Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
...labda "maana yao" sababu ya kifo ndio hayo "mapenzi ya mungu"! maana mtu hawezi kufa kama siku zake hazijatimia. Kuna walotwangwa risasi ya kichwa lakini wakanusurika kifo, na hata wagonjwa wa kisukari na malaria kuna alookufa kwa ajali ya gari akikimbizwa hospitali! Yote ni mapenzi ya Mungu!!!