Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
...labda "maana yao" sababu ya kifo ndio hayo "mapenzi ya mungu"! maana mtu hawezi kufa kama siku zake hazijatimia. Kuna walotwangwa risasi ya kichwa lakini wakanusurika kifo, na hata wagonjwa wa kisukari na malaria kuna alookufa kwa ajali ya gari akikimbizwa hospitali! Yote ni mapenzi ya Mungu!!!
 
"Mapenzi ya Mungu" ni term ya consolation tu. Huwa kuna mafunzo yanayosema kuwa binadamu tunatakiwa tujitahidi kuboresha maisha yetu, halafu Mungu atabariki jitihada zetu. Kwa hiyo mtu akilala njaa kwa kutokuwa na chakula, ni rahisi kusema kuwa hayo yote ni "Mapenzi ya Mungu" bila kuangalia kuwa huyu mtu kalala njaa kwa vile hakutafuta chakula. Mtoto akipata utapiamlo kwa kukosa lishe na kufariki, tunasema eti hayo ni "Mapenzi ya Mungu" bila kuangalia kwa nini hakulishwa vizuri. Nilisuhudia wakati nikiwa mwanafunzi pale Tabora mpishi mmoja alipatwa na malaria kali sana wakati wa mfungo wa ramadhan. Mganga akampta dozi kamili ya vidonge vya malaria, lakini kwa vile yule mgonjwa alikuwa amefunga hakunywa dawa zile akisubiri wakati wa futru; akafariki kabla ya futru ya siku hiyo, tukasema ni "Mapenzi ya Mungu."
 
Masatu, you are trying to trivialize the significance of how Amina died and the implication of her death. Kujaribu kuweka tetesi za "popo bawa" na "mtu chatu" kwenye uwanja sawa na tetesi za kifo cha Mhe. Amina ni jambo la kusikitisha na kusononesha.

a. Mbunge anakuwa silenced kuzungumza
b.Uhuru wake kuingiliwa kati
c. Kucheleweshwa kupelekwa hospitali n.k

Hayo yanalingana na ya popo bawa?

hebu nikuulize swali: Ilitangazwa na vyombo vya habari kuwa "Amina na baba yake warudisha fomu" kule uliamini habari hizo? Je nikikuambia kuwa Amina hakuondoka Dar tangu siku ile ya Mei 7 utanikatalia? Kama ni kweli Amina alienda Iringa na Baba yake ina maana alikuwa ni mzima wa afya na kama hakuwa na tatizo lolote au hofu yoyote basi akaamua kujitosa kugombea NEC. Lakini kama habari ile haikuwa sahihi na "ilipandikizwa"...
 
Mimi katika hili nadhani ni muhimu kuheshimu uamuzi wa wanafamilia. Wao ndio wanajua haswa ni nini kilichokuwa kinamsumbua marehemu kwani ni wao ndio waliokuwa wanamwona na kumhudumia kila siku hadi siku yake ya mwisho. Of course kutakuwa na minong'ono...hadi leo minong'ono ya kifo cha MLK, JFK, Elvis, Princess Di, na wengineo bado ipo. Ina maana ikiundwa tume huru kuchunguza kifo chake na kuhitimisha kuwa kweli alikufa kwa malaria na kisukari mtakubali? Au mtaanza tena...ooh tume yenyewe iliingiliwa...haikuwa huru..nk. Je, wakiletwa hao Scotland Yard kufanya uchunguzi na kuona kuwa alikufa kwa magonjwa hayo mtayakubali matokeo?
Halafu sidhani kama kifo cha Amina kinalingana na cha kile anachohusishwa nacho Dito. Ka'Dito aliua mtu na umma ulishuhudia...hata yeye habishi hilo. Amina aliugua...na kilichomfanya aage dunia kimetajwa...lakini hamtaki kuamini...comparing apples and oranges...
 
dah, ..hiyo imetulia kweli mzee wangu. Ni kweli "mapenzi ya mungu" ni term ya consolation! "In life you can either agree on everything, or Doubt everything ...Both saves you from thinking!" ...ndiyo maana mambo yetu mengi tu Bongo yamekuwa kwa "Mapenzi ya Mungu!".
 
This is a binary conclusion; either you are with us or you are a terrorist.
 
Naam, tupo pamoja, ni maoni yangu tu kutokana na muonekano wa mambo yalivyo. Si unajua; a conclussion is simply the place where you get tired of thinking!? ndipo nilipoishia leo. ...Usiku mwema wakuu.
 
Naelewa kabisa ulichokuwa unaongea; usiku mwema
 
Marehemu alikuwa aki sponsor watoto 10 Yatima ktk elimu zao na maisha yao. Je, jukumu hilo kalichukua nani?... Mkapanjia au EN!

Mkandara.

ZITO KABWE umemuacha au kwa vile ni Chadema Mwenzenu, mnajaribu kumsafisha?

Adm.

Hujatenda haki kuchanganya hizi mada mbili tofauti. humu kuna matusi kwa Amina akiwa hai hilo halileti picha nzuri.
 
Hujatenda haki kuchanganya hizi mada mbili tofauti. humu kuna matusi kwa Amina akiwa hai hilo halileti picha nzuri.

Nakubaliana na mtalii, kuendelea kuchangia katika thread hii ni kusuta usaliti wetu ambao wengi wana hatia humu kwa kukimbilia kumhukumu Amina kwa kutumia prejudices zetu dhidi yake...

Lakini vilevile ni vizuri kujikumbusha na usaliti huo kwa wale waliopewa upeo wa kujifunza kutokana na makosa ya nyuma wajifunze wakiwa hapahapa duniani

Tanzanianjema
 
Mtalii,

Unajua hizi njama za Mafia yenu haziwezi kufanya kazi kwangu. Niko hatua moja mbele yenu na hiyo issue ya Zitto hainisumbui kabisa!.... Chadema imewakalia kooni sana mjomba...kiasi kwamba mnashindwa hata kufikiri.

Nitakwambia kitu kimoja uncle matusi yote mnayomrushia Zitto yanazidi kumsumbua marehemu kwa sababu tamko lenu lina mhukumu zaidi marehemu.

Nitakubali maneno yenu ikiwa mtakuwa wazi na kusema Marehemu alikuwa mzinifu na ndio kumemponza!...hapa sintatafuta jibu zaidi.
 
jamani, kwa nini tusi-negotiate hapa !
kama watu mnashindwa kuelewana, why try to wake up the dead ? oneni aibu jamani, fikirieni itakuwaje kama ingekuwa ndugu yenu, mama yenu ( marehemu alikuwa na mtoto ), dada yenu, mwanenu n.k. hivyo sio vizuri jamani. kama mnataka kumuongelea zitto, thats ok but dont associate marehemu anymore in any context na zitto !
 
Nakubaliana na mtalii, kuendelea kuchangia katika thread hii ni kusuta usaliti wetu ambao wengi wana hatia humu kwa kukimbilia kumhukumu Amina kwa kutumia prjudices zetu dhidi yake...

Tanzanianjema

Tanzania Njema.

Hata mtililiko wa mada umevurugwa heading inasema Kashfa Nzito kwa Chifupa na Zito. jee Zitto kafanya kitendo cha kashfa na maiti au marehemu? kichwa cha habari hakimvutii mtu mgeni JF kuisoma. pili itampa taabu msomaji mgeni kuelewa somo lilivyounganishwa.

Adm.

Naona umevurunda sana. kichwa cha habari hakiko sawa na kuna maneno mtu unaweza kuyasema akiwa hai na mara akifa huwezi kuyasema. mtoto wa Amina au kaka yake au mdogo wake apite JF katika kipindi hiki akute kichwa cha habari hapo juu " Kashfa nzito Amina na Zito" watajisikiaje? hatuwatendei haki ndugu wa Amina, marafiki na wapenzi.

Naomba irudishwe kama mwanzo au ifungwe, heading yake haiuwiani na maudhui ya michango ya huku mbeleni. sisi sote tutakufa si vizuri kuwabeza maiti.
 
KadaMpinzani,
Huwezi kuongelea Zitto bila kumhusisha marehemu hata kidogo ktk issue hii. Tunamzungumzia EN na Mpakanjia moja kwa moja kwa kuzingatia uhusiano uliokuwepo kati yao na marehemu.
Hapa kinachowauma hawa jamaa ni pale lawama na ushahidi wote unapoonyesha kuwa wamefanya njama za mauaji na hata kumzima baba wa marehemu.
Ebu fikirieni, baba wa marehemu hana hata nafasi ya kusoma magazeti wala mtandao lakini kila hutuba yake huwaasa watu wasifikirie kuna mkono wa mtu.....Nani alokwenda kumwambia kuwa kuna mkono wa mtu!..ama watu wanafikiri kuna mkono wa mtu. sasa ikiwa wewe mzazi hufahamu gonjwa lililomwondoa mwanao utaweza vipi kubeba uzito wa kukubali kuwa ni uwezo wa Mungu kama sio Mafia gang, washenzi hawa kuingia hata ktk misiba ya watu kuongoza kitakacho zungumzwa.

Hata kuhudhulia kwa huyo Nchimbi ilibidi kikao kifanyike kuwaomba wazazi wa marehemu.
watu tumekwisha zipata habari!.... na asivyokuwa na aibu baada ya kuombewa ruksa kenda kumbatia kabisa na kujitia ati ana FEELINGS sana!
Kisha anatuma mapambe hapa kutaka kupotosha watu.... mjinga kweli huyu jamaa.
 
Tanzania Njema.

Hata mtililiko wa mada umevurugwa heading inasema Kashfa Nzito kwa Chifupa na Zito. jee Zitto kafanya kitendo cha kashfa na maiti au marehemu? kichwa cha habari hakimvutii mtu mgeni JF kuisoma. pili itampa taabu msomaji mgeni kuelewa somo lilivyounganishwa.

Adm.

Naona umevurunda sana. kichwa cha habari hakiko sawa na kuna maneno mtu unaweza kuyasema akiwa hai na mara akifa huwezi kuyasema. mtoto wa Amina au kaka yake au mdogo wake apite JF katika kipindi hiki akute kichwa cha habari hapo juu " Kashfa nzito Amina na Zito" watajisikiaje? hatuwatendei haki ndugu wa Amina, marafiki na wapenzi.

Naomba irudishwe kama mwanzo au ifungwe, heading yake haiuwiani na maudhui ya michango ya huku mbeleni. sisi sote tutakufa si vizuri kuwabeza maiti.

Nakubaliana nawe kabisa kuwa thread hii sasa ifungwe. Thread hii ilianza wakati Amina akiwa hai; baadhi ya yaliyoandikwa wakati huo hayastahili kusomeka tena wakati huu baada ya kifo chake. Kama kuna mtu anayetaka kuendelea na mjadala kuhusu vipengele fulani vilivyoko kwenye thread hii, basi ifunguliwe thread nyingine mpya kabisa katika mazingira ya sasa ambapo tunajua kuwa Amina keshafariki.
 
Guys!
We njoo umnyofoe roho mtoto wangu uone kama hiyo propaganda ya mapenzi ya Mungu itafanya kazi!
Yaani lazima nikunyonyoe!

Huyu mdingi naona ana-play dirty game na roho ya mwanae... "pensheni ya uzeeni'!
Sounds like mwanae alikuwa mtaji wake kisiasa!
Atashinda uchaguzi NEC, atabaki Headquarter ya CCM kama kigogo.. mafao na marupurupu ya kumwaga!
 
Mtalii,

Unajua hizi njama za Mafia yenu haziwezi kufanya kazi kwangu. Niko hatua moja mbele yenu na hiyo issue ya Zitto hainisumbui kabisa!.... Chadema imewakalia kooni sana mjomba...kiasi kwamba mnashindwa hata kufikiri.

Nitakwambia kitu kimoja uncle matusi yote mnayomrushia Zitto yanazidi kumsumbua marehemu kwa sababu tamko lenu lina mhukumu zaidi marehemu.

Nitakubali maneno yenu ikiwa mtakuwa wazi na kusema Marehemu alikuwa mzinifu na ndio kumemponza!...hapa sintatafuta jibu zaidi.

Mkandara.

Huwezi kuwa na beef na maiti, na kuitumia maiti kama mtaji wa kisiasa. wapi nimemtukana Zitto? umewataja Nchimbi na Mpakanjia kwenye kadhia hii lazima na Zitto atajwe. hao watatu ndio wanajua undani wa suala la marehemu, huwezi kumnyofoa Zito kama unavyotaka na wenzako.

kumuita Amina maneno hayo uliyosema juu kuwa yamemponza ni unyama na ukosefu wa adabu. huwezi kubishana na maiti. mtu akifa kama una beef nae unaziacha.

wewe umemchachamalia binti wa watu. alikokwenda AMINA kila mtu atakwenda usizuzuke na JF kiasi cha kusahau ubinadamu. huo uzinifu wa Amina uliushuhudia?

jamani tuwafanyie heshima maiti. mafundisho ya vitabu yanasema anapozikwa maiti basi huku nyuma yasemwe mema yake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom