Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
B

Brutus

Guest
Guys mtatusamehe!
Maana naona tunakwenda mbali.. nje kabisa ya mjadala halisi!
No offense!
 

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,185
2,000
Nilishauri hii thread ifungwe kwa vile nadhani muda wake umekwisha. Ilpofunguliwa ilikuwa inahusu watu wawili waliokuwa hai wakati huo na wakarushiwa madongo sana. Kwa vile mmoja wao sasa hivi hatunaye, hakuna haja ya kuendelea na thread hii. Kama kuna vipande ambavyo watu wanapenda kuendelea navyo ni afadhali ifunguliwe thread mpya kabisa katika mazingira ya sasa ambayo tunajua fika kuwa Amina ni marehemu.
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,586
0
invinsibo hukutakiwa kuingilia huu mjadala ilihali wewe ndio ( cheo chako humu JF ) ! dont choose sides, wee fuata tu flow ya watu. mie nadhani kila mtu na michango yao naipa kipaumbele.
Lol Kuna sehemu niliwahi kusoma wanasema You can never be fair unless you choose a side..
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
32,944
2,000
Kada naona umewachanganya watu wawili.. humu kuna "Invincible" na kuna "Invisible". Uliyemlenga hapo ni "Invisible"... just to clear some things...
 

Jembajemba

JF-Expert Member
Feb 3, 2007
257
170
Barabaraya18,

Kumbe wewe kigeugeu kweli aisee; hivi kweli unapoandika huwa unajua unachoandika? Tulianzia kwenye talaka tatu ukasema upewe reference, tukakupa ukakimbia. Sasa unakataa kukubali uliyoandika mwenyewe eti hadi tukupe reference. Siyo wewe ulieandika hivi?


halafu leo unadai hivi:Huoni kabisa kuwa unatudanganya hapa. Kama una maana yako nyingine moyoni iwe njema au mbaya sina haja ya kuijua lakini usitufanye kama watoto wadogo hapa.

Nimeongezea sehemu hii makusudi: Swala la kujua dhehebu la mtu siyo muhimu kabisa katika jamii yetu. Tunaweza kujua kuwa ni mwislamu au mkiristo lakini hatuna haja ya kujua dhehebu ndani ya uislamu au ukristo wa mtu. Ni kama ambavyo huwa hatuhitaji kujua makabila ya watu.

Huyu barabara nadhani anapoandika huwa hafikiri hata kidogo yaani linalokuja kichwani tu ndio hilo hilo, na vile vile majibu yake hayaridhishi hata kidogo, majibu yake ni ya kijiweni na kubahatisha tu. kwa mfano kuna thread alianzisha inayohusu uwanja mpya unaojengwa hapo TZ, akaambiwa hapa sio pahali pake basi jibu lake mmmmmh

Sawa BB-18, lakini hii inahusu michezo, kuna mahala pake!
hili ndio jibu lake:

Hebu Kitoe Kule
nakuomba uwe serious ndugu yangu Barabara
 

Mtanzania

JF-Expert Member
May 4, 2006
4,818
1,225
Waungwana,

Hapa mnajadili nini? Wengine tunaendelea kuomboleza na tutarudi kuchangia baadaye.
 

mambo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
2,378
2,000
Wanajambo imekuwa siku nyingi sana lakini niseme tu kwamba ninapomuona mama kilango akiongea bungeni namkumbuka sana marehemu amina chifupa.Je amina angekuwepo na kuungana na mama kilango...ingekuwajeee????
Mungu ampumzishe amina mahali pema milele.
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,323
2,000
angekuwepo Ingetegemea Yupo Upande Gani, Angeweza Kuwa Upande Wa lowasa Au Mwakyembe!
Upo Hapooo!!!!
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,159
2,000
angekuwepo Ingetegemea Yupo Upande Gani, Angeweza Kuwa Upande Wa lowasa Au Mwakyembe!
Upo Hapooo!!!!
huyu tumsameheni jamani, yake hapa duniani yeshaisha. Tusifufue mengine maana tukianza kumzungumza wengine watakuja na mengi ambayo mwisho tutafika kutomtendea haki.

MOLA mpuzishe kwa amani kiumbe chako
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom