ni nani aliyekimbia umande?

Kawaida yangu ninajibu ninachoulizwa, simungúnyi maneno.
 
eeeeeh tumeliwa!CCM imeishiwa mbinu hizo ni akiba eti!Wamrudishe graduate wa Partice Lumumba Universite MOSCOW KINGUNGE NGOMBALE MWIRU awafunde,japo ashazeeka yupo kama mfumo wa kianalojia!
 
Mimi ziko timamu kaka ila nina wasi wasi wasi na hawa viongozi wako wanaokupeleka bara barani kila siku na kukuvalisha magwanda kwenye nchi ya joto:

Mwenyekiti - Form iv, Katibu - Form vi, makamo - std vii. Hawa vipi hawajakimbia umande?

Acha kukurupuka kutaja elimu za watu wengine, weka hapa elimu yako, siajabu upo kwenye group la 60% la Shukuru kawa-mbwa.

Bwana mdogo acha kutokwa na povu, post zako zote zinathibitisha uwezo wako wa kufikiri na kiwango chako cha elimu.
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataiomva radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.

Molemo,
Kwa vile Lwakatare ni kiongozi mwenzako wa Chadema, mwambie tu aje hapa JF kujibu maswali kuhusu hii video. Nadhani hilo litasaidia zaidi kuliko viapo vya hasira...
 
Mimi ziko timamu kaka ila nina wasi wasi wasi na hawa viongozi wako wanaokupeleka bara Hbarani kila siku na kukuvalisha magwanda kwenye nchi ya joto:

Mwenyekiti - Form iv, Katibu - Form vi, makamo - std vii. Hawa vipi hawajakimbia umande?

Akili za kishoga shoga hizi
 
Acha kukurupuka kutaja elimu za watu wengine, weka hapa elimu yako, siajabu upo kwenye group la 60% la Shukuru kawa-mbwa.

Bwana mdogo acha kutokwa na povu, post zako zote zinathibitisha uwezo wako wa kufikiri na kiwango chako cha elimu.

Mkuu achana nae shoga huyo
 
Acha kukurupuka kutaja elimu za watu wengine, weka hapa elimu yako, siajabu upo kwenye group la 60% la Shukuru kawa-mbwa.

Bwana mdogo acha kutokwa na povu, post zako zote zinathibitisha uwezo wako wa kufikiri na kiwango chako cha elimu.

SI unit ya kufikiri ni ipi ili tuweze kupima na upeo wako pia?

Kama posts zangu zinadhihirisha niko kwenye kundi hilo sawa na iwe hivyo.

Point ni kwamba hata kama ni mwana CDM iache akili yako iwe huru kuchangia kutokana na ukweli ulivyo badala ya kulazimisha wengine wa copy mawazo yako.
 
Nakushukuru mchambuzi umetoa mwanga mzuri sana, mimi naongezea kwamba anayerekodiwa ame face kamera bila woga hiyo si style ya undercover planning, ni kweli wako sehemu ya wazi ambako kuna wapitaji na kusalimiana.
Propaganda za namna hii zingekubaliwa na watz wa zamani sio wa sasa halafu wanasahau kuwa wanaoingia mitandao ya kijamii ni wenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo!
 
Wakati hiyo clip inaanza upande wa kulia kinaoneka ki sim cha mchina kinarekodi sauti au move then kinapotea kwenye scene! Alafu zinapotajwa habari za igunga na majina ya zito na kubenea panakua hakuna relationship kati ya sauti tunayoisikia na matamshi ya mdomo wa mzungumzaji, (clip inaonyesha mzungumzaji amenyamaza wakati sauti inataja majina)
 
Mkuu achana nae shoga huyo

CHADEMA bana, there you go again kudhihirisha upeo duni wa kufikiri. Yaani wewe kwenye avata yako unaonesha makalio yako mbele ya wanaume halafu unaita wengine mashoga?

Hizi ni akili au matope? Una maana gani kuonesha makalio yako mbele ya wanaume kama sio kututafutia dhambi bure wanaume rijali?
 
This is purely a science fiction, kwa tulijifunza artficial inteligence hatudangayiki hata kidogo na upuuzi huu, ukiangalia movie zinavyotengenezwa majumba ya gorofa yanabomoka, magari yanaungua lakini starling bado yu hai na anadunda nao hawa wanataka kutudanganya kwa style hizo
 
Hivi ni mtu gani mwenye akili timamu anaenda kujirekodi bar mipango ya mauaji????
 
CHADEMA bana kwa kujifariji! Kuna kauli ilitolewa kwamba Kibanda aalisikia sauti ya watu wakisema 'afande mshuti'.

Wote nyie mliamini kuwa bila shaka waliousika watakuwa askari. No one alitilia shaka hiyo kauli kuwa huenda ikawa geresha tu. Lakini leo mnadai kuna maneno yamechomekwa!

Hawa watu bana, hawaeleweki kabisa.

Tusubiri Lwakatare afanye press conference tuone anavyojitetea ila matendo ya CHADEMA kwa taifa yanaonekana si nzuri.

Angalia misemo yao:

'nchi itasimama kwa mgomo na maandamano' --- Mwenyekiti --- Mbowe

'nchi haitatawalika' -- Katibu Mkuu --- DR Slaa

Haya yote mnafanya CHADEMA kwa faida ya nani kama kweli nia yenu ni ukombozi?

Mkuu,
Washabiki wengi wa Chadema ni watu waliolaghaika.
Ndio maana hawana tena uwezo wa kuangalia mambo na kuyachambua.

Wanaowalaghai hawa mashabiki wako kimya wanasoma tu jinsi walaghaika wanavyotetea mambo wasiyoyajua.

There are currently 479 users browsing this thread. (93 members and 386 guests)
 
cdm mmeanza kuhangaika bt kama umeangalia video utajua ina ukwel, lwakatare ana la kujibu, tuache ushabiki, inaonekana ye mwenyew hakujua kama anarekodiwa, ingetoka kabla ya tukio au baada si swala la kujadili
Mh lwakatare mahakama ndo itaamua una hatia au hauna, bt video nimeiona nakujua ni wewe
 
Mimi nilipoitazama mara moja tu,nikagundua it was a political trick of the other side.There is no complication upon this,it is a well planned propaganda of the ruling party and it is bad enough,they proclaim that there will be another Kibanda's attacked style!
 
Kwa mtindo huu kwa mwananchi wakawaida kabisa asiyependa kuumiza kichwa katika kung'amua mambo itamuwia vigumu sana kuilewa hiyo video ila kwa ufafanuzi huu iatakua vizuri na wao wangeupata.......!
 
Back
Top Bottom